AINA MBALIMBALI ZA MAFUTA YA NAZI

6:45 AM by


UNAJUA YAPO MATUMIZI YA AINA NYINGI YA MAFUTA YA NAZI:1.Hutumika kujipaka na kuondoa dead cells kwenye ngozi2.hung'arisha ngozi na kuifanya iwe laini3.Mafuta ya nazi husaidia kuondoa strechmarks kwenye ngozi hasa kwa wakina mama waliotoka kujifungua na pia unaambiwa upake mafuta ya nazi kwa muda kidogo na uwe na subira ya kupata matokeo mazuri sio baada ya mwezi tu umechoka unaona haisaidii unatafuta kitu kingine..na unatumia mara 2 au 3 kwa siku.4.Massage oil:mafuta ya nazi pia hutumika kama mafuta ya kufanyia massage pia ukiacha tu kwamba watu wamezoea olive oil..lakini pia mafuta ya nazi yanafaa saaaanaa5.Nchi kama Sri Lanka na India mafuta ya nazi hutumika ktk kustyle nywele na kupooza kichwa hasa wale wanaopenda kufanyiwa massage ya kicha.6.Nchini Sri Lanka pia wengine hujipaka mafuta ya nazi mwili mzima nakuingia ktk bafu la sink lenye maji ya moto na kukaa saa 1 baabae huoga kawaida ni kama steaming ya ngozi,nywele na mwil mzima.7.HILI NI KUBWA ZAIDI AMBALO NILIKUWA HATA MIMI SIJUIkuna wanawake wakifanya tendo la ndoa huwa hawatoi majimaji yanayosaidia penetration wakati uume ukiingia kwenye uke usichubuke.Na mara nyingi kabla ya tendo la ndoa kuna michezo ya kimahaba ya hapa na pale..romance...ambayo husaidia hayo majimaji yatoke kuna wanawake huwa hawana na wengine ni kidogo hivyo mafuta yanazi hutumika hasa yale ya maji kupaka ukeni ili kulainisha njia wakati uume unaingia...hii kwa wengine huwa ina efect kama muwasho,hutumika sana nchi za ufilipino na kusin mwa bara Asia.1 comment:

  1. Nimefurahia sana hzo faida za mafuta ya nazi, dada dina endelea kutuelimisha wanajamii.

    ReplyDelete