KAWAIDA NIPO NA GEA HABIBU,ZAMARADI NA ANTONIO...HAYA PICHA YETU HIYO

6:00 AM by
Mie Dina Marios ndio nilovaa kivazi cha dhambarau,zamaradi kivazi cheupe na Gea huyo mwenye top ya kijani(lime)...Antonio hayupo ni picha tulipiga kwa ajili ya toleo la mwezi may la KITANGOMA ambalo liko mtaani sasa

5 comments:

 1. mmependeza sana mie nawakubali sana dada zangu i wish one day niwe kama nyie.muda mwingine naunguza mpaka chakula cous of ya kipindi.mnakiwezea sana .mnastahili pongezi sana.love u all

  ReplyDelete
 2. mmpendeza ila mnacho boa ni umbeyaa

  ReplyDelete
 3. HEY MMEPENDEZA SANA MM NAWAPENDA SANA NANINA KIPENDA SANA KIPINDI CHENU NOVEMBA NOMA LAZIMA MRUDI ILA MBONA KILA NIKITUMA SMS ZANGU HAZISOMWI HIVI KWANINI? ILA MNAWEZA SANA BIG UP SANAAAAAAAAAAAAA ADELA

  ReplyDelete
 4. siku zote binadamu hawataki kuambiwa ukweli ukiambiwa tu unaanza kudai kuwa watu wambea.hizi ni zama za uwazi na ukweli kazeni buti maneno yaliumbwa mtamkaji ni mwanadamu wasiwatishe tamaa.hakuna umbea hapa ilihali mtu anahojiwa na kuzungumza kwa kinywa chake umbea unatoka wapi bigggggggggggg uppppppppp.mama latifah -dodoma.

  ReplyDelete
 5. hIVI MNAJITAMBUA KWAMBA NYIE NI WAUKWELI? TUPO PAMOJA GIRLS

  ReplyDelete