KUONDOA WEUSI KWENYE MIDOMO...NA HATA KWAPANI..

6:33 AM by
Mara nyingi makwapa jubadilika rangi na kuwa meusi na inabidi mara kwa mara tuondoe nywele za kwapani.Ila tatizo linakuja makwapa kuwa meusi,ni unyoaji mbaya,vitu tunavyopaka kama deodorant au nini msaada tafadhali na huo weusi unatolewaje.
Midomo ni kiungo katika mwili ambacho pia kina hitaji matunzo,kuna mwenzetu midomo yake imebadilika rangi kutokana na uvutaji wa sigara kwa muda sasa.Anataka midomo irejee katika hali yake ya kawaida anaomba msaada wa ushauri afanyeje kuondoa weusi huo na mbaya zaidi kuna saa midomo ina mkauka kwelikweli,mie nimempa ushauri wangu lakini wa kwako pia unahitajika.

22 comments:

 1. Kwa mdomo - sijui sana ila atumie mafuta hata kama ni mwanaume, yale mafuta ya mgando so you call it yaani vile vaseline vidogo awe nacho the whole day akihisi dryness anapaka tu just a little bit. Huku wanaita "lip balm" so inasaidia.

  Kwa kwapa - Sugua ndimu au limau, ndimu nzuri kama una sensitive skin kabla ya kuoga kwa muda kama dakika tatu au nne, halafu acha kwa muda kama dakika 10 then wash it off na maji ya vuguvugu. Pia kama unaweza kufanya waxing kama it is available so avoid shaving. I hope I helped a little bit...

  ReplyDelete
 2. kuna deodorant fulani zinawakataa kutegemeana na ngozi ya mtu hvo ukiona toka umeanza kutumia roll on fulani kwapa linabadilika badalisha tafadhali. mf me niliwahi kutumia fur ilinitoa sugu hiyo, ila nikabadilisha nikatumia vanilla basi kwapa langu utatamani urambe, laini halafu linanukia vizuri sana.
  kupendeza sio lazoma uwe na mamilion shosti,
  jamani kila mtu ana harufu yake, usije ukasema mi sitoki kikwapa, chonde kila mdada awe na deodorant/roll on ili kukata hiyo harufu ya asili ya binadamu

  ReplyDelete
 3. Sante Dinnah kwa swali zuri watu wengi litatusaidia maana hili tatizo naliona zaidi kwa watu weusi wenzetu sijui wananatumia nn?

  Huo weusi wa kwapani pamoja na sehemu nyeti kwa kweli linabore sana.

  Nilishawahi kusoma sehemu moja hivi wanasema na machicha ya nazi pia yanasaidia unasugua hata mara tatu kwa wiki.

  Candy asante sana nilikuwa sijajua kama na ndimu au malimao yanaondoa au kusaidia hiyo kitu.

  Pia Dinnah tuletee jinsi ya kutengeneza wax maana nasikia ni nzuri sana kuliko kutumia mashine au wembe watu wengi huwa wanatokewa na mapele nadhani ndio sababu kubwa ya kuzidisha weusi huo.

  Asante sana kwa kutuwekea mada za kutuelimisha

  KAMA NITAKUWA NIMEKOSEA MNISAMEENA MNIFAHAMISHE UZURI.


  MDAUZ

  ReplyDelete
 4. DINA MI NILIKUWA NA TATIZO HILO LA KWAPA KUWA JEUSI!!ILA NILIELEKEZWA DAWA NA IMENISAIDIA SANA,ILA KWANZA INABIDI UACHE KUTUMIA SHAVERS,INABIDI UWE UNATOA NYWELE ZA KWAPA KWA KUFANYA WAXING,INASAIDA SANA KUTOA WEUSI, PIA KITU CHA PILI NI KILA SIKU JIONI KABLA YA KULALA UNACHANGANYA PODA YA UNGA YOYOTE PAMOJA NA UNGA WA (SHABU)KIASI NA PAKA KATIKA KWAPA UACJE KWA DKK 15 KISHA UNAOSHA INATOA KABISA HUO WEUSI KWAPANI

  ReplyDelete
 5. jmani nashukuru wadau kwa maoni yenu ila naomba aliyotoa ushauri wakuchanganya Poda na unga wa (shabu)anisaidie mana sijui huo unga wa Shabu ndio unga gani huo?
  Asante

  ReplyDelete
 6. Jamani nashukuru kwa mada yenu lakini nilikuwa nauliza na hiyo wax ndo nini mwenzenu sijui. ila kuna shoti wangu anatatizo hilo nataka kumuelewesha ili anielewe.
  thanks

  ReplyDelete
 7. Anony August 13, 2009 1:21 AM , tafadhali nisaidie huo unga wa shabu ndio upi?hapo kidogo kiswahili kimenichenga,natanguliza shukrani.

  ReplyDelete
 8. mara nyingi huo weusi huwa tunaucreate wenyewe pia kujijua.kuna tabia ya wengi kutokuwa na mpangilio wala chaguo la deodorant..ili mradi kaikuta mezani basi anapaka.kwanza hakikisha utumie ya aina moja ili unote changes ukiona kwapa linakuwa normal endelea but kama unanotes changes jua ni deodorant.Epuka zenye Alcohol...so ukiwa unataka kununua soma ingredients..alcohol inachangia kuunguza kwapa.Thanks

  ReplyDelete
 9. jamani mtu ajitolee kutueleza ung wa shabu ni upi huo.

  ReplyDelete
 10. SHABU ni aina ya dawa za asili iko madonge madonge hivi kama chumvi wakati mwengine ni makubwa kuliko chumvi. Najua kuwa shabu inatumika kusafishia makwapa na wengine nasikia wanatumia kusafishia maji ya kunywa (lakini usijaribu kwenye maji bila ushauri wa mtaalamu, mi simo! maana sijajaribu)
  Kwa hiyo unga wa shabu nafikiri itabidi uisage hiyo shabu yenyewe ili uweze kupata huo unga wa kuchanganya na poda.
  Shabu inapatikana kwenye maduka ya dawa za asili ulizia shabu watakuonyesha, kwa walio Dar maduka hayo yapo mengi tu kariakoo sokoni upande wa mtaa wa mkunguni karibu na posta kuna kimtaa jina nimesahau kama hujayaona ulizia tu yapo mengi utaonyeshwa lazima utaipata katika duka mojawapo kama si yote, wanauza hata kidogo kidogo katika vijikaratasi kama utapenda kujaribu kwanza na jaribu kuulizia wanaweza kuwa na unga tayari washasaga.
  KUHUSU WAX, ni sukari inaunguzwa na ndimu kidogo, kisha inapakwa kwenye kitambaa safiwakati bado imotomoto na kuwekwa juu ya vinyweleo/malaika kisha unavuta kwa haraka sana vinyweleo vyote vinatoka. Hii tafadhali usijaribu mwenyewe utatoka na mabaka ya moto kama si madonda!, tafuta mtaalamu akufanyie, kuna saluni nyingi sana sasa hivi wanafanya wax ukitaka kwapani tu au hata mwili mzima! uzuri wake ni kwamba vinyweleo vinakuwa havioti haraka tofauti ni viwembe!
  kuna wax nyingine huku nje nimeziona zinauzwa kwenye makopo kama gundi hivi lakini una-apply kama hiyo sukari bila kupasha moto.

  ReplyDelete
 11. najua hautoipost lkn uo ndio ukweli wenyewe kuhusu mdomo,anapofanya mapenzi na mkewe au mpenzi wake awe anapenda sana kuunyonya urithi wa bibi nayo inasaidia kwa mdomo.nami nilikua ivyo sasa nipo poa.thanx

  ReplyDelete
 12. Kwa kweli tunahitaji kujua huo unga wa shabu, na tunaweza kuupata vipi. Someone pleeeaseeee

  ReplyDelete
 13. inapendeza sana kuchangia wadada mko juu safi sanaaaaaaa

  nimependa maada zenu wote mnajua kuchangia poins zinaeleweka

  ReplyDelete
 14. Jamani Dina huo unga wa shabu jamani unaitwaje kwa kingereza basi hata mwee tunaipata na makwapa yanafoka kwa rangi lol

  ReplyDelete
 15. Google "baking soda as a deodorant" kuna links kibao zinazoelezea matumizi mengi sana ya hiyo baking soda,
  mojawapo ni kua ukitoka bafuni u "PAT dry" kwapa na unaaply just a pinch of it!

  Ni kweli inafanya kazi na pia inaondoa harufu(kikwapa!) trust me, it works!
  waxing inasaidia sana kwa sabau haikati vinyweleo, inapull all the way hadi kwenye shina...

  That's all i have

  ReplyDelete
 16. Samahani kwa kutoka nje ya mada,
  Mimi Ni msichana ninatatizo la kwapa langu kutoka jasho yani mpaka nashindwa kuvaaa nguo nyeupe nifanyeje? Nimejitahidi kutumia deodorate lakini hakuna mafanikio Nisaidieni jamani nifanyeje?

  ReplyDelete
 17. Shost wa kwapa, jaribu hiyo baking soda.Nimesoma jinsi ya kutumia baking soda kuondoa harufu ya kwapa na weusi:wanasema weka kiduchu kiganjani then weka maji ili kuyeyusha na ikisha yeyuka paka kwapani, ILA SUBIRI IKAUKE ILI ISIJE WEKA MADOA KWENYE NGUO.Wapo wanao tumia kama powder ila jaribu kwanza kuchanganya na maji mana usije kupata madhara ya kukauka kwa kwapa au kuchubuka.Mwenzetu mwenye jasho labda utumie kama powder usitie maji ili ikaushe kwapa.Pia inasaidia kuondoa haruFu ya mdomo na kupunguza gesi ya tumbo.Ukiwa na harufu ya mdomo changanya na maji halafu sukutulia mdomo.Smell ni kama base na baking soda ni acid so ina neutralize base to maintain pH.Chemistry pps.

  ReplyDelete
 18. Warning usichanganye baking soda na baking powder ni vitu viwili tofauti.Use baking soda

  ReplyDelete
 19. dada dinna uko bomba kwa ushauri vipi mimi nina tatizo. kwenye mwanzo wa mapaja yangu nikitoka kwenye period yaani najikuta nachubuka sana mpaka sometime nashindwa kuvaa chupi na watu wananishauri nitumie vitambaa eti itasaidia na mimi vitambaa siviwezi sometime najaribu kutumia zile pedi za OB lakini nazo zinaniwasha mpaka sometime natokwa na uchafu kama wa maziwa ya mgando. nimepima kama nina ugonjwa wowote wa zinaa but nimekuta sina ugonjwa wowote mpaka nilishaenda kupima ukimwi kwa hofu but nao pia sina na mchubuko kwenye mapaja. hata nikikutana na boyfriend wangu naona haibu naisi ananiona mchafu na kuoga naoga kila cku mara mbili.

  ReplyDelete
 20. du danx friend,nkajua ile baking powder
  asante,

  ReplyDelete
 21. Anonymous asante sana Dada Dina but bado kitu kimoja ni huo weusi kati ya paja na paja mm ni mweupe lakini period imeharibu mapaja yangu utanisaidiaje

  ReplyDelete
 22. Guys niaj naomben msaada wen nasumbuliwa na haluf kwapan napata shidaaa...

  ReplyDelete