MUME ANAPOMUOMBA MKE KUFANYA TENDO LA NGONO KINYUME NA MAUMBILE...

5:47 AM by

Nimekutana na wanawake wengi sana ambao wapo ndoani wengi wakilalamika kwa tabia mbaya ya waume zao kutaka kufanya nao mapenzi kinyume na maumbile,wengine wakilalamika kuchoshwa na tabia ya waume zao kuwaingilia kinyume na maumbile,sometimes najiuliza kwa nini unakubali mwanaume akufanyie hivyo kisa ni mumeo?ukikataa atakuacha?anakushinikiza kiasi huwezi kukataa?anakubaka?kila mtu huwa na hadithi yake....na mimi si walaumu sana maana siwezi jua kama wakinipa kiatu chao nitaweza kukivaa.

MUHIMU.
Kesho katika leo tena kwenye hekaheka ya leo na Gea Habib,msikilize dada aliyeolewa kwa ndoa kabisa mkazi wa mkoa wa Tanga,akakaa ndoani miezi 6 akaondoka kwa mume baada ya mume kuanza kumuomba penzi kinyume na maumbile,dada anasema alimwambia mwanaume kama haridhiki na yeye kama mwanamke kuliko ampe kinyume na maumbile bora waachane,mdada alienda kuwaambia wazazi wake...wazazi wakamwambia kama ni hivyo bora muachane tu. Mwanaume hakutaka kutoa talaka lakini aliitoa kinguvu baada ya mshikemshike wa hapa na pale pls kesho usikose.

47 comments:

 1. watu wanashindwa kufahamu madhara ya kufanya mapenzi kunyume na maumbile, kiukweli ni mbaya sana, kwani huko nyuma kunanini na mbele kuna nini?? kwana wanaume hawajihurumii, nyuma ni kuchafu, kunapitisha vitu vichafu, sasa hata hawaogopi maradhi jamani, kuna email nilikuwaga nayo nilitumia na best yangu inaonyesha jinsi mwanaume alivyovimba sehemu za siri huku mistari ile ya mishipa ya damu ikiwa imejaa usaha, aissee niliogopa sana, yani kiukweli haifai kabisa yani, halafu eti siku hizi imekuwa kama fasion, mume bila hata haya anamuomba mkewe TIGO, jamani, mh!! mi nashangaa kweli,mwanamke pia usikubali, hasa kwa sisi ambao bado tunaendelea kuzaa, siku ya kuzaa ni shida sana, kuna mkanda mmoja anao Best yangu Dina, wamechukulia south, unaonyesha jinsi mwanamke alivyoathirika, anavuja maji matakoni, yani kila anapoenda kwenye handbag amebeba kanga kama tisa hivi, maana kila akikaa akiinuka maji machafu matakoni mwake, anatia huruma sana, I WISH kanda hii wangenyeshwa wanaume, halafu sasa waume zetu bwana mi nawashangaa sana, akishakuharibu wala hata hakujali kabisa yani anaweza kukuacha wewe akatafuta mwingine, mie nina rafiki yangu, jina kapuni, anasema kabisa kwamba yeye bila kufanywa nyuma hawezi, yani yeye ndio anabembeleza mwanaume amfanye vile hata kama mwanaume hataki, na huwa anafanikiwa, namuuliza, raha yake nini?? anasema wewe jaribu tu utaona, nikamlaani shetani, staki kabisa upuuzi huu,
  yani tena ni mbaya jamani, aka! Dina ngja ntakuulizia ule mkanda ikiwezekana uchomoe some of pictures uweke ktk hii blog ili watu waogope kufanya hivyo.
  MAMA DOUBLE

  ReplyDelete
 2. najua watu watanitukana hapa,lakini anyway mimi nilikuwa sipendi kabisa mchezo huo nilikuwa na rafiki wa kiume wa zamani basi alikuwa akipenda huo mchezo sana niligundua baada ya kumfumania katumiwa msg na mfanyakazi mwenzie wakafanye huo mchezo wa nyuma kwani jana yake aliinjoi sana,nilikasirika sana sababu nilikuwa nampenda sana huyu mwanaume nikaamua nivumilie lakini mwenzangu akuachana na uyo dada kamwe,nikadata ile mbaya maana kupenda kubaya jamani msisikie,basi siku moja nikaamua nimpe tu nione itakuwaje ikawa ndio mchezo wake anaomba kila siku,sema nikalimit jinsi ya kumpa na pia asimalizie shida zake ndani,anyway kwavile najua huu mchezo ni mbaya nikaamua niachane nae tu maana hata nikimpa haitasadia kitu.kwahiyo nikaacha na yeye tukatengana.Sasa tatizo langu ni kuwa toka siku hizo mpaka leo na mimi naona natamani sana hilo tendo japo silifanyi kamwe,ila huwa najisikia kulifanya japo naliepuka sababu ya kuogopa madhara yake,maana nishawahi muona rafiki yangu wa karibu akivaa pedi kila mara sasa nikawa nashangaa kwanini anafanya hivyo?kumbe nahisi labda maji yalikuwa yanatoka sana uko nyuma,na hiyo ndio sababu iliyofanya nisirudie tena hilo tendo.Na sasa hivi hapa bongo nasikia wanaume asilimia kubwa ndio zao wanapenda sana hilo tendo.
  dada msema ukweli

  ReplyDelete
  Replies
  1. we dada nitafute kwa mail yangu mchungajishoo@yahoo.com nikutibu na hautakaa ukumbuke tena huo upuuzi nimewatibu wengi mpaka sasa nawalikuwa wameshakubuhu tafadhali fanya juu chini nitafute napatikana katka clnc yangu rat clnc

   Delete
 3. mama DOUBLE si useme tu ukweeli!!

  ReplyDelete
 4. yani inasikitisha sana kuona ata mpenzi wako anakuomba nyuma nahisi ndio itakuwa mwanzo na mwisho kuwa nae.Dina kuna rafiki yangu kwa sasa huyo mwanaume ni mchumba wake ila enzi zao ndio wanaanza alikuwa kila mara anamuomba nyuma tena kwa kumlazimisha na anakuwa km anataka kumbaka na wakati huo anakuwa km shetani tena ana nguvu kwelikweli.nikamshauri amwambie kuwa hapendi hiyo tabia na akiendelea nayo atamuacha,akatulia kwa muda then akaendelea,ikabidi nimshauri amuone ndugu yake mwanaume ambae anamueshimu sn na amweleze.akamweleza kk wa mwnaume mkubwa kwa kweli alishangaa why mdogo wake yupo hivyo,akaomba msamaha but baada ya muda tu akarudia tena hapo nikamshauri ni bora umuache maana atakusumbua kwenye ndoa ila alishindwa kwa kuwa alikuwa anampenda sn na alikuwa na hofu ya kuanzisha uhusiano mpya.alipomuhuliza hayo mambo kayatoa wapi akamwambia kaona kwenye net na anataka kujaribu kwa kweli mm km mm ningemuacha,ila yy ndio hivyo keshampeleka kwao na mahali keshatoa tunasubili ndoa tu.KWELI KUPENDA NI UPOFU

  ReplyDelete
 5. Kwanza km unampenzi anakuomba nyuma ni dhahir akupendi bali anataka kukuchezea tu,na nyie wadada au wanawake wenzangu mnakubai vipi kufanyiwa kitendo km hicho jaman, hamjihurumii?mana mavi tu yakiwa magumu shughuli yake pevu,waweza lia chooni bila kupenda,sembuse hiyo nanihii,ila nackia ukizoea huwezi acha,mwanaume mstaarabu hawezi kumwambia mpenziwe ampe nyuma hata cku moja,km ni mm nakuacha cku hiyohiyo,mana ukiniharbu mwenzangu utatafta mwingine mi utaniachia msala,wadada na wanawake wenzangu jaman acheni,kwanza ni dhambi.kazi njema dina.Asia

  ReplyDelete
 6. Za kazi Dina! Huu mchezo wanao sana pia hawa kaka zetu wanaokwenda masomoni nchi za kiarabu, kwani huko ndiyo wanazoea kufanya wanawake TIGO kwa kuwa watoto wa Kiarabu wanapenda kufanywa TIGO ili eti kulinda Bikra zao. Kwa hiyo hawa kaka zetu nao wakija huku wanaona kwao kama ni kitu cha kawaida ndio maana unakuta mtu anamuomba TIGO hata mchumba au mke wake. Mimi mwenyewe nina mdogo wangu msichana tena anakaa Tanga alishaolewaga huku Dar tena alibadili dini kumfuata huyo mvulana na alikaa kwenye ndoa miezi isiyozidi 6 akaachana na mumewe kwa kuwa mume wake alikuwa anamuomba TIGO, Nasubiri hekaheka hiyo saa tano nisikie usikute ni mdogo wangu maana anakaa Makorola.

  ReplyDelete
 7. Sharifa,
  Dunia sasa sijui inaenda wapi? unajua kufanya mapenzi kinyume na maumbile nikitu kibaya kiafya nasio wanaume pekeyao wanaowaambia wakezao wafanye mapenzi kinyume na maumbile kunawanawake wengine wao ndio wanawaambia wanaume zao wafanyie kitendo hicho. Dina mm nina rafiki yangu aliwahi kunitamkia kuwa yeye akifanyiwa kinyume na maumbile ndio anaona raha, na amediriki kumwambia mpaka mumewe,kwahiyo tusiwalaumu wanaume pekeyao kuwa ndio wanapenda wengine wanalazimishwa na wake zao.

  ReplyDelete
 8. Dina, kusema ukweli kabisa hili suala la kufanya mapenzi kinyume na maumbile kwa hapa mjini dar linaongoza. Nimefanya kautafiti kangu nimegundua kuwa hilo lipo kwa wote. Kwa maana ya walioko kwenye ndoa na wasio kwenye ndoa. Nikajaribu kuwahoji kidogo wale ambao hawako kwenye ndoa hasa wasichana wakasema kuwa ikiwa una bf anapenda huo mchezo basi ndio tiketi yako ya kuolewa, wale walioko kwenye ndoa wakasema kuwa inapunguza mume kutembea hovyo. lakini nikaambiwa pia na rafiki yangu mwengine kuwa asilimia kubwa ya wasichana wengi sana hapa mjini wenye tena wadogo wanapenda kutoa TIGO kwa maana wanahongwa vizuri na wanaume wanaowafanya hivyo (hili sina hakika) Dina labda utusaidie nawe kufanya utafiti wako.

  ReplyDelete
 9. anipe na talaka yangu wakati anaomba upuuzi wake huo

  ReplyDelete
 10. Hii ishu kweli inasikitisha saaaaana, na kadiri siku zinavyokwenda ndo linaongezeka zaidi. mi kwa ushauri wangu tuu dada Dina kama kunauwezekano wa kupata picha/movies zinazoweza ku-katisha tamaa watuu kuwa hichu kitu ni kibaya kama alivyosema mchangiaji aliyetangulia kwasababu kwa sasa kinapigiwa upatu saaana na wote wanaume kwa wanawake, this propagandas should be stopped by the truth, otherwise ushawishi wa kishetani unapata nguvu sana.

  ReplyDelete
 11. kiukweli hili jambo lipo sana kwenye jamii yetu kwa sasa, me mwenyewe yamenikuta nilikua na boyfriend wangu ambae tulipendana sana na sio siri aliakua ananifikisha tukiwa chumbani, gafla akaanzisha mchezo wa kunichezea kwa muda mrefu sana huku nyuma.
  baada ya muda akawa anasifu kua ukifanya huku nyuma ni tamu kuliko mbele, mmh kusema ukweli nikawa simuelewi vizuri coz ni mtu msomi anakazi nzuri na utashi wake ni hali ya juu kwa mtizamo wangu. akawa sasa anaomba tujaribu nikawa nakataa akawa tena hana hamu ya kufanya mapenzi na mimi twaweza lala usiku kucha hajanigusa na hata nikimshawishi kwa maneno na hata matendo akawa hataki basi kwakua nlikua nampenda ikabidi nimpe lol! maumivu niliyopata sitakaa niyasahau basi from there nikawa nikifanya nae siridhiki coz yeye alikua anaingiza nyuma tu na akiingia anawai kumaliza so akawa hakati tena kiu yangu ya mapenzi,
  kamatujuavyo raha ya mahusiano ni mtu akate kiu yako ya mapenzi kona zote nikajikuta kila siku zinavyo kwenda anazidisha upendo ila me nikawa nazidi kumchukia ikawa hata akinigusa natamani kutapika kwa jinsi nilivyomchukia alinipa mpaka gari but kwa unyama aliokua ananifanyia nimeamua kuachana nae na ni mwaka sasa tena kanisababishia kovu ambalo kila mwanaume akinitongoza nakumbuka yaliyonikuta na nashindwa kuingia tena kwenye mahusiano.
  KIUKWELI UO MCHEZO NI MCHAFU NA HAUFAI..
  SALMA DAR!

  ReplyDelete
  Replies
  1. pole sana. Nakusifu kwa uamuzi mgumu ulioufanya.

   Delete
  2. Pole sana Sakma ila nakupongeza kwa maamuzi magumu uliyoayafanya kwa kuamua kuachana na huyo firauni.

   Delete
 12. Dina sio siri, wanaume siku hizi wanapenda sana TIGO hata kwa wake zao. Mimi nilimuonjesha mume wangu na sasa ni mwaka wa 10 hataki kuacha nahisi huku mbele sasa hakutaki tena anafanya basi tuu, aweza ingia mbele kidogo na anadai amalizie na tigo!!!! Nadhani inabiti tuwaombee tuu maana wanatutia majaribuni kweli kweli. Japo ni kitendo kibaya hakipendezi mbele ya mola wetu lakini ndio hivyo tena, ubinadaamu kazi. Ila kuna utamu wake ki ukweli. Mtanisamehe nitakaowakwaza na kuwauzi! Mama Love

  ReplyDelete
 13. I believe this a big issue in a relationship. If your man continue to ask on a daily basis to go back there you might have to check him he might be gay. Theres no way anybody in there right mind would enjoy that on a daily basis unless they are just nasty. For all of the African sisters have respect for yourself and your health this is exactly why AIDS is a pandemic all over the world be careful out there because if anything happens most of these man would be ready to run. My African queens love your self before anybody else first.

  ReplyDelete
 14. mi ninampa mme wangu tigo na nina watoto 5 nae sina shida yeyote,too much of anything is harmfull...msigawe mkajisahau ofcoz madhara yatakuwa makubwa

  ReplyDelete
 15. Mijadala yako wewe dina...kama watu waliokukusema mwanzoni haina maana kwa ujumla.unahamasisha wale waliowahi kulifikiria kulifanya au kujaribu wakalifanya kutokaka na ushawishi wa baadhi ya wachangiaji. Watu wengine hawana wakijiingiza huko. Najua utakwazika lakini jaribu tu share ideas zako na wenzako kabla haujaliingiza humu ndani mwako!
  Hilo tatizo ni la watu wachache sana, haligusi watu wengi.
  Nasubiri uanze kunishambulia...Poa tu!

  ReplyDelete
 16. Wala sikushambulii ila naona wewe hapo na wengine kama wewe mnaishi katika giza la kutokujua nini kinaendelea katika maisha yetu ya kila siku,ila mimi kwa sababu nakutana na watu wengi wenye mambo mengi na matatizo mengi naelewa nini kinaendelea katika maisha ya watu wengi,wanawake wengi wanaishi katika maisha ya kufanya vitu wasivyovipenda ili mradi kuwaridhisha wapenzi au waume zao...jana tu kuna dada kanifata ambae ameoloplewa ana miaka 19 tu mwaka jana leo ana 20,kwa pikindi cha miezi 3 mumewe amekuwa akimuingilia kinyume na maumbile kiasi cha kumuharibu,jana amekuja analia baada ya kusikiliza hekaheka ya jana naomba nimsaidie maana anajihisi hana dhamani tena duniani...nimempeleka kwa Aunty Sadaka ili amsaidie pysological na kumsahuri what to do...wewe kama hayatokei kwenye maisha yako its you lakini kwa wengine yanatokea na mimi nawaeleza coz ninachoongea hapa ndio kinachoruka kwenye leotena...na sina haja ya kudiscuss na mtu kuhusu hili wakati ndio ukweli wa mambo ulivyo....kafanye research yako binafsi kuuliza kama hili jambo halipo kwa maisha ya walio wengi ni vile hawasemi wengine wanakaa kimya,kuna mama mwingine amekaa ndoani miaka 10 she came to me ambae sina ndoa yoyote kanizidi miaka kibao but kanieleza tatizo hilo and amechoka...weweeeee tena ushaniuzi kaa kimya shukuru mungu kama hujakutwa na mitihani ila wapo wanye matatizo sababu ya udhaifu wetu wanawake wa kushindwa kufanya maamuzi na kusimamia mipaka yetu ndio unatuponza....Ushauri wa mwishi sikiliza Leotena kila siku ya ijumaa saa tatu kamili mpaka saba mchana usikie mengi ambayo hayapo katika ulimwengu wako but kwa wengine yapo....na sijakushambulia bali nimekuelewesha tu,na ukiona umeshambuliwa pole.

  ReplyDelete
 17. Da Dina ishu za kujibishana na watu achana nalo kwa ushauri wangu. kwa mtu mwenye akili timamu akiangalia watu waliochangia hapo juu wala asinge changia anavyo changia. we are being fools for not discussing matters that counts. haujafa haujaumbika. kila kitu kina umuhimu kwa kinae muhusu, period.

  ReplyDelete
 18. dina tuambie ambao hatupo huko jamani wat happened kwenye hayo maongezi jamani please tuambie wat happened!

  ReplyDelete
 19. Kwa kweli inasikitisha .Mimi kama mimi naomba tusiutukuze sana uovu maana kwa kusikia mtu huamini na kutamani. Napenda tu kuwashauri wakina mama wenzangu wasimamie maamuzi yao wenyewe na si kuogopa iti ndoa itavunjika, ndoa na afya yako kipi bora ? uwe unanuka kisa uambiwe uko kwenye ndoa?ipi basi ya kugeuzwa kimaumbile? bora hiyo ndoa ife kama kinachotakiwa ni tigo. Na ikiwa uko safi mbele za Mungu mungu atachukua nafasi yake kunusuru ndoa yako . Kwa nini wakina mama mnakazania eti tusipofanya hivyo waume zetu watatoka nje? unafikiri kama tabia yake ni kutoka nje ataaacha kutoka nje kwa sababu umempa. Simamia hapana, ni uovu na machukizo mbele za Mungu jamani.Mungu ataziponya ndoa zenu na kamwe hamtaziponya ndoa zenu kwa uchafu wenu na uasherati wenu

  ReplyDelete
 20. maneno mangine makali nashindwa kuweka comments zingine,,,

  ReplyDelete
 21. Dina,

  I wish i can talk to you face to face, but the distances between us, am in Rock city.

  Siku zote katika maisha tunaomba Mwe Enzi Mungu atuepushe na shari za ulimwengu tushi Miaka mingi, Ki ukweli wa dada siku hizi tuna ufinyu wa kuchambua mambo, Mume ama mpenzi akikuahidi gari, Nyumba KOSA mtu atafanya chochote kile hata kama ni chukizo Mbele za Mungu, kisa kaahidiwa. Mie Naomba mungu anieupishe na apishilie mbali tamaa za ulimwengu huu!!!!!!

  ReplyDelete
 22. Ushauri kwa Wanawake wa bongo....dhana ya kuwa tegemezi muiondoe...mambo hayo yote ni kwa sababu ya kujishusha na kusema hamuwezi bila mwanamme...Be Urself utaheshimika!
  Poleni sana...maneno matupu hayatasaidia...amkeni na acheni mizinga na utegemezi...udhaifu huo unawapeleka pabaya!

  ReplyDelete
 23. Dina napenda sana mada zako huwa zinatusaidia sana wamama tuliowengi, huwa tunamizigo ambayo hatuna pakuielezea lakini kwenye blog yako huwa tunakuta mada nzito kama hizi, tunazijadili kwa pamoja mtu unafunguka akili, hata kama halijatokea, likijakutokea unajua pa kuanzia. Dina pls keep it up baby girl. by Mama SQ

  ReplyDelete
 24. NASEMA HIVI NDOA NA MUNGU NANI ZAIDI?KAMA ULIANZA ACHA KABISA NA KAMA UNATAKA KUANZA USIANZE MAANA MADHARA NI MAKUBWA,KWA WANAWAKE NA WANAUME,MIMI NILIFANYIWA HIVYO KWA LAZIMA MARA NNE ILI ANIPATIE KIBALI CHA KUISHI ULAYA NDIO NIMEKUBALI NILIPO PATA NILIMWAMBIA STOP LASIVYO TUACHANE AU NIPIGE POLISI AKAACHA MPAKA LEO HAOMBI.ILA ANAPO FANYA MAPENZI ANAGUSA SEHEMU ZA TIGO KAMA KUKUTAMANISHA UFANYE LAKINI NIKAKAZA UZI NIKAMWAMBIA NAUMIA KAMAHAWEZI AACHE KUFANYA MAPENZI NA AMEACHA KWENU INASHINDIKANA NINI? BORA TIGO BORA NDOA AU MUNGU.

  ReplyDelete
 25. Mada hii imegusa watu wengi sana, watu wanaozungumzia mungu nao wamebahatika kuonja ladha ya mchezo huu, wengine wamesema kuna utamu wake, kwa vyovyote anayesimulia vizuri ni yule aliyekuwamo ndani....! Vipeperushi(pamoja na mikanda ya mapenzi) kutoka kwa wenzetu waliondelea na hasa hisia kali zinazoonyeshwa kuwa kuna mautamu ndio yanayawashawishi watu nao wavutike kwenye matendo haya. Anyway, ni vizuri kujua uzuri na ubaya wa kila jambo kabla hujachukua maamuzi sahihi!

  ReplyDelete
  Replies
  1. Hatari dunia imekwisha

   Delete
 26. Mambo haya yapo kwa watu wengi sana usibishe, watu wote waloandika comment zao humu sio wajinga. Na tunashukuru Dina kwa kazi yako nzuri.

  Wanawake tuamke tuachane kukubali kwamba sisi ni kifaa katika nyumba ndo maana tunashindwa kuwa na maamuzi katika masuala ya vishawishi vibaya kama hivi.

  Nilikuwa na mchumba tukiwa kingono alianza kuning`ang`ania tigo, nikawa nashangaa mwenzangu anapenda mgongo tu hatakii tutazamane hapo nikamuliza ndo nini tena hiki?
  Akanambia kidogo tu nionjeshe nikamwambia sorry sina nafasi na wala siwezi kujiumiza kwa mambo yakijinga kama hunipendi basi.

  Sikumoja nikiwa nimelala fofo akajaribu kuingiza nyuma kabla kitu hakijafanikiwa nilijikuta nipo sebuleni na kuanzia hapo sikusikia tena ombi lake na tukaendelea kuishi na akasema eti alikuwa ananitest. Niliachana nae kwakuwa alikuwa na wivu mbaya wakuua mtu nikaona nisijeleta kizaazaa maana hata nikitazamana na mwanaume tu anasema unamjua huyo mbona kakusalimia kwa tabasam?

  Wanawake wenzangu kataeni kuumizwa kama hataki mbele basi. Nimeolewa miaka miwili ilopita sijamsikia mume wangu hata kunigusa nyuma.

  ReplyDelete
 27. jamani muogopeni MUNGU hivi inakuwaje mtu anapokuwa hana hofu ya MUNGU?Bibilia inasema wafiraji na wafirwaji hawataulisi ufalme wa MUNGU.Tubuni manake ufalme wa MUNGU umekaribia.

  ReplyDelete
 28. Dina naomba uzoefu wako kuhusu hili katika miaka yote ulioishi jiji hili la makamba/kandoro/lukuvi inawezekana hujawahi kufanya ngono ya aina hii lakini hujawahi hata kuombwa na mpenzi yeyote?

  ReplyDelete
 29. Tausi Usi Ame MakameNovember 1, 2009 at 5:36 AM

  Samahanini kwa wenye mtizamo tofauti na huu wa kwangu hapo chini:


  Mimi nia mtizamo tofauti kidogo. Tatizo kubwa ni kwa watu wanaopenda kulawiti wanawake ni kuwa wanafanya ndio kama kawaida badala ya kufanya ni kitu cha nadra. Huko nyuma hakukuumbwa kwa ngono-kinyo.

  Kama ni hivyo basi wanaume wanaopenda kulawiti wanawake wanapaswa kuheshimu maamuzi ya mwanamke. Kama mwanamke ukimwomba hataki. Basi Unaaacha.

  Akikubali unafanya ni "kito cha thamani" Huchezei kila siku. Mara moja kwa hamu na kwa uangalifu na kwa ngono salama. Kutumia kondom!!!!

  Sio kukurupuka tu...huko hakuendwi kinamna hiyo! Kunahitaji maandalizi ya uangalifu, unyenyekevu na bab´kubwa!!!

  Alamsiki

  ReplyDelete
 30. jamani maisha ni safari yenye mabonde na miteremko mingi, hasa maisha ya ndoa kwani wanawake wengi wamekuwa wakiumizwa kisaikolojia na kimaumbile kwa hofu ya kushindwa kujieleza ama kukataa kutokana na kasumba ya neno kupenda. ninajua kupenda ni sawa na upofu lakini inapobidi maji yakikufika shingo dada, mama au binti ni bora uchukue kilicho chako na kuondoka kwani huyo mwananume unayempenda kwa dhati yeye keshakuona kama soli ya kiatu cha choo cha shimo ndio maana anaamua kukuharibu ili ukinuka aweze kukucha kama mzoga na kwenda kutafuta wasionuka.
  mimi ni mwanamke ninaishi na mpenzi wangu huku ughaibuni, tulipoanza mapenzi yetu yalikuwa ya furaha lakini hapa katikati amegundua baadhi ya rafiki zake wanafanya jambo hilo la kwenda kinyume na maumbile basi na yeye amekuwa akinisumbua kutaka kujaribu mchezo huo japo nimekuwa nikikataa lakini kwa kulinda penzi nyakati nyingine nimejikuta nikimwachia ajaribu kuingiza japo mara zote alizojaribu ilishindikana kuingia ila ninadhani ni jambo ambalo angependa kuonja ili kufahamu utamu ama uchungu wake.
  ninashukuru Mungu leo katika kusoma hii mada na maoni mbalimbali tulikuwa pamoja nae ameweza kugundua madhara ya huo mchezo wa kishetani sidhani kama atarudia kuomba jambo hilo hata kwa bahati mbaya maana ninaamini ananipenda kama jinsi ninavyompenda.
  baada ya kupitia maoni hayo amehaidi hatorejea tena kuomba mchezo huo, hivyo ninawashauri wasichana na wanawake wenye ndoa aua wasio na ndoa kuvunja ukimya na kuongea na waume zao au wapenzi wao juu ya madhara ya mchezo huo kama kweli wanawapenda kama mnavyowapenda basi watawasikiliza na kuacha hiyo tabia ukiona anaendelea jua hakupendi ni bora ukaachana nae na kutafuta ustarabu mwingine kwani huyo ni sawa na muuaji anakuwa taratibu si lazima atumie silaha.
  mdau ughaibuni.

  ReplyDelete
 31. Dina idea nyingine kulingana na hii issue talk with Zeze mrushe hewani kwenye Tv kipindi cha wanawake na maendeleo sijui wameanzisha not that long ago wakizungumzie hiki kitu mara kibao na kurusha video za kusisimua watapata msg labda kwua sio kitu kizuri wka afya.

  ReplyDelete
 32. Da Dina,
  Unajua kwa "waumini" wa kiislam wanajua kabisa huo mchezo ni dalili za kiama,watu wa nabii Luti waliangamizwa vibaya sana kwa mchezo wao huo mchafu,tusiwasiwasingizie wanaume tu kuwa ndo wanapenda huo mchezo lakini hata wadada walio wengi hususan ambao hawana shughuli za kufanya kutwa ni kupiga soga tu,hawaongei mambo yyt ya maana zaidi ya mambo ya ngono ambayo yanapelekea kushawishika kutaka kujaribu huo mchezo.kwa uzoefu wangu wanawake (walio wengi) akisifiwa mwanaume fulani anajua majamboz basi nae anatamani ajaribu kufanya nae tu hata kama ni mume wa rafiki yake kipenzi.na kwa wanaume nao wengi huwa wanashawishika na hiyo michezo wanapoangalia picha za ngono na maskani nazo zinaharibu.Maoni yangu ni kuwa kila m2 akili kichwani mwake lakini kwa ufupi huo mchezo haufai na unamadhara kwa wote wawili hata ukiufanya haste haste,TUACHE JAMANI,NI DHAMBI KUBWAAA KWA MUNGU.

  ReplyDelete
 33. YAAN DINA KUNA BINTI MMOJA ALIKUA ANAKAA NA DADA YAKE HUKO KARIAKOO BAADAE AKAANZA KUTEMBEA NA MUME WA DADA YAKE AKANOGEWA MPAKA AKAPATA MIMBA SASA ALIVYOONA ANAMIMBA AKAONA ILI MUME WA DADA YAKE ASIMUACHE YE MWENYEWE AAMPA TIGO HUYO SHEMEJIE NI MUINDI LOO JAAMA AKAONA KWA MKEWE HAPATI AKAAMUA KUMPAGISHIA CHUMBA AKAHAMA KWA DADA YAKE JAMAA AKAWA ANATOA MATUMIZI KAMA KAWA SASA HUYO BINTI SIO MUWAMINIFU SI AKAFUMWA NA NJEMBA MWINGINE ANASALI NAE KANISANI PALE MAGOMENI MIKUMI MUINDI AKAMUA KUMUACHA SASA BINTI ANASEMA HAKUBALI MAANA KAMPA TIGO ILI ASIMUACHE ANAENDA KWA WAGANGA ILI ANAENDA KWA WAGANGA ILI DADA YAKE AACHWE AOLEWE YEYE ILA INASEMEKANA HUYO DADA MTU NI KATILI SANA ALIMCHUKUA KWAO AJE MSOMESHE AKAMFANYA HOUSE GIRL ALIKUA ANAMFANYISHA KAZI KAMA PUNDA NDIO MAANA AKAONA AJILENGESHE KWA SHEMEJI MTU NA KELI JAMAA AKAINGIA LINE SASA HII NI HEKAHEKA MPE GEA AENDE AKAIFATILIE NAMBA YA HUYO BINT NI 0777375999

  ReplyDelete
 34. Nikiacha kuzungumzia ki imani, na ki sayansi…
  Acha nizungumze kibiashara kuwa Ngona ni biashara kubwa sana duniani na video/tv zenye chanel za ngono na tovuti za ngono/ na stori za ngono ni vitu vinavyotembelewa sana ! kuonwa sana, kusomwa sana na kuangaliwa sana…leo hii mtu ataona karibu kila kitu kiganjani mwake (simu ya mkononi imebeba ulimwengu mzima).
  Haya katika tv zetu , na waimbaji mbalimbali wa muziki, kuna kukata kiuona kuvutia nyuma, kuna kuinama kuashiria kwa nyuma kuwa mwanamke yuko tayari, yaani mtu anacheza kwa mbele halafu anageuka na kuchezesha matako nakubinuka wanaume wakitoka hapo wakienda nyumbani wanamalizia haja yao kwa kudai nyuma…
  Sasa wale wacheza mieleka huwa wanatoa onyo kuwa usijaribu mchezo huu nyumbani….sasa kwenye ngono ni sehemu chache ambao wanaonya tumia condom au madhara ya hii ni hii.
  Sasa ukija katika hali halisi utakuta kuwa watu wanaiga tu bila kujua kuwa kuna mambo mengi sana ya kuwa makini….maumbile yakoje, maumbile mengine ya wanaume ni makubwa sana, na pia tundu kwa mwanmke na mwanamke nitofauti sana hata kidole kidogo cha mkononi kinamuumiza mwingine…haya wengine wanaweka mafuta, mafuta aina gani? Kiasi gani? Wengine hujipaka marashi mengiii labda hujaribu kufunika harufu Fulani…Wengine hawakumbuki kuvaa condom, wengine hufanya mara nyingi kwa wiki, wengine hufanya mara chache sana lakini bado wanateseka kisaikolojia na kwa kinyaa…
  Tukumbuke kuwa vijana wengi wameshaathirika tayari…na kesho hao ndio watakaooa, vijana wengi wanafanyana kinyume na maumbile…wao kwa wao au wavulana na wasichana…na wakishazoea inakuwa ni addiction…
  Je huko nyuma kinachotafutwa ni nini? mojawapo ni u tight- yaani hali ya maumbile ya kiume kubanwa, sasa hiyo inaleta pia wazo la uwezekana wa kufanya maumbile ya mbele ya mke yawe yapanguswa yasiwe na maji mengi sana, na mume anaweza kumsaidia mkewe wakati wa tendo kwa kutoa uume na kuufuta na kurudisha taratibu, mke anaweza kufanya mazoezi ya misuli ya maumbile yake...mume ataweza kufurahia sana na kuacha kutafuta kwingine ili kujisikia amebanwa sio kupwaya...

  Je upendo ni nini, mazungumzo na maelewano yana nafasi gani katika ndoa, je kwanza hata katika hali ya kawaida kushiriki ndoa kabla ya ndoa, kabla ya vipimo ni sawa? Unachomfanyia mwenzio chumbani utakuwa radhi binti yako afanyiwe na mumewe…?
  Je elimu ya ngono iliyo sahihi inatolewa wapi, inafundishwa wapi? Shuleni? Vijiweni ? wapi?
  Kazi kwelikweli….anyway imeandikiwa siku za mwisho kama hazitapunguzwa hakuna hata mmoja atasalia katika uovu…lakini wapo wanaoacha, wapo wanaobadilika, wapo wanaojirekebisha, wapo wanajitunza …wapo wanaomgekia Mungu na Mungu anawasamehe na kuwasaidia…….!

  ReplyDelete
 35. kiukweli wanawake wenzangu tujiangalie xana mtu akikutaka kinyume na maumbile ni bora umpotezee tu.

  ReplyDelete
 36. Mapenzi ni maelewano kati ya mtu na mtu... ninachokipinga mimi ni kulazimishana au kutumia nguvu kwa ajili ya kufanya jambo fulan,
  Kama mkikubaliana na kufata taratibu wote mtainjoi matumizi ya tigo, Mapenzi ni uchafu, so the more dirty u are the better sex u have, kama ni dhambi zipo kibao tu ambazo hatawewe Dina ulishazifanya na unaendelea kuzifanya, kama ni madhara ya kiafya yapo hata kwenye vyakula tunavyokula tena hasa sisi tunaojiona wakishua, pombe zina madhara na zinatangazwa kabisa kuwa ni hatari lakini ndo zinzoinmgizia uchumi nchi hii. sigara nazo kila cku zinapandishwa bei lakini wavutaji wanaongezeka.. so life is short, enjoy to the fullest, kama unapenda kutoa tigo toa kwa raha zako, kikubwa uinjoi na usilazimishwe, fanya kwa matakwa yako. kama mwanaume anataka nawewe hutaki kabisa achana naye tafuta mtakayeendana, na kama wewe unapenda mumeo hajui mwambie tu! kama yeye hataki tafuta anayekufaa ndo awe mumeo, siom maswala ya kutoka nje ya ndoa kisa unasaka tigo, tuwe wawazi jamani, mbona maisha matamu!!
  Tusipende kutishana sanaa juu ya madhara kwasababu madhar mnayoyasema hayana uthibitisho mkubwa wakitaalamu! mwenye uthibitisho wakitaalamu aweke links hapo tuzione, aweke na research zake, au onyeshe alipozisoma na ziwe ni scientific research!

  ReplyDelete
 37. dah!!!!!!!!!!!!!!!!!!mungu nusuru ulimwengu huu na janga hili la luthu

  ReplyDelete
 38. mmmmh yalinikuta

  ReplyDelete
 39. this is a debate... humu mna watu wanamuogopa Mungu... na wapo pia wafuasi wa shetani...Ngoja niwaulize swali? vita vya watu wa Mungu na wafuasi wa shetani vitaisha lini? JIBU NI SIKU DUNIA HII ITAKAPO KUNJWA KAMA KARATASI... YAANI ITAKAPOFIKA MWISHO...MWENYE MACHO ATUMIE MACHO YAKE VIZURI KUANGALIA NA KUONA, MWENYE MASIKIO NA ASKIE.. YEYE AJIZANIE KUWA AMESIMAMA A ANGALIE ASIANGUKE..

  ReplyDelete
 40. Yaani mchezo huo wa kuruka ukuta ndio ulionisababishia vidonda vya tumbo na ugojwa wa moyo mwenzenu. Mume wangu alinidai sana TIGO siku za mwanzo za mahusiano yetu na nilimkatalia na nikamuambia kuwa maandikio ya Mungu yanakataza uchafu huo na pia ni hatari kwa afya. Mume wangu alizidi kuniomba na nilipozidi kumkatalia akiniambia neno hili ' wewe nikatalie ila usijechukia ukisikia nimefanya lolote, unakataa mbona nilipita kwa wanawake watatu nawote walinipa'. Nikayapuuzia, ila sasa naona tabia yake ilivyo mbaya na ya kishenzi. Kila nikileta msichana wa kazi ndio anakuwa mke mwenza wa kuliwa TIGO ameshawala wasichana watatu nikawaondoa na kila ninaemleta anakula. Hapo ndio nikakumbuka lile neno lake kuwa atafanya kitu na nitaona. Haani wanaume wa sasa kwa kula maboga hawana mfano na hata sijui nani amewapa kibali cha kufanya hayo.

  ReplyDelete
 41. Du majanga! yani kwa sasa hivi jamani habar ya mjini ni tigo tu wanaume walishazoea wananunua tu siu nzur anapewa tgo, wengine wakikuona mwanamke umejaliwa kdogo basi kwenye ngono amekazana kukuminya makalio na kukutiatia vdole aone kama utamkarbisha ukikaaa utaskia heeee nilikuona mmjanja kumbe huna lolote , kwani ww kinachokushangaza ni nini? mbona tgo jambo la kawaida sana ? uko nyuma sana wewe mwanamke., yan vjana wengi ndo hvyo jaman wana kazi ya kula tako tu na ukimkatalia hutamwona tena utamwona kaenda kwa mwnamke mwngnie na vle wajua tabia ya huyo jaama ako utamwona kajituliza kwa huyo bibiee hata mwaka mzima it means bibie kachia tgo ndo maana jaama kaweka makzi, so hili n changamoto sana kwa wanawake wa mjini alafu wengine wanaachia kwa ajili ya kuolewa emagine unaolewa na mla tgo c ndo utakuwa mchezo wennu maisha? mwsho wa siku ndo madhara ya ajabu ajabu then atatoka tena nje nakutafuta mwingne ambaye tigo haijalegea kama uako

  ReplyDelete