BLOG HII INADHAMINIWA NA VODACOM.......KAZI NI KWAKO!!!
BLOG HII INADHAMINIWA NA VODACOM.......KAZI NI KWAKO
Monday, March 29, 2010
MJINI UWANJA WA FUJO,KILA MTU ANACHEZA NGOMA ANAYOTAKA!!WENYE NYUMBA MPO???
Huyu dada pichani ni mkazi wa hapa jijini Dar alikuwa kapanga huko Magomeni kwa mwaka mzima nyumba ya dada mmoja hivi.Ila kwa kipindi kirefu anasema mama mwenye nyumba amekuwa akimyanyasa yeye na wapangaji wenzake.Sasa kodi yake imeisha jumamosi ya juzi 27 na ikawa ndio siku yake ya kuhama.Akaamua kabla ya kuhama kabisa afanye sherehe ya kuhama nyumba hiyo na kumshukuru mungu kumuepusha na balaa la kuendelea kuishi nyumba hiyo.Na pia kumpa mama mwenye nyumba vipande vyake.
Nyumba ndio hiyo hapo inavyoonekana kwa nje getini.
Watu kibao walikuwepo walialikwa katika shughuli hiyo ambayo haijawahi kutokea kihistoria ya maswala ya wapangaji na wapangishaji.
Tena kulikuwa na kitambaa cha sare kwa rangi tofauti
Matarumbeta yalikuwepo na wamelipwa yaleyale kama ya msuto wa magomeni hahahahaha
Teeeeeeeenaaaaaaaaa wapangaji wote wa nyumba hiyo walijumuika na mwenzao kusherehekea kuhama katika nyumba hiyo kwa mauno ya kufa mtu.Hawakuogopa notice hata kidogo hahahaha
Shughuli ni watu..............
Muda wa kula ukafika sasa biriani likapakuliwa saa saba mchana hiyo,watu wakalaaaaaaaaaaa kwa raha zao.
Mwenye shughuli akihudumia waalikwa chakula cha mchana,biriani la nyama.
Mnuso unaendelea hahahahahaha jamani,mmmh.
Huyu nae alikuwepo baada ya kuona kamera akaanza kuweka pozi
mmmmmmmh cjamuelewa sijui ni walewale!!!!maana hayo macho,pozi,
Kibao kata pia kilikuwepo kwa wale mnaokijua kibao kata yaaani balaaaaaaa
Hapo ni nyimbo za vijembe kwa kwenda mbele ujumbe kwa mama mwenye nyumba
Mizigo ilikuwa imefungwa tayari jioni gari ikifika ni kupakia na kuondoka,kwenda makazi mapya ambayo si mbali kutoka nyumba aliyohama.
Wakati haya yanaendelea mama mwenye nyumba alikimbia na mpaka leo tumeulizia hajarudi.Hii ndio Bongo wapendwa hahahahahah
huu ni ushangingi tu,kwani hata waliojumuika kwenye hiyo shughuli ni mashangingi watupu,hizo pesa si angesaidia wenye shida au kama hana nyuma angebanabana ili apate yake kwani CHA MTU MAVI,NA MBWA UKIMJUA JINA HAKUPI TABU .
yani hii tembea uone na kuishi kwingi kuona mengi! Hivi hawa watu hawana uchu wa maendeleo eenh? au maendeleo kwao nikubadili creams? Mamaa Sharifa naona naye ndani ya nyumba.
hivi kutaja au kuongea MAUNO,MIUNO sio matusi tena ,maana zamani uwezi kusikia mambo hayo redio ilikuwa wanatumia KUNENGUA. after all TZ kwishney maana hayo mauno AVAILABLE kila kona....MAUCHAFU KAMA HAYA SI YA KUYASPOTI HATA KIDOGO.
sasa nilijua mbwembwe zote anahamia nyumba yake kumbe yakupanga tena lol ajipangetu ajenge yake kama hataki kunyanyaswa chamtu maviwee jenga yako. mwenzako kajenga yake wewe unalalama lol waswahili bwana maendeleo zero
hiyo ndio bongo dar es salaam ukweli wenye nyumba wananyayasa namshauri huyo mdada ajenge yake kwani kujenga si utajiri ni kujipanga tu kama alikuwa anakula nyama kila siku apunguze bajeti atajenga tu
we me nimecheka sana jamani, zat was so fun natamani ningekuwepo hapo kha waswahili raha sana i love being mswahili mnafanya vitu bila kuangalia mbele, now zat wat i kol uswahili,people,dont u c its fun????!!!lol!!!!
hahahha mtajichekesha mama big up sana kwa Bonge na Paty kwa kuwa umetupa Elimu ya kuwasuta watu kwa Matarumbeta tuko Sambamba wangu mambo hayo na nyie mnaoponda watu mwache vidomo kila mtu ana kitu chake rohoni tuwasiliane.
ha ha ha imekaa njema hiyo aisee nimeipenda sana maana hao wenye nyumba ni wakorofi mno, aisee Dina embu nipe contact za huyo dada ili anipe kichen pat hiyo uwiiiiiiiiii raha jamani uswazi
Hujatatua tatizo bado, solution hapo ni kujenga tu rafiki asikudanganye mtu. hapo umeruka majivu umekanyaga moto na tena huyo mwenye nyumba mpya akijua hayo uliyoyafanya hapo atakuonyesha kazi, hilo Unalo tu mpaka ujenge yako wenye nyumba wote baba mmoja mama mmoja, upo hapo.
Bongo tambarare kila siku sikukuu, yaani nimecheka mpaka basi,lakini wenye nyumba nao wamezidi hasa wakimuona mtu angalau anabadilisha mboga kila siku.
Mnaosema ajenge yake hivi kwani unafikiri hiyo sherehe pesa katoa peke yake? Hiyo ni social network ya uswahilini, hapo yeye na mashoga wamechangishana, na inawezekana hata wapangaji wenzako na majirani, mashoga, marafiki, ndugu, jamaa wote wametoa mia tano tano, au hata elfu elfu au zaidi kidogo. Shughuli yote gharama ni hayo matarumbeta pengine (70,000) kibao kata (50,000), chakula (100,000). Mwacheni ajipe raha mwenyewe, wengine hayo ni matumizi yao ya wiki tu, yeye ndiye ajengee?
safi sana mama kwa ubunifu wa sherehe zinazokwenda sambamba na mazingira yetu..hao wanaoponda hiyo paty mbona hizo birthday party wanazofanya ni za kuiga..acheni utumwa pendeni uswahili weenu....
YAAN WATU BWANA PARTY WAFANYE KINA MANGE NDIO UTASIKIA WANASIFIA HUKO MABABY SHOWER YA KUFA MTU ILA IKIFANYIKA USWAHILI UTASIKIA OOH ZERO BRAIN WASWAHILI TUNASEMA RAHA JIPE MWENYEWE USINGOJE KUPEWA FANYA KITU ROHO INAPENDA NA MIE NATAMANI NINGEALIKWA NIKAENDA
hahahahahaha uwiiiiiiiiii raha utamu waswahili tunasema raha jipe mwenyewe kujenga inahusu yakujenga itafika lini hahahahaha hii ndogo tunayoipata tunaifanyia ipasavyo hahahaha kuweka adabu mjini,,,,shughuli wafanye wao wakifanya waswahili inahusu hebu huko asante mama umekomesha,,,
Teh teh teh Kazi kwelikweli,Mwenye nyumba Utaibeba hiyo,.na usipokuwa makini utaletewa mchiriku usiku kucha..Patana na wapangaji wako hata kama haihusu..
haaaaa haaaaa, ni ukosefu wa akili na pia ni kutokuwa na kazi ya kufanya km mtu unashughuli ya kufanya huwezi kupoteza muda wako kwenda kuangalia upuuzi huu na upumbavu. Wote hao hawana kazi ndio maana wanafanya mambo ya kipuuzi, hyo pesa si bora angelipia watoto wake shule ya maana hapo utakuwa watoto wake hata viatu vzr, na km kweli ana pesa siange jenga nyumba yake, kuliko kuhama kutoka nyumba hii kwenda hii tena mtaa huo huo.
mhh safi sana, mie naungana na disminder kweli tunaonyeshwa mkaparty kila aina watu hampondi kisa kuna watu maarufu na aliefanya maarufuu kha.... Best raha jipe mwenyewe ukisubiri kuolewa huolewi, kuzaa huzai kwanini n isijibunie kijiparty changu mie niwashereheshe majirani Big up mama Migomigo mko juuuu!!! ntaifanya hiyo na mie nikihamia kwangu halafu niwasikie mnaponda!!!
life style bongo haina uswahili wala uzunguni naona watu wanponda kwetu uswahili,tajiri kajenga choo cha ndani shimo uani na masikini shimo uani,sasa mambo hayo mpaka ulaya yapo mtu anafanya party ya kuaga majirani zake au ya kufungua nyumba lakini kwa mila na desturi zao,huyo dada hajakosea tembeeni mjionee sio uswahilini tu,akajenge wapi na 300,000 au 200,000 jangwani wewe bongo tunaona nyumba inafika 135,0000 us dollar hata ulaya nyumba nzuri haziuzwi hivyo acheni hii nchi inadatisha mafisadi watupu ndio wanajenga.
Hiyo safi tu tena safi sana nimeipenda hii!Huyo mwenye nyumba yake kama ameweza kukimbia na kama kweli wapangaji na majirani wameweza kujumuika na huyo mama mwenye kuhama inaonekana kweli kuna tatizo kwa huyo mama mwenye nyumb safi sana hakuna cha ushangingi wala nini huyo mama anaonekana alizidi asante ni hayyo tu na Pasaka njema!
Mi sipingi hiyo sherehe, ila tu isiwe ugomvi. Kama hao wote wana kazi, na wana kipato.. na hiyo ni kama burudani.. why not? wacha watu waburudike.. sherehe ni sherehe.. Ila mipasho.. mmm
Mama kakosa busara,maana bado anakazi kubwa tena na amejitangazia ubaya zaidi kwa wenyenyumba,bara angefanya hivyo kama anahamia kwake, kumbe anaenda kupanga tena!
Huu ni upuuzi wa mwaka. I can't imagine someone like her having a big party like that while for sure she doesn't even possess a plot? We, Tanzanians time has reached for us to be forward looking. Why not focusing on developing herself and peole around her who are in great need? She will end up having the same problems even with her new landlords. That is the worst behaviour I have ever experienced, we can not develop if we keep on entertaining this sort of mind set. Tubadilike, maisha magumu haipendezi kusutana, manyanyaso ya mwenye nyumba yafanye kuwa changamoto yako ya maendeleo. Wote walioendelea walikumbana na ugumu wa aina moja au mwingine katika maisha but spending that hell of money just trying to show your landlord that you have something is a stupid idea
Hama kweli uswahilini kuna vituko nashangazwa na huyu mama kwa kutumia gharama bila ya sababu ya msingi wakati hiyo fedha angeweza fanyia kitu kingine cha maendeleo
Assallam Allaikhum, kutoka kwa KING SULTAN,Yote hayo yaliyotokea si ya kuchekesha ila ni ya kuhuzunisha,kwakuwa wote hao wamemsahau MUWEZA ASIYEWEZWA.Baada ya kuyaacha TULIYOKATAZWA na kufuata TULIYOAMRISHWA.Tumekuja DUNIANI WATUPU na tutaondoka DUNIANI WATUPU.KUMNYANYASA KIUMBE mwenzio si HAKI. na kuwa na nyumba si ujanja bali ni BAHATI ulyojaaliwa na MOLA.Gharama alizotumia na kuwaalika wote aliowaalika inatosha kujua UFINYU wa BUSARA zake bora angefanya biashara na MOLA wa VIUMBE WA VIUMBE WOTE kwa kuwalisha MASIKINI.Licha BIRIANI aliyoiandaa kuwa WATU hawajui watapata wapi UNGA/SEMBE ili wailishe FAMIIA yao.hiyo yote ni KUTAKALI.(sasa wote wote wawili wape MUUDA wa MIAKA KUMI.uone WATAKAVYOFULIA)baada ya kupata fimbo za ANAYEWEZA ASIYEWEZWA.
Heee! ana kweli dunuiani kuna mambo! Sasa anatoka nyumba moja ya kupanga anaingia nyingine....halafu naondoka kwa mikogo!! mhh mbwembwe hizo zilitakiwa unatoka ktk nyumba ya kupanga na unaingia ktk nyumba yako....
anony April 1, 2010 5:32 AM na wengineo wenye tabia ya kupangia watu maisha, mkome. kwani mwenye shughuli alikuja kukuomba ada ya mwanae ili akalipie hiyo unayoita shule ya maana? kakuomba ununulie wanae viatu? kaomba jae akae nyumbani kwako bure? wengine mnasema eti asaidie wenyeshida. nyie mmesaidia wangapi mbona neno shida halijafutwa kwenye kamusi ya kiswahili? kila mtu afanye vile roho inapenda mradi hazuriki mtu.
nyinyi mnaponda wote hamna mpya yako ya kunywa baa na kuonga hamsemi na kwenda kwa waganga kahamua ajipe raha mwee maneno kila mtu anastarehe zake mbona nyinyi mnafanya mababkyu hatusemi mabirthday kula raha zako hata laki tano haifiki kwani mnajuwa hana nyumba anayo tegeta chini ila inafanyiwa marekebisho ya nguzo za umeme na tanesco
Da Dina kama ningalikuwa ni mimi siku hiyo pasingalitosha mwe mwe mwe.......wangedhalilika mbele ya wageni wao waalikwa, ni lichapo kwa kwenda mbele. yaani mpangaji anaweka sherehe ya kunipiga vijembe na mashoga zake hahahahaaaa walai.... Na nyie wapangishaji muache nyodo bwana huwa mnaudhi sana wakati mwingine.
yaap! hongera mama kwa party kali,makini sana,wanajamii wengi tunaelewa adha ya kupanga na usumbufu wa wenye nyumba,bila shaka ilikuwa siku haziendi uhame..du! party mwake sanaaaa. kwa wanaokandia party lako,sijui ooh,ajenge mara school fees ya watoto mara watoto viatu kwani watoto wake hawahudumii.! ..ebo? hiyo ndiyo jamii yetu ya kibongo na watu ni full wajiachie...,jipeni raha na toeni ujumbe kwa jamii hivyo hivyo."msg delivered" "..pia ndiyo zetu"
yani huyu dada hana busara hata kidogo. amuombe mungu ampe busara na hekima kwenye maisha yake na maamuzi. asipokuwa makini ataishia kupanga na kuhama maisha yake yote.
jamani kaeni mkao wa kula ,na wengi wenu hapo juu hamjawahi kupanga, huyu Dina anaonekana ni jimama la matumizi kuliko mwenye nyumba , halafu siku hizi wenye nyumba wengi kina mama vijana ,hivyo si ajabu Dina anamchukulia mama mwenye nyumba wanaume wake, kisa kipo tu,sisi wa nje tuonage macho tu ,na tusijifanye mahakimu-mkazi wa magomeni.
kweli angetoa msaada kwa wasiojiweza hii blog nilikuwa siijui ila sababu nimeenda michuzi ndio nimeiona na mie nahama, nahamia hapa kuanzia leo. wadau asanteni mambo kama haya ndio nataka kuona sio kila leo habari ile ile nataka makasheshe tu.
kweli bongo kuna mambo , yaani sijafikiria kama kuna mtu anaweza kufanya kitu kama hiki , duhh kiboko , naungana mkono na maoni yaliopita kwamba angejenga yake kwani nyumba za kupanga zote zina matatizo , na huyo mama mwenye nyumba mpya nadhani atakuwa anamuogopa huyo dada , MAANA SI MCHEZO tehetehetehetehe
we ndo bwege kwani mtu siku zote hufanya jambo alipendalo, raha jipe mwenyewe naye amejipa. ikifanyika magomeni uswali masaki sherehe acheni utumwa kama nanyi si waswahili basi rudini makwenu hatuma nafasi ya kuhifadhi wakimbizi tuacheni tujirie vyetu kwa raha zetu INA HUU NASTAAJABU
kweli chizi si lazima avue nguo,hiyo hela ya part angenunua kiwanja ili aepuke manyanyaso. wat i believe,hata mbwa wa police ukimjua jina hakupi taaaabu. tehe tehe tehe uuuh lol, K
DUHH HUYO MAMA ATAKUFA MASIKINI HIYO SHEREHE SI ANGENUNUA KIWANJA CHAKE SASA ATAZIFANYA MARA NGAPI MAANA ATAHAMA MPAKA KUFA KWAKE KWA STYLE HIYO HATOJENGA NG'OOOOO!!!!! BORA ANGETOA SADAKA KWENYE NYUMBA ZA MUNGU....TENA CHA AJABU NAONA ANA MTOTO SIJUI ANAMUWAZIA VIPI MAISHA YAKE! UJINGA HUO! MSHHHHHHS
Inaonekana kuwa mpangaji alikuwa halipi kodi kama makubaliano yalivyokuwa,ndio maana mama mwenye nyumba alikuwa akimfuatilia kila wakati.Mpangaji kama umeshindwa masharti katika nyumba, ni bora uhame kwa amani bila kushutumiana lawama zisizo na msingi.
Tuyakubali tu kwa vile yameshatokea. dunia ni duara, kuupata mzunguko wake ni mambo kama hayo yanayotoa somo kwa wengine iwe ni sifuri au "fun" au elimu ndogo n.k. Waswahili wanasema "kiumbe mzito" kum-beba ni kazi kwani kila mtu ana uzito wa mambo yanayomkabili na namna ya kuyatoa kwa jamii inayomzunguka. Tujifunze kwa hili kutokana na maoni mengi yaliyotolewa.
haaaaaaaaaaaaaa ujinga mtupu uyu dada namjua sana anaitwa rehema... sio ksoa lake mana family yao yenyewe ni ya waswahili sasa vitu kama hivi kwake ni akwaida sana kuna NYOMOUS Hapo juu amesema na helimu ianchangia aswaa sizani kama mtu na akili zako timamu uanweza ukafanya ujinga huu kweli tanznaia tunapenda sana starehe kuliko kazi sasa hapo ulipoamia tena wakikunyanyasa utafanya party b.mkubwa kweli uswahilini kuna vituko na huwezi kum compare MANGE na uyu dada mana uswahili ndani ya damu lol! ha ha ha lakini si umehama? ha ha ha ha
wote mnaomponda huyo mama ni wapuuzi raha jipe mwenyewe sio usibirie za kupewa mnahuakika gani hana nyumba kama kusaidia wenye shida nyie mmesaidia wangapi toeni ushamba wenu hapa mama nakusapoti sana huko juu kwa maana hawa wenyenyumba wanakera sana na vibanda vyao mama toa burudani hacha na wajinga wanaokuponda washama sana hao ndio wale wansubiria mpaka ubatizo au harusi na birthday ndio wafanye sherehe
Cha ukweli mimi nimeipenda saaaaaaaaaaaaaaaaana. yaendaikawa ameshapata kero kisi kwamba hata sherehe hiyo isiyo gharama sana kama maudhi aliyoyapata. Wenye nyumba wajipange maana nipe mbioni kufanya part kuuuuuuuuuuuubwa.
Uswahilini kuna mambo!Duh!
ReplyDeleteHIYO NDIYO SO MIGO DAN TOWN. KAAAZI KWELI KWELI. NAMUONA MAMA SOPHI NA REHEMA JONGO
ReplyDeletehuu ni ushangingi tu,kwani hata waliojumuika kwenye hiyo shughuli ni mashangingi watupu,hizo pesa si angesaidia wenye shida au kama hana nyuma angebanabana ili apate yake kwani CHA MTU MAVI,NA MBWA UKIMJUA JINA HAKUPI TABU .
ReplyDeleteKweli tembea uone.
ReplyDeletedaaaaaah hii balaaa namna hii maendeleo sifuri
ReplyDeletekwa hali hii si bora ajenge nyumba yake.
ReplyDeleteama kwa hakika dunia ina mambo, loh, ajabu lakini ni kweli yametokea. Kaazi kweli kweli.
ReplyDeleteyani hii tembea uone na kuishi kwingi kuona mengi! Hivi hawa watu hawana uchu wa maendeleo eenh? au maendeleo kwao nikubadili creams?
ReplyDeleteMamaa Sharifa naona naye ndani ya nyumba.
Ustaarabu sio mzigo, wala hekima siyo kifurushi. Mpangaji na mpangishwaji wanahitaji ushauri nasaha.
ReplyDeletehivi kutaja au kuongea MAUNO,MIUNO sio matusi tena ,maana zamani uwezi kusikia mambo hayo redio ilikuwa wanatumia KUNENGUA. after all TZ kwishney maana hayo mauno AVAILABLE kila kona....MAUCHAFU KAMA HAYA SI YA KUYASPOTI HATA KIDOGO.
ReplyDeleteupuuzi mtupu,
ReplyDeletesasa nilijua mbwembwe zote anahamia nyumba yake kumbe yakupanga tena lol
ReplyDeleteajipangetu ajenge yake kama hataki kunyanyaswa chamtu maviwee jenga yako.
mwenzako kajenga yake wewe unalalama lol waswahili bwana maendeleo zero
mmmh uswahili mtupuuuuuuuu, yaani huyo mama baada ya kujenga yake anafanya madudu, elimu nayo muhimu, pole zao
ReplyDeleteh ahaha a uswahili kweli kazi loooh/......
ReplyDeleteJamani magomeni kuna vituko balaa
ReplyDeletehiyo ndio bongo dar es salaam ukweli wenye nyumba wananyayasa namshauri huyo mdada ajenge yake kwani kujenga si utajiri ni kujipanga tu kama alikuwa anakula nyama kila siku apunguze bajeti atajenga tu
ReplyDeletepole sana mama kwa yaliyokukuta,ila ushauri fanya bidii ujenge yakwako maana nyumba zakupanga kerooooooo jitahidi sana.
ReplyDeleteDina video tutazipata wapi inatakiwa unapost na video pia watu tucheke. anyway ila watu wa migomigo wamepinda mbaya
ReplyDeletewe me nimecheka sana jamani, zat was so fun natamani ningekuwepo hapo kha waswahili raha sana i love being mswahili mnafanya vitu bila kuangalia mbele, now zat wat i kol uswahili,people,dont u c its fun????!!!lol!!!!
ReplyDeleteInawezekana siku nyingi alikuwa hajafanya sherehe huyo kwanza izo ela alizotumia hapo angeongeza kidogo tu mbona angenunua kiwanja
ReplyDeleteujinga mtupu fanya ujenge yako
ReplyDeletehahahha mtajichekesha mama big up sana kwa Bonge na Paty kwa kuwa umetupa Elimu ya kuwasuta watu kwa Matarumbeta tuko Sambamba wangu mambo hayo na nyie mnaoponda watu mwache vidomo kila mtu ana kitu chake rohoni tuwasiliane.
ReplyDeleteha ha ha imekaa njema hiyo aisee nimeipenda sana maana hao wenye nyumba ni wakorofi mno, aisee Dina embu nipe contact za huyo dada ili anipe kichen pat hiyo uwiiiiiiiiii raha jamani uswazi
ReplyDeletehahahhahahhahahahhahaha nimecheka kwa sautiiii....haya ndo maisha yetu
ReplyDeleteupuuzi mtupu, uswahilini kuna vituko, LMAO
ReplyDeleteHujatatua tatizo bado, solution hapo ni kujenga tu rafiki asikudanganye mtu. hapo umeruka majivu umekanyaga moto na tena huyo mwenye nyumba mpya akijua hayo uliyoyafanya hapo atakuonyesha kazi, hilo Unalo tu mpaka ujenge yako wenye nyumba wote baba mmoja mama mmoja, upo hapo.
ReplyDeleteBongo tambarare kila siku sikukuu, yaani nimecheka mpaka basi,lakini wenye nyumba nao wamezidi hasa wakimuona mtu angalau anabadilisha mboga kila siku.
ReplyDeleteMnaosema ajenge yake hivi kwani unafikiri hiyo sherehe pesa katoa peke yake? Hiyo ni social network ya uswahilini, hapo yeye na mashoga wamechangishana, na inawezekana hata wapangaji wenzako na majirani, mashoga, marafiki, ndugu, jamaa wote wametoa mia tano tano, au hata elfu elfu au zaidi kidogo. Shughuli yote gharama ni hayo matarumbeta pengine (70,000) kibao kata (50,000), chakula (100,000). Mwacheni ajipe raha mwenyewe, wengine hayo ni matumizi yao ya wiki tu, yeye ndiye ajengee?
hahahaaaaaaaaaaaaaaa haluuuuuuuuuuuuu jamani waswahili wana matatizo!!!!!!!!!!
ReplyDeleteDuhhhhhhh kazi kweli kweli
safi sana mama kwa ubunifu wa sherehe zinazokwenda sambamba na mazingira yetu..hao wanaoponda hiyo paty mbona hizo birthday party wanazofanya ni za kuiga..acheni utumwa pendeni uswahili weenu....
ReplyDeleteheee hii nayo kali ya mwaka,kwli uswazi ni full vituko!
ReplyDeleteYAAN WATU BWANA PARTY WAFANYE KINA MANGE NDIO UTASIKIA WANASIFIA HUKO MABABY SHOWER YA KUFA MTU ILA IKIFANYIKA USWAHILI UTASIKIA OOH ZERO BRAIN WASWAHILI TUNASEMA RAHA JIPE MWENYEWE USINGOJE KUPEWA FANYA KITU ROHO INAPENDA NA MIE NATAMANI NINGEALIKWA NIKAENDA
ReplyDeletejAMANI HAPO JIRANI ALIPOHAMIA KANUNULIWA HIYO NYUMBA SHUGHULI ILINOGA SANA
ReplyDeletehahahahahaha uwiiiiiiiiii raha utamu waswahili tunasema raha jipe mwenyewe kujenga inahusu yakujenga itafika lini hahahahaha hii ndogo tunayoipata tunaifanyia ipasavyo hahahaha kuweka adabu mjini,,,,shughuli wafanye wao wakifanya waswahili inahusu hebu huko asante mama umekomesha,,,
ReplyDeletedina nimekukubaki
ReplyDeleteJAMANI HUYO KAKA MWENYE MAPOZI NAHISI SHOGA MNASEMAJE?
ReplyDeleteHuyo mwenye shati la pink ni Ricky Martin wa migo?
ReplyDeleteTeh teh teh Kazi kwelikweli,Mwenye nyumba Utaibeba hiyo,.na usipokuwa makini utaletewa mchiriku usiku kucha..Patana na wapangaji wako hata kama haihusu..
ReplyDeleteUuuuuwii. Mhh Kazi IPO
ReplyDeletehaaaaa haaaaa, ni ukosefu wa akili na pia ni kutokuwa na kazi ya kufanya km mtu unashughuli ya kufanya huwezi kupoteza muda wako kwenda kuangalia upuuzi huu na upumbavu. Wote hao hawana kazi ndio maana wanafanya mambo ya kipuuzi, hyo pesa si bora angelipia watoto wake shule ya maana hapo utakuwa watoto wake hata viatu vzr, na km kweli ana pesa siange jenga nyumba yake, kuliko kuhama kutoka nyumba hii kwenda hii tena mtaa huo huo.
ReplyDeletehulallalla
ReplyDeleteNINAUHAKIKA 100 KWA 100 HUYO ALIYEFANYA HYO SHUGHULI ANAISHI MAISHA YA KISWAHILI YANI OVYOOOOOOOOOO NA SHULE PIA HAJAENNDA
ReplyDeletePESA GANI HUZO ZENYEWE KADUNDULIZA NAZINGINE KAKOPA
ReplyDeleteDANA NAWE USIJISHUSHE ACHANA NA ISSUE ZA HAWA WA SWAHLI KWANZA UMEUZOEAJE HUU UKOO DOOOOO SIKUTEGEMEA
ReplyDeleteKUNA MA MAMBO YA KISWAHILI YA KUIGA ILA HUO NI UJINGA WA WATU WAZIMA TENA WACHAMBA WIMA
ReplyDeletemhh safi sana, mie naungana na disminder kweli tunaonyeshwa mkaparty kila aina watu hampondi kisa kuna watu maarufu na aliefanya maarufuu kha.... Best raha jipe mwenyewe ukisubiri kuolewa huolewi, kuzaa huzai kwanini n isijibunie kijiparty changu mie niwashereheshe majirani Big up mama Migomigo mko juuuu!!! ntaifanya hiyo na mie nikihamia kwangu halafu niwasikie mnaponda!!!
ReplyDeleteHi Dina, please ignore all messages from disminder. someone is using my ID.
ReplyDeleteplease please ignore them.
thank you.
alipohamia wenye nyumba wakae chonjo kusimangwa tena...huyo dada asipojenga yake ana hatari ya kukosa nyumba hii tabia ikiendelea..
ReplyDeleteembu ulizeni maswali ya maana mtu anaonekana kabisa bwabwa unauliza...unataka mpaka a....me?
ReplyDeleteMama mwenye nyumba ni yupi na anamaoni gani juu ya haya??? Kweli duniani kuna mambo
ReplyDeletelife style bongo haina uswahili wala uzunguni naona watu wanponda kwetu uswahili,tajiri kajenga choo cha ndani shimo uani na masikini shimo uani,sasa mambo hayo mpaka ulaya yapo mtu anafanya party ya kuaga majirani zake au ya kufungua nyumba lakini kwa mila na desturi zao,huyo dada hajakosea tembeeni mjionee sio uswahilini tu,akajenge wapi na 300,000 au 200,000 jangwani wewe bongo tunaona nyumba inafika 135,0000 us dollar hata ulaya nyumba nzuri haziuzwi hivyo acheni hii nchi inadatisha mafisadi watupu ndio wanajenga.
ReplyDeleteHiyo safi tu tena safi sana nimeipenda hii!Huyo mwenye nyumba yake kama ameweza kukimbia na kama kweli wapangaji na majirani wameweza kujumuika na huyo mama mwenye kuhama inaonekana kweli kuna tatizo kwa huyo mama mwenye nyumb safi sana hakuna cha ushangingi wala nini huyo mama anaonekana alizidi asante ni hayyo tu na Pasaka njema!
ReplyDeleteNaomba yake iwekwe kwenye youtube utapata zawadi ya kumalizia mwaka huu. Inaweza pia kuuzwa nje hii niandikie tuanze biashara.
ReplyDeletemuu@live.com.my
wenye nyumba mji huu watalaaniwa wanajifanya miungu watu..watakufa wataviacha hapa duniani
ReplyDeleteMi sipingi hiyo sherehe, ila tu isiwe ugomvi. Kama hao wote wana kazi, na wana kipato.. na hiyo ni kama burudani.. why not? wacha watu waburudike.. sherehe ni sherehe.. Ila mipasho.. mmm
ReplyDeleteMama kakosa busara,maana bado anakazi kubwa tena na amejitangazia ubaya zaidi kwa wenyenyumba,bara angefanya hivyo kama anahamia kwake, kumbe anaenda kupanga tena!
ReplyDeleteHuu ni upuuzi wa mwaka. I can't imagine someone like her having a big party like that while for sure she doesn't even possess a plot? We, Tanzanians time has reached for us to be forward looking. Why not focusing on developing herself and peole around her who are in great need? She will end up having the same problems even with her new landlords. That is the worst behaviour I have ever experienced, we can not develop if we keep on entertaining this sort of mind set. Tubadilike, maisha magumu haipendezi kusutana, manyanyaso ya mwenye nyumba yafanye kuwa changamoto yako ya maendeleo. Wote walioendelea walikumbana na ugumu wa aina moja au mwingine katika maisha but spending that hell of money just trying to show your landlord that you have something is a stupid idea
ReplyDeleteHama kweli uswahilini kuna vituko nashangazwa na huyu mama kwa kutumia gharama bila ya sababu ya msingi wakati hiyo fedha angeweza fanyia kitu kingine cha maendeleo
ReplyDeletemwenye nyumba akirudi nae anakuja na mdundiko, vijembe kibao vya kufurahia ulivyoondoka, yeye ataleta hadi bbc na itv ....bongo raha sana!
ReplyDeleteAssallam Allaikhum, kutoka kwa KING SULTAN,Yote hayo yaliyotokea si ya kuchekesha ila ni ya kuhuzunisha,kwakuwa wote hao wamemsahau MUWEZA ASIYEWEZWA.Baada ya kuyaacha TULIYOKATAZWA na kufuata TULIYOAMRISHWA.Tumekuja DUNIANI WATUPU na tutaondoka DUNIANI WATUPU.KUMNYANYASA KIUMBE
ReplyDeletemwenzio si HAKI. na kuwa na nyumba si ujanja bali ni BAHATI ulyojaaliwa na MOLA.Gharama alizotumia na kuwaalika wote aliowaalika inatosha kujua UFINYU wa BUSARA zake bora angefanya biashara na MOLA wa VIUMBE WA VIUMBE WOTE kwa kuwalisha MASIKINI.Licha BIRIANI aliyoiandaa kuwa WATU hawajui watapata wapi UNGA/SEMBE ili wailishe FAMIIA yao.hiyo yote ni KUTAKALI.(sasa wote wote wawili wape MUUDA wa MIAKA KUMI.uone WATAKAVYOFULIA)baada ya kupata fimbo za ANAYEWEZA ASIYEWEZWA.
Kweli upuuzi mtupu! limu tu
ReplyDeletekaazi kweli kweli.
ReplyDeleteNamuunga mkono huyo mama maana wenye nyumba nao....masharti mengi sana na ya kipuuzi, ni unyanyasaji sana. Hongera mama
ReplyDeleteHeee! ana kweli dunuiani kuna mambo! Sasa anatoka nyumba moja ya kupanga anaingia nyingine....halafu naondoka kwa mikogo!! mhh mbwembwe hizo zilitakiwa unatoka ktk nyumba ya kupanga na unaingia ktk nyumba yako....
ReplyDeleteanony April 1, 2010 5:32 AM na wengineo wenye tabia ya kupangia watu maisha, mkome. kwani mwenye shughuli alikuja kukuomba ada ya mwanae ili akalipie hiyo unayoita shule ya maana? kakuomba ununulie wanae viatu? kaomba jae akae nyumbani kwako bure? wengine mnasema eti asaidie wenyeshida. nyie mmesaidia wangapi mbona neno shida halijafutwa kwenye kamusi ya kiswahili? kila mtu afanye vile roho inapenda mradi hazuriki mtu.
ReplyDeletenyinyi mnaponda wote hamna mpya yako ya kunywa baa na kuonga hamsemi na kwenda kwa waganga kahamua ajipe raha mwee maneno kila mtu anastarehe zake mbona nyinyi mnafanya mababkyu hatusemi mabirthday kula raha zako hata laki tano haifiki kwani mnajuwa hana nyumba anayo tegeta chini ila inafanyiwa marekebisho ya nguzo za umeme na tanesco
ReplyDeleteDa Dina kama ningalikuwa ni mimi siku hiyo pasingalitosha mwe mwe mwe.......wangedhalilika mbele ya wageni wao waalikwa, ni lichapo kwa kwenda mbele. yaani mpangaji anaweka sherehe ya kunipiga vijembe na mashoga zake hahahahaaaa walai.... Na nyie wapangishaji muache nyodo bwana huwa mnaudhi sana wakati mwingine.
ReplyDeleteyaap! hongera mama kwa party kali,makini sana,wanajamii wengi tunaelewa adha ya kupanga na usumbufu wa wenye nyumba,bila shaka ilikuwa siku haziendi uhame..du! party mwake sanaaaa.
ReplyDeletekwa wanaokandia party lako,sijui ooh,ajenge mara school fees ya watoto mara watoto viatu kwani watoto wake hawahudumii.! ..ebo? hiyo ndiyo jamii yetu ya kibongo na watu ni full wajiachie...,jipeni raha na toeni ujumbe kwa jamii hivyo hivyo."msg delivered" "..pia ndiyo zetu"
Crazy world with crazy people...
ReplyDeleteyani huyu dada hana busara hata kidogo. amuombe mungu ampe busara na hekima kwenye maisha yake na maamuzi. asipokuwa makini ataishia kupanga na kuhama maisha yake yote.
ReplyDeletejamani kaeni mkao wa kula ,na wengi wenu hapo juu hamjawahi kupanga, huyu Dina anaonekana ni jimama la matumizi kuliko mwenye nyumba , halafu siku hizi wenye nyumba wengi kina mama vijana ,hivyo si ajabu Dina anamchukulia mama mwenye nyumba wanaume wake, kisa kipo tu,sisi wa nje tuonage macho tu ,na tusijifanye mahakimu-mkazi wa magomeni.
ReplyDeletekweli angetoa msaada kwa wasiojiweza hii blog nilikuwa siijui ila sababu nimeenda michuzi ndio nimeiona na mie nahama, nahamia hapa kuanzia leo.
ReplyDeletewadau asanteni mambo kama haya ndio nataka kuona sio kila leo habari ile ile nataka makasheshe tu.
Hongera kwa mama,hiyo ni funzo kwa matajiri wasiokuwa na a dabu.Nahisi kwamba hiyo nyumba haitapata wateja watakaotaka usumbufu kama huo.
ReplyDeleteSURA ZAO SI NGENI SANA NI WALE WALE WA MJINI MA-NGINGI. GOLD DIGGERS
ReplyDeletekweli bongo kuna mambo , yaani sijafikiria kama kuna mtu anaweza kufanya kitu kama hiki , duhh kiboko , naungana mkono na maoni yaliopita kwamba angejenga yake kwani nyumba za kupanga zote zina matatizo , na huyo mama mwenye nyumba mpya nadhani atakuwa anamuogopa huyo dada , MAANA SI MCHEZO tehetehetehetehe
ReplyDeleteninyi semeni tu lkn mngejua mwenyenyumba huyo alivyokuwa akimkera kimada wangu huyo ilinibidi nimnunulie nyumba mtaa ule ule na sasa tunatanua
ReplyDeletewe ndo bwege kwani mtu siku zote hufanya jambo alipendalo, raha jipe mwenyewe naye amejipa. ikifanyika magomeni uswali masaki sherehe acheni utumwa kama nanyi si waswahili basi rudini makwenu hatuma nafasi ya kuhifadhi wakimbizi tuacheni tujirie vyetu kwa raha zetu INA HUU NASTAAJABU
ReplyDeleteDina umeshaanza mchezo wa kubania comments siyo.!
ReplyDeletesiyo tabia yako lakini..(usinbanie achia!)
kweli chizi si lazima avue nguo,hiyo hela ya part angenunua kiwanja ili aepuke manyanyaso. wat i believe,hata mbwa wa police ukimjua jina hakupi taaaabu. tehe tehe tehe uuuh lol, K
ReplyDeleteDUHH HUYO MAMA ATAKUFA MASIKINI HIYO SHEREHE SI ANGENUNUA KIWANJA CHAKE SASA ATAZIFANYA MARA NGAPI MAANA ATAHAMA MPAKA KUFA KWAKE KWA STYLE HIYO HATOJENGA NG'OOOOO!!!!! BORA ANGETOA SADAKA KWENYE NYUMBA ZA MUNGU....TENA CHA AJABU NAONA ANA MTOTO SIJUI ANAMUWAZIA VIPI MAISHA YAKE! UJINGA HUO! MSHHHHHHS
ReplyDeleteInaonekana kuwa mpangaji alikuwa halipi kodi kama makubaliano yalivyokuwa,ndio maana mama mwenye nyumba alikuwa akimfuatilia kila wakati.Mpangaji kama umeshindwa masharti katika nyumba, ni bora uhame kwa amani bila kushutumiana lawama zisizo na msingi.
ReplyDelete<sasa nyumba sio yake kwa nini asihame aende nje ya mji+<<<<<<<<<<<< muache alione jiji kama halijui
ReplyDeleteTuyakubali tu kwa vile yameshatokea. dunia ni duara, kuupata mzunguko wake ni mambo kama hayo yanayotoa somo kwa wengine iwe ni sifuri au "fun" au elimu ndogo n.k. Waswahili wanasema "kiumbe mzito" kum-beba ni kazi kwani kila mtu ana uzito wa mambo yanayomkabili na namna ya kuyatoa kwa jamii inayomzunguka. Tujifunze kwa hili kutokana na maoni mengi yaliyotolewa.
ReplyDeleteKazi bado ipo.
ReplyDeletehaaaaaaaaaaaaaa ujinga mtupu uyu dada namjua sana anaitwa rehema... sio ksoa lake mana family yao yenyewe ni ya waswahili sasa vitu kama hivi kwake ni akwaida sana kuna NYOMOUS Hapo juu amesema na helimu ianchangia aswaa sizani kama mtu na akili zako timamu uanweza ukafanya ujinga huu kweli tanznaia tunapenda sana starehe kuliko kazi sasa hapo ulipoamia tena wakikunyanyasa utafanya party b.mkubwa kweli uswahilini kuna vituko na huwezi kum compare MANGE na uyu dada mana uswahili ndani ya damu lol! ha ha ha lakini si umehama? ha ha ha ha
ReplyDeletejamani kukosa kazi nikubaya yaani huyu mwanamke hana akili kabisaaaaa naacha kufanya mambo ya maana anakaasuta mtu kweli uswahili kaz.
ReplyDeleteKahama kenda kupanga au kajenga kwake? Maana kama kenda kupanga hana mpya
ReplyDeleteweraaaaaaa weraaaaaaaa yote maisha,kielimu na bila elimu kwani nini!! inaHU
ReplyDeletewote mnaomponda huyo mama ni wapuuzi raha jipe mwenyewe sio usibirie za kupewa mnahuakika gani hana nyumba kama kusaidia wenye shida nyie mmesaidia wangapi toeni ushamba wenu hapa mama nakusapoti sana huko juu kwa maana hawa wenyenyumba wanakera sana na vibanda vyao mama toa burudani hacha na wajinga wanaokuponda washama sana hao ndio wale wansubiria mpaka ubatizo au harusi na birthday ndio wafanye sherehe
ReplyDeleteCha ukweli mimi nimeipenda saaaaaaaaaaaaaaaaana. yaendaikawa ameshapata kero kisi kwamba hata sherehe hiyo isiyo gharama sana kama maudhi aliyoyapata. Wenye nyumba wajipange maana nipe mbioni kufanya part kuuuuuuuuuuuubwa.
ReplyDeleteangekua ana hamia kwake tunge muona wamana kumbe bado anapagisha!!!!!!!!!!!!du analooooooooooooo
ReplyDelete