JANA JUMAPILI PIA TULIKUWA NYUMBANI KWA ADAM MCHOMVU ALITUALIKA TUSHEREHEKE NAE

7:25 AM by
Ni jana tarehe 16 may,bday ya Adam Mchomvu brother from another mother....akatukaribisha nyumbani kwake mikocheni kwa sherehe fupi.

Girlfriend wa Adam....Aisha akiandaa mahanjumat


Vitafunwa vikiwa tayari kuliwa

Dada sikupata jina lake wakituandalia chakula

Kaka nae alikuwa akisaidia saidia
Babuu wa kitaa na rafiki

Aisha na Marafiki...

Marafiki

Babuu na marafiki


Pipi na Anod Kayanda

Adam na marakifi namuona Soggy Doggy
Milad Ayo na rafiki

Milad Ayo,Shadee na Anod

Dada wa Adam Mchomvu,Rommy Jones na rafiki
Hongera Adam Mchomvu.

35 comments:

 1. saaaaaaaaaaaaaaaafiiiii, yani freeeeeeeeeeeeesh.
  happy b'day brother from another mother.
  UMEKUWA SASA KUPIGANA NO.!
  HANIFA MATI.

  ReplyDelete
 2. Hivi da dina sijui mimi ni mshamba au namna gani??!! nasema hivi juu ya hawa watu wanaoandaa maparty makubwa kwa ajili ya birthday naona wamekuja juu kila kukicha. ina maana ndugu zao wote hawana shida mbalimbali kiasi kwanba hiyo pesa ingetumika kuwatatulia matatizo yao??? ina maana miaka ya nyuma walikuwa hawajui birthdays zao ndio wanazikumbuka sasa baada ya kupata vijisenti??sikumbuki kama nishawahi sikia Mengi au Manji watu wenye pesa zao wameandaa party km hivi basi km wamefanya hawajazikuza km za sie wabongo wenye life la kawaida. Je kuna haja gani ya kuweka party kubwa wakati vijijini kwenu hakuna hata zahanati ya kuwasaidia binamu zenu wanapojifungua...!!! Pia kuna wale watoto yatima na waishio katika mazingira magumu, au unaandaa shampeni 15 za party wakati watoto wa mjane jirani yako wanakosa hata uji wa asubuhi ule wa chumvi.katika hilo sidhani kama kuna wanaokumbuka Kumtolea Mungu sadaka kwa kushukuru japo kwa kufikisha hiyo miaka kadhaa. Tusifanye vitu kwa mkumbo. Hizo ni salamu tu shangazi.

  ReplyDelete
  Replies
  1. acha ujinga we dada kila m2 ana nafasi zake katika maisha na ata ukiwa nani huwez kusaidia wa2 wote duniani hivyo hakuna ubaya m2 kutumia pesa yake jinsi anavojiskia. we ushawasaidia wangapi ....????????????????

   Delete
  2. Mwenzako hyo hela ya kuxaidia wa2 alshaipanga na ya bday ina nafac yke kwahyo km ww huwez wenzako wanaweza

   Delete
 3. to be honest i was dislike that boy ADAM. but i was wrong. naweza kukiri am very sorry my bro . japo unijui ila nilikuwa nakuchukia nikijua hayo majigambo yako ni ya bure kumbe sio. hongera sana kwa kuwa mfano kwa vijana nilijua ni mtu wa kujirusha tu usie na hata pakulala,! kumbe i was wrong.Hayo ndo maisha ya vijana wa A TOWN wanjali sana wanpoishi uwe mfano kwa vinja wa Dar. BIG UP ADAM
  RIDA

  ReplyDelete
 4. Kama NewYorker nampongeza adam kwa mpangilio mzuri wa nyumba yake shukrani za pekee ziende kwa girlfrend wake.Ila bado sipendi hizi alama za vidole mnazoonyesha mkipiga picha

  ReplyDelete
 5. LOOOOOOOOOOOOVE MILARD AYO!!!

  ReplyDelete
 6. nice pics,kind dark thou! watu washerehekee b'day zao km hivi, watu wachache wa karibu, tupunguze mashauzi na matumizi ya pesa yasiyo na lazima. my take,
  mdau Ars.

  ReplyDelete
 7. Kwanza Mbona Dina haupo pichani? Pili ninaomba nitoe jibu kwa Anony 11:29PM hapo juu. Sijui kama ni mkaka au ni mdada lakini napenda kumwambia kuwa maisha ni mafupi sana, Hivyo ukipata nafasi ya kufanya sherehe fanya sherehe kubwa tu haiwezekani unajuta Jan. hadi Desemba. Sherehekea na watu, kaa na watu zungumza na watu wakenya wameongezea upate viatu. Hao unaowataja akina Mengi na Manji wana matumizi makubwa na ya ajabu kuliko unavyofikiri. Ngoja nikuonjeshe kidogo tu mafundi wa nyumba zao wanazoishi walitoka South Africa na walikuwa wakikaa New Africa Hotel.Ghalama za kumweka fundi Hotelini na kumsafirisha toka huko alikotoka ni afadhali angewachukua Wachina waliokuwa wanajenga uwanja wa taifa wamjengee. Kumbuka Manji alikuwa na mafundi nane na mengi alikuwa na mafundi sita wote walikuwa New Africa Hotel. Naomba nisiendelee maana matumizi ni makubwa na ya kutisha. Huyu Bwana Mdogo acha afanye sherehe mimi nawapongeza wana CLOUDS wote kwa mshikamano wenu ........Barikiwa!!!!!

  ReplyDelete
 8. Hongera sana Adamu, mungu akuzidishie miaka mingine 100 mbele.
  Halafu, hivi uyo Soggy anajishaua hapo, ndo amekimbia ndoa moja kwa moja mjini Arusha, alikua anajishaua kweli. Vipi Salma yuko wapi!!

  ReplyDelete
 9. Jamani nipeni siri ya watu kuwa na mijengo mikubwa hivyo ukizingatia life iko juu huko dar? Mimi niko dom ila najituma ile mbaya nina mpango wa kuhamia dar ila najiuliza life nitaiweza kama huku maana huku niko juu ila je huko nitaweza kushindana na akina adm na Dina?

  ReplyDelete
 10. Anonymous said...
  Jamani nipeni siri ya watu kuwa na mijengo mikubwa hivyo ukizingatia life iko juu huko dar? Mimi niko dom ila najituma ile mbaya nina mpango wa kuhamia dar ila najiuliza life nitaiweza kama huku maana huku niko juu ila je huko nitaweza kushindana na akina adm na Dina?


  Sijui ni mdada au mkaaa bana hapa bongo wewe kama una akili utaishi ila kama unahitaji maisha ya kuigiza endelea huko uliko otherwise kimtindo bongo unatoka.

  Hapa bongo muuza muhogo ni superstar bana sema tu hawa watu hawatolewi katika hizi bog kwani ni watu furani wana maisha very simple isitoshe wanamiliki vyao kihalali....

  Karibu bongo ni tambarareeeeeee ila sasa usijifanye mjuaji saana tutakutoa ushamba

  ReplyDelete
 11. Da Dina kwanza naomba radhi kuwa huenda nayoandika sio mahali pake, pili naomba kuuliza na unisaidie mie ni msichana mrembo tu nami najijua. Kiukweli nampenda sana MILLARD AYO natamani awe mume wangu hata dakika hii. nataka kujua km ana mchumba au girlfriend nataka nijue hili ili nami nijaribu mbinu zangu nimpate japo sie wanawake wa KiTZ ni ngumu sana kum-approach mwanaume. nimekuwa nakosa amani tangu aanze kutangaza ITV i wish ndio angekuwa mwanaume wangu wa kwanza kuniingiza katika dunia nyingine coz namshukuru Mungu sijaanza kufanya mapenzi mpaka ka umri haka niliko nako (21 years)napata picha ndio anakuwa baba watoto wangu how handsome watakuwa kama ambavyo alivyo Millard. Da Dina waweza niona chizi sure I'm real crazy for that boy. Najua ni ngumu kutoa data za mtu but pliz do for me lakini jaribu kuongea nae kama atakubali utoe data zake akikataa basi tajua nifanyeje. Kazi njema nami nakupenda Da Dina lakini hufikii kwa Millard. Usinicheke......Kazi njema.

  ReplyDelete
 12. Bongo bwana watu kwa sifa huwawezi, hujui hata nyumba huwa tunapanga pia? even for a wk, ili mradi nionekane, c unamjua mpare kwa misifa huyo, lol! kama magari vile. so uciumize kichwa ukidhani kila mtu anaweza, huwezi jua, kama yake au la. angalia yako

  ReplyDelete
 13. kwao? pake? sijaelewa!

  jmb

  ReplyDelete
 14. nice house bro, mi napenda sauti yako, you have a cute girlfriend umtunze na kumpenda, nice hairstyle..................

  ReplyDelete
 15. Anony 8:41AM unampenda Milad Ayo. Usituharibie mtoto bado Mdogo. Subiri akue, Usitukomazie mwanetu. Mwenyewe ni mchapakazi kweli akija kwako tu utaanza kumkataza asitangaze tena atafute kazi nyingine, ataipata wapi? Ushindwe! mwache mtoto afanye kazi mtafute baada ya miaka mitano. ndio atakuwa amekuwa. Harafu Dina ameweka e-mail address yake hapo juu na simu ipo si uwasiliane nae kuliko kujitangaza humu upendo wako kwa watoto wadogo? Nasema tena Ushindwe!! .................Kizito!!

  ReplyDelete
 16. adam gfriend wako mzuri kweli jamani nimempenda..tulia sasa huyo anakupenda kiukweli acha kuruka ruka.

  ReplyDelete
 17. HIVI HIZI BEDHIDEI MBONA TAABU TU!!!! HII TUNAITA " Rejuvination"

  ReplyDelete
 18. hiyo ni nyumba ya kupanga wacheni kumsifia sana, ingekua ya kwake ningemsifia pia, au mnataka na mimi nipige nyumba yangu picha niiweke kwenye blog

  ReplyDelete
 19. Adam upo juu mwana,hata kama iyo nyumba ni yakupanga but you spend your money.Asa Adamu we mkristu na huyo dem muislam so mtazini mpaka lin?

  ReplyDelete
 20. waz gud men adam u gotta cribe dude

  ReplyDelete
 21. adam upo juu ila dem dizain kama kadoroka kwao hiv

  ReplyDelete
 22. ashashashaaa!mwendhangu!c nimemuona mama john thatha!by the way hongera mchomvu fanya makeke kile kitu cha aisha kiwe pambo kwa mjengooooooooooooo unabisha!

  ReplyDelete
 23. waoooooh,mlijipanga adam.wap b12 na fety?

  ReplyDelete
 24. Adam ukooo juu zaidi namna gani hivi usifoget mahome broo

  ReplyDelete
 25. wabongo kwa sifa nyinyi

  ReplyDelete
 26. nice broda bravoo

  ReplyDelete
 27. i love it
  nice bro

  ReplyDelete
 28. sawa watu mnasema ni nyumba ya kupanga lakini si kwake au? Acheni kudis maendeleo ya watu... Mtu akiwa na maendeleo asifiwe bwana..

  ReplyDelete
 29. Think big,act big.

  ReplyDelete
 30. i love u adam vry mch achana na hao wanaokudis songa mbele best ilv u vry mch afu wifi wa UKWELI had raha.i knw u dn knw me bt am scholah from UDSM

  ReplyDelete
 31. DUUUH BABA JONIIII WE NI MKARE ARIF,TC ME UR SON JONIIIIIIIIIIII

  ReplyDelete