Tuesday, March 8, 2011

MARLAW NA BESTA KUFUNGA PINGU ZA MAISHA JUMAMOSI

Wanamuziki wawili wa muziki wa bongo fleva hapa nchini Marlaw na Besta jumamosi hii wanatarajia kuwa mwili mmoja kwa kufunga pingu za maisha.
Dina Marios nawatakia kila la heri katika maisha ya ndoa,mtangulizeni mungu katika ndoa yenu na mpendane,mvumiliane na kuheshimiana!!pia mawasiliano yawe nguzo yenu katika kudumisha urafiki wenu na mapenzi yenu!!

12 comments:

 1. yeah!! How can i comment??? But I remember i wish them nice wedding and Jesus Son of David let him bless them.

  ReplyDelete
 2. wote nawakubali lkn mbona mwanzo wkt wanaulizwa km wenyewe ni wapenzi ktk vyombo vya habari mbona walikuwa wanakataa iweje hafla wanakubali kuwa wanafunga ndoa mmhh au maneno2 ya watu yakasabbsha wakajkuta wapenzi na hatimae kutangaza ndoa!!! haya kila la heri dina uturushie picha za harusi

  ReplyDelete
 3. Nawatakia heri na baraka kwenye maisha yao ya ndoa! kama ulivyosema Dina Mawasiliano yawe nguzo yao katika kudumisha mapenzi yao.

  ReplyDelete
 4. nawapa hongera sana nice couple jamani na mshike baraka alizowapa dina marios me nawapenda wote kwa vipaji vyenu na sauti zenu nzuri mkiwa mnaimba, mungu aibariki ndoa yenu marlow and besta.
  naitwa makigenda,

  ReplyDelete
 5. Umechagua kabati zuri Marlaw, naona wivu ungechelewa kidogo tu ungekuta nimeshawahi. nakumbuka mliulizwa mlikataa kuwa sio wapenzi lakini naona ndo ilikuwa njia ya nyie kuungana. kila jema kwenu..........Kizito!!

  ReplyDelete
 6. Ni vizuri sana ili mumlee mtoto wenu vizuri apate mapenzi pande zote i mean ya baba na mama.......be blessed

  ReplyDelete
 7. Jamani hii ni the switest couple kati ya za wasanii wa bongo...kwanza wote wanajiheshimu na wanajitambua mbali na yote ni vioo vizuri kwa jamii kwani sio watu wa skendo.....nawatakia maisha mema ya ndoa....na nategemea mtakuwa mfano mzuri wa kuigwa.... nawapendekeza Mr& Mrs G.Habash wawe Role model wenu..they are the best example
  (ni mfano wa kuigwa)ALL THE BEST GUYSSSSSSSSSSSS

  ReplyDelete
 8. i like it.God bless u all.

  ReplyDelete
 9. WAOOOOOUH......! LOV THAT GUYS.....KWANZA MNAPENDEZA, NAWAOMBEA KWA MUNGU AWALINDE NA AWAJAALIE MAFANIKIO KATIKA NDOA YENU IWE YA AMANI, BARAKA NA UPENDO.....CHEEEEEEEEERS TO YOU GUYS.....! OL DA BEST..!

  ReplyDelete
 10. nimeipenda sana hii na hongereni sana,ni mara chache kwa wasanii wetu wa kibongo kufikia hatua hii.wengi wanaishia kuchezeana 2.ALL THE BEST.NAMGALLAH.

  ReplyDelete
 11. Aisee Dina nna ham ya kukuona,ila ungekuwa unawakaribisha wasikilzaj mara moja studio ufanye nao kipind naona ivyo itanoga zaid!

  ReplyDelete
 12. hongeren sana Mungu awatangulie ktk ndoa yenu kwan mumeonyesha jambo la maana sana kwan ni wasanii wangap wamefanya k2 kam hicho?............ALL THE BEST,,,
  EVODIUS FAUSTINE from Tbt(Dar)

  ReplyDelete