Thursday, June 16, 2011

SINTA ANAKUKARIBISHA UMTEMBELEE KATIKA BLOG YAKE

Ni muigizaji wa siku nyingi ambae amekuwa kimya kwa upande huo wa uigizaji.Ila anafanya kazi zingine tu... kama unataka kujua mengi kumhusu mtembelee www.prettysintah.blogspot.com

48 comments:

 1. Sinta ulikuwa maji ya kunde, Huo weupe umeutoa wapi? Ulikuwa unapendeza sana na ile rangi ya kwanza, hii ya sasa hivi nope, haipendezi!

  ReplyDelete
 2. Sinta we kweli ni pretty girl.

  Mm kama mdau, naomba utuwekee CV yako japo kidogo its a long time dear, tunahitaji kujua ulipofikia.

  Take care Pretty Sintah


  Mwaj.Dar es Salaam, kinondoni Studio

  ReplyDelete
 3. POA TUTAPITA KUANGALIA KM KUNA MAMBO YA MAANA.DINA KATIKA KIPINDI CHAKO CHA LEO TENA UNAWEZA KUZUNGUMZIA HILIA SUALA LA WANAWAKE KUJIHUBUA(KUJIKOROGA)HADI WANAKUA KM VINYAGO VYA KUTISHA WATOTO!?YAANI KWAKWELI INASIKITISHA SANA JINSI WANAWAKE WANAVYOJIHARIBU NGOZI ZAO NAKUJITAFUTIA MARADHI YASIYOTIBIKA

  ReplyDelete
 4. Asante kwa kukaribishwa, Dina. Tutakuwa tunapitia blogu yako hii mara kwa mara. Mungu akijalia, lakini!

  ReplyDelete
 5. wala hajapendeza, unafiri weupe ndio uzuri basi umejiharibu.

  ReplyDelete
 6. Dinah achana nao hao wanaopenda kufuatilia maisha binafsi ya watu kama anajichubua au kujikoroga ni yeye hamna kazi za kufanya? wewe unayependa kutoa kasoro wenzako wewe umejiangalia una kasoro gani? acheni uswahili wewe angalia maisha yako, maisha yako yanakushinda kazi kukaa kukosoa watu. Hiyo tabia acha mara moja unaboa loh..!! lazima utakuwa unakaa Buguruni si bure

  ReplyDelete
  Replies
  1. sasa wenyewe ndio wanataka wafuatiliwe na kutolewa kasoro kama hawataki wajifungie ndani na wasijiuze sura kwenye blogz...na wewe utakuwa muathirika wa kujichubua wewe...wewe unaeishi wapi cjui ukifa hauozi?

   Delete
 7. Hakuna cha maana kwenye hiyo blog....... jamani tafuteni blog administrators wanaoelewa cha kufanya. Sasa Sinta hiyo blog ya nini? Tangaza baso hata biashara yako tuione??????????????????

  ReplyDelete
 8. dinna you blog ipo vema sana dada,nimepita ulipo tukaribisha duh!!!!!comment za huko ful mitusi,think watu wakubali kujifunza jamani.

  ReplyDelete
 9. she is beaut kiukweli so be care, and why you change you are rangi

  ReplyDelete
 10. tumeona wauza sura km kawa na habari ambazo tunazijua jipya hakuna ajipange

  ReplyDelete
 11. umenena mdau alikuwa na rangi kama ya Anty ezekieli ila sasa cheupe dawa !! mh atai

  ReplyDelete
 12. mmh! hiyo blog nimeitembelea dina ya PS sijui yaani ni michosho tu,umbea na kusengenyana mmh haifai kabisa, sisi tumezoea blog yetu ya kistarabu tukikosea tunaelimishana lakini hiyo ya shoga kidawa ina wenyewe na inaonyesha wanajuana maana wanachambuana kisawasawa. mdau atown

  ReplyDelete
 13. congrats to her!

  ReplyDelete
 14. Kama mdau wa hapo juu alivyo sema,ni kwanini hatujikubali na kufurahia ngozi zetu?badala yake kujibadilisha rangi na kua kama vinyago,jamani dina hebu ongeleeni hili kwenye vipindi vyenu.

  ReplyDelete
 15. yaani uso wako umeonekana mweupe sana kuliko mwili wako km ni vile vitu naomba vipunguze mdogo wangu we ni mzuri tu hata ukivaa kaniki bado ni bomba

  ReplyDelete
 16. ana mimba mbona full kitambi au ofa za bia na michemsho

  ReplyDelete
 17. jamani msimsimange jlo wetu wa bongo hahahahaha kwn akijichubuainahuuuuu ww umekatazwa sinta jichubue as u wish mradi umpendae hakukatazi jichune utakavyo mnaacha kuongea mambo ya msingi mnaakaa kusemawenzenu loooh

  ReplyDelete
 18. dina ulikuwa na nywele nzuri sana natural za kipilipili, Huo uindi umeutoa wapi? Ulikuwa unapendeza sana na zile nywele zako za kwanza, hizi za sasa hivi nope, hazipendezi

  ReplyDelete
 19. sauti yako tamu,wewe nisababu ya mimi kusikiliza redio hata kama nipo kazini.naeshimu hunachofanya hongera sana dada

  ReplyDelete
 20. tutapitia kumcheck sister wetu ila yupo kimya sana

  ReplyDelete
 21. dada uckate tamama kama kaka darasa wabongo ndo 2livyooo,ila punguza kuandika umbeaaaaaa na ww.

  ReplyDelete
 22. jamani msipende kufuatilia maisha yake ya ndani ... usimuangalie kama kajichubua au laa angalieni news tu na kuondoka... mambo ya kuuana tuache jamani mnamponda hivyo dada wa watu si kapendeza huyo ila katoka lakini na mimi namwambia kama kweli kajichubua ni noooma ... lakini kama ni ngozi yake basi awasamehe wote waliomchefua nikiwemo... jama deki ni nomaa...... unakuwa kama mzungu du tutaibiwa saana mwaka huu

  ReplyDelete
 23. huo umbea wa kuchunguza haupo buguruni peke yake, we uliyesema buguruni shika adabu yako tena ukome, wapo wanaokaa masaki na wadaku vilevile.

  ReplyDelete
 24. dina ongea na mtu aliyesema buguruni co siri amenikera, kama yeye anakaa masaki isiwe sababu ya kututukana cc cjapenda kwakweli

  ReplyDelete
 25. ki ukweli, wadau wengine mnaboa jamani, kama mtu anakaa buguruni it has nothing to with comments you make. Kama ni maoni yangehusu blog ya sinta and not otherwise. I am not of buguruni but some people need to learn manners

  ReplyDelete
 26. Dina, I am a regular visitor of your blog. I am living in Cote d'Ivoire. I love your work and I support very well you program of the "leo tena" keep it up. But I would like to ask you to carefully review the comment that come on your blog. Please reject some of these they are too negative to individuals or locations. Mfano, the person who said "lazima utakuwa unakaa Buguruni si bure" not a joke, ameniboa sana ingawaje si mimi si mkazi wa buguruni.

  ReplyDelete
 27. da sinta kitambo sana vp unajishughulisha nanini kwa ss na vp sanaa umeacha kabisa au unaaandaa filam yako naningependa kuona filam yenye uhalisia wa maisha yako ulipo toka ulipo ninakukubali sana kwenye sanaa

  ReplyDelete
 28. Dina, mi nakupenda saaaaana. Nakipenda kipindi chako pia japo sina muda sana wa kukisikiliza kutokana na mazingira ya kazi ninayoifanya. Hivi lablda unieleweshe pengine kuna kitu sikielewi. Blogu ya sinta ina kitu gani cha maana? Sitaniii nipo serious. pengine nikiambiwa akili itafunguka kidogo. Nimewahi kuitembelea mara kadhaa lakini huwa naona picha za matukio ambayo siyaelewi. Nisaidie kumshauri aspecialize kwenye kitu kimoja, yan kama umbea, fashion kama 8020, maisha ya kila siku km ya kwako, shughuli kama ilivyo mashughuli au chochote kile. Akifanya hivyo me ntakuwa mdau wake namba moja.

  Mimi

  ReplyDelete
 29. Mhhhh jamani sasa basiii imetosha

  ReplyDelete
 30. JAMANI MSIWE NEGATIVE ALL THE TIME NADHANI NI BUSARA KUMSHAURI WHAT TO DO NA SIO KEBEHI NA MATUSI TUBADILIKE NI STEP AMEPIGA KAMA ANAHITAJI CHANGES MSHAURI

  ReplyDelete
 31. elimu nayo inasaidia. angesomaga asingefanyaga haya yote.
  nakarisha matuc na majungu afta ths comment

  ReplyDelete
 32. hongera sana kwa kufungua website. napenda sana kutembelea website yako lakini imekuwa haifunguki tatizo ni nini?

  ReplyDelete
 33. UMEPENDEZA ACHANA NA HAO KEEP IT UP

  ReplyDelete
 34. KWA KWELI ME NAONGEA UKWELI MTUPU SINA UPANDE WOWOTE NINAO PENDELEA NI MDAU TU KWA KUWA NINA KA LAP TOP CHANGU KUPERUZI MITANDAO PIA NAPENDA: UKWELI SINTA MWENYEWE NDIYE ANAYEKARIBISHA COMMENT MBAYA KWENYE BLOG YAKE KWA VILE ANAONEKANA ANABIFF NA MTU FLANI SASA NDO ANAJARIBU KUMNANGA NA KUMPANDISHA MWINGINE ILA AFAHAMU KAMA YEYE ANATAKA MASHABIKI WENGI NA BIASHARA ZAKE ZIKUE AACHE UPAMBE USIO NA FAIDA NA AWE NEUTRAL COZ ANAWAGAWA WATU.. MFIKISHIE HUO UJUMBE DINA, SI AWE TU KAMA WEWE INGAWA WATU HATUFANANI ILA UKIWA KATIKA STAGE FLAN NI LAZIMA UCHANGE.. UGOMVI WALA HAUNA FAIDA MANA KILA MTU NA MAISHA YAKE MWISHO WA SIKU.

  ReplyDelete
 35. Nadhani nipo gizani,hivi kuwa na blog pia ni maendeleo????

  ReplyDelete
 36. haahhahahahhaaaaaaaaaaaaaaaa sintah wee

  ReplyDelete
 37. mimi nakupongeza sana SINTA for the stage u have reached, but remember ur not perfect I have visited your blog and I found those pictures of a girl known as LAYUU as u named her, for real I don’t know her, but am not happy with the pictures.Wats the reason of u putting those pics ON YOUR BLOG? as woman you would have counseled her privately. IF I CAN FLASH U BACK TO YOUR PAST UR NOT FIT TO BE EVEN AN ADVISER. DINA I love your work but please advise her on such issues, if she wants our support as women and Tanzanians. all in all SINTA ur a good girl and u can turn ur blog into something good if we are to learn from it lets learn not be biased.

  ReplyDelete
 38. jieshimni mueshimike sio kujiuza kiaina mnatutia aibu, na uo utumwa wenu ,maendelea sio kompter bail ni akili na maalifa sasa kukaa uchi ndio nini mnatutia aibu wadada wenzenu

  ReplyDelete
 39. Unajua sinta wewe ni mojawapo ya wadada wenye bahati kwa bado unadai sanatu

  ReplyDelete
 40. mwacheni j lo we2 tena siku hizi ametulia sana

  ReplyDelete
 41. haya bwana sinta jlo wa TZ wema rihana wa TZ Dimond cris brown wa TZ haya waleteni na wengine au mnzsemaje

  ReplyDelete
 42. Dina blog yako ni nzuri na unapost vitu vya maana na vya kutuelimisha kimaisha kwa ujumla. Sasa blog ya huyo bidada nadhani ni shosti wako pinta sioni la maana zaidi ya yeye kupost coments za kujisifia eti msomi na coment za kudiss na kukandia watu sisi za nini? sinta anajisifu msomi kasoma wapi? hiyo english course aliyosomea vichochoroni ndio za kujisifia? kama ana akili aache watu wamsifu na sio kujisifia! anajishushia hadhi pia kupost coments za matusi blog yake haina la maana!pole yake

  ReplyDelete
 43. jamani mnaponda sana mengne mkisema mbakishe,kama kajichubua c yeye acheni bwana.dina big up

  ReplyDelete
 44. Amependeza wabongo wivu mwingi

  ReplyDelete
 45. WIVU NI SHIIIIIDA WANAWAKE TUPENDANE MAWIVU HAYAFAI

  ReplyDelete