Thursday, July 28, 2011

MAREKANI...UNAMKUMBUKA MWANAUME ALIEBEBA MIMBA NA KUJIFUNGUA?

Ilikuwa mwaka jana wakati wa mimba yake ya tatu ndio dunia ilimjua na kusikia hadithi yake lakini hiyo ilikuwa ni mimba ya mtoto wake wa tatu.

Anaitwa Thomas Beatie (ana miaka 37)kwa sasa anaendelea vizuri na amesharudisha umbo lake baada ya uzazi kama anavyoonekana pichani japo bado ana zile strech marks kwa mbali.

Thomas pichani mwaka jana baada ya kujifungua


Thomas ana mke wake anaitwa Nancy ambae yeye ana matatizo hana uwezo wa kubeba mimba.Kihistoria Thomas alizaliwa mwanamke lakini muda ulivyozidi kwenda alihisi anataka kuwa mwanaume hivyo m akaanza kuchoma sindano ya testosterone ya kumfanya awe na ndevu,sauti ya kiume na pia kuchange sexual organs.
Mwaka 2002 akawa mwanaume kabisa ila alibakiza uke wake,kizazi chake ili aweze kubeba mimba na kupata watoto.Miaka nane iliopita akaacha kuchoma hizo sindano ili kujiandaa kubeba mimba wakatafuta mtu wakujitolea mbegu za kiume wakampata na kuanza kubeba mimba.


Wanandoa hawa wana fanya tendo la ndoa kama kawaida kwani zile sindano za kuamsha hormones za kiume zimefanya clitoris(hapa nimeona nitumie kiingereza maana kusema kwa kiswahili) yake iwe kubwa kama uuume.

Watoto wao watatu wakiwa na afya tele

14 comments:

 1. Mh hii kweli kali kuliko nakumbuka walitoa kwenye gazeti la ijumaa kama sikosei kumbe ndivyo alivyokuwa hivyo jamani..watoto wao wazuri na wenye afya tu.Hii ndio dunia kweli tukue tuyaone

  ReplyDelete
 2. Duh mabig..ila uchizi huu bora tuishie kuusoma na kuacha kama ulivyo maana matatizo yake baadae huwa makubwa tu.sema hiyo ya kukuza clitoris mpaka kufikia ukubwa wa ku do ndo imenitisha zaidi duh baraaaa.
  HS

  ReplyDelete
 3. Hi Dina mara nyingi huwa nakerwa na uandishi au waandishi wanaom refer huyu kama mwanaume ilhali yeye ni mwanamke na alifanya upasuaji wa kuondoa matiti kama uonavyo chini ya maziwa yake kuna mstari wa operation ya kuondoa matiti. pili hata hiyo clitori unayoisema pamoja na kukua haiwezi kufikia urefu wa Dick ya kiume so ukweli ni kwamba hawa wote wawili ni wanawake na tusilazimishe mambo wacha mungu aitwe mungu, au ndio ule usemi baada ya mungu mzungu?

  ReplyDelete
 4. mmmmmh hapo dina nadhani CD imeruka kdg inabidi unyooshe maelezo vzr! clitoris yake kuwa kubwa kama uume??!! kwa hiyo bao linapigwaje hapo sasa wkt hatoi shahawa?! au ndio wanashikana na kusagana tu na mkewe kisha wote wanamaliza wanalala?!!!!

  ReplyDelete
 5. Dina hapo umenichanganya. Kwani aliyebeba mimba ni huyu dumejike? Kwani alipofanyiwa upasuaji ili awe mwanaume aliwekewa penis ya kuchonga ? (bandia?). Je hiyo clitoris iliondolewa? Sasa kama alihitaji kupata watoto (kubeba mimba) kwa nini alienda kuoa mwanamke "mwenzake" badala ya kutafuta mwanaume wa kumzalisha? Watoto wake watamwita baba au mama? Huyo mke wake wa kiukweli aliyeko naye sasa (pichani)wanalambanaje? maana wote wana clitoris unless uniambie wote ni lesbians. Kweli duniani kuna mambo

  ReplyDelete
 6. Ana mke mrembo sana bonge bonge hivi .. wanawake wanene wana raha yake, lkn nahisi mwanaume mwenyewe kakaa kisoft soft hivi au siyo Dina??

  ReplyDelete
 7. Dina sasa hao watoto huyu thomas ni mama yao au baba yao? ...naomba nijibiwe jamani

  ReplyDelete
 8. Jamani kama sijakosea hata huyo mke wake naye alikuwa mwanaume amejibadilisha kuwa demu lakini sio mwamke wa ukweli.ni jinsia mbili tofauti.kuhusu hiyo cliter take kuwa kuwa kama dk sidhani maana haitokuwa ngumu kama naniliii hahaaa labda msuguano.

  Wanatumia dildo hao hawana lolote hawataki kusema ukweli wanadanganya. Dunia imekaribia kupasuka jamani

  Kimamiiii

  ReplyDelete
 9. jamani mnajua bie kila siku huyo mama mwenye ki[indi cha kichen party mie najua ni bi chau yani wamefanana sana sauti utafikir bichau


  kimami

  ReplyDelete
 10. Watu sijui kwanini wanapenda kumkosoa Mungu. Mungu na awasamehe tu!

  ReplyDelete
 11. aya bana yetu macho niliwaona hawa kwa oprah jamani

  ReplyDelete
 12. mambo da dina, mi naitwa neema na ni msikilizaji mzuri wa kipindi cha leo tena. ninapenda sana unavyokiendesha. keep up the gud work kwa kweli

  ReplyDelete
 13. hawa watu wote ni wanawake,kinachofantika hapo ni tendo la kusagana maana hiyo clitoris haiwezi kufikia hatua ya kufanya kazi kama dick na kumtosheleza huyo mkewe woye wana jinsia moja hao.

  ReplyDelete
 14. Mungu awasamehe maana hawajui watendalo

  ReplyDelete