Nakupenda kwa mengi ucheshi wako,uchapakazi wako,upendo wako,kujitoa kwako na ushirikiano wako.Nafurahi kufanya kazi na wewe
na kushirikiana na wewe katika kufikia malengo yetu.Nakutakia heri na baraka katika siku hii muhimi kwako.Siku ambayo Mungu alikuleta duniani uje kutimiza kile alichokutuma kufanya...naamini ndicho unachokifanyia kazi sasa na unatarajia kukifanya zaidi ya hapo.
Happy birthday!
hata mimi nakufagilia kwa kutimiza miaka kadhaa ya kuwepo hapa duniani,nakuombea kwa mungu akupe maisha mrefu.
ReplyDeletesiku zote nakubali kazi zako.hongera binti wa kiafrika.
morogoro
happy birthday homiez,
ReplyDeletedina ujumbe wangu uko so emotional
HONGERA SANA SHAMIM, NAKUONA UKITIMUA VUMBI KWA KWENDA MBELE. HAYA NAKUTAKIA MAISHA MAREFU MATAMU NA YENYE MAFANIKIO.
ReplyDeleteMAASHAA LAAH, SHAMIM HUBADILIKI KILA MIAKA IKIZIDI KWENDA MBELE WEWE UNAZIDI KUWA MREMBO.
ReplyDeletemmh! najua cio mahali pake but i have to tell u yaani wewe mbona huna upenda na wenzio, yaani umeshindwa hata kupost pic ya marehemu Mh. Regia Mtema, ndio ule ugomvi wa boss wenu na Mr,2, unaogopa kibarua kitaota nyasi? lol, kumbuka kwamba alikua mpiganaji mzuri kwa Wanawake na hata walemavu kwa ujumla, ndio maana hata vipofu walifika kutoa heshima za mwisho.
ReplyDelete