Wednesday, January 25, 2012

HATA WEWE UNAWEZA KUSHIRIKI KWENYE HILI

Taasisi ya Hassan Maajart Trust. Makusudi ya Taasisi hii ni kuhamasisha jamii kuchangia madawati na vifaa vingine katika shule zetu ili kufuta kabisa aibu ya watoto wa Kitanzania kukaa sakafuni wakiwa mashuleni.
Taasisi hii pia ina duka la hisani yani 'Charity Shop' ambayo watu wanaleta nguo, viatu, vitabu, vyombo nk, vya zamani vyenye ubora na hali nzuri ambavyo hawafikiri kuvuvaa tena, au kivitumia tena, na sisi tunaviuza second hand na hela zineanda kwenye mfuko wa madawati.

1 comment:

  1. BORA ELIMU AU ELIMU BORA??
    MIAKA 50 YA UHURU BADO TUNASOMEA CHINI .. INASIKITISHA.

    ReplyDelete