Ni habari ambayo iliwashitua wapenzi wa muziki wengi mwaka jana mwezi wa saba ya kuachana na mumewe Marc Anthony waliedumu kwa miaka 7.
Kuachana kwao hakujaeleweka sana maana ilisemwa ni kwa sababu Marc alikuwa akijaribu kumcontrol kimavazi Jlo.Alikuwa akimtaka avae kiheshima kwani tayari yeye ni mama wa watoto wao wawili mapacha Emme na Max na pia yupo kwenye miaka ya arobaini na kitu.Mdada alikuwa hataki kupangiwa cha kuvaa matokeo ugomvi wa mara kwa mara kama kulikuwa na mengine sijayasikia.


RAHA YA MAPENZI UMPATE AKUPENDAYE.
ReplyDeletedina bwana tupe pic za kitchen pty gala .................ebo ulivoandika icho kichwa cha habari abt jlo nikajua kuna jipya kumbe yale yale sasa apo kafanyaje?????? mtu kufanya ki2 roho inapenda kuna makosa????? au KWASABABU WE MAPENZI YAKO YAKUJIFICHA?????
ReplyDeleteJamani kwanza lets talk ivi kusema kuwa una mpenzi na jina lake fulani kuna tatizo???au utahisiwa malaya?????mana dina ushauulizwa humu sn sn sn sn sn hujibugi chochote unahisi HESHIMA ITASHUKA???
Wengi wanahofia nikisema afu tukiachana itakuwaje. unazani jlo hajui km kuna kuachana??? jiamini and anjoy the moment km ikitokea mambo hayaendi basi lakini haimaanishi kwamba we malaya
duh mdau hapo juu umempasha dina!!!!!!!!au ulikuwa unamtafutia nafasi?
Deletehajaolewa ndio maana hawezi kuweka bayana mahusiano yake.mwacheni jamani mbona hivyo.
Deletekila mtu huwa na maamuzi kwenye maisha yake binafsi sasa kwa vile jlo anajianika ndo unataka na Dina afanye hivyo?? mdau umechemka.
DeleteKweli J.LO anavituko anadhihirisha usemi wa age doesnt mater in lv..lakii kazidisha
ReplyDeleteUmeonaeeeeeeeeeeeeee...................Mdau Big UP!
ReplyDeleteMambo Mengi Anonymous 05:50 atakua kasahau kuchaji Camera
ReplyDeletena hivi alikua mshereheshaji dumbukia kwa Zeze kama vip.
We anony wa jan 30,unaonaje ukimtaja wako kwanza tukamjua then tuone itakuwaje kwani Dina akimtaja wake we utapata faida gani?
ReplyDeletehakuna ubaya hapo,she is hot.ukimuangalia j.lo,age yake haijulishi kabisa ni 40 plus.kapata wanaependana si vibaya,mwache ae enjoy
ReplyDeleteHivi kwani lazima ujitangaze?! Na ukishajitangaza unapata faida gani?!! Wewe uliyemshauli mind u life...usimpangie jinsi ya kuishi, kama Da dina anaona hawezi fanya publicity its okey..likewise sipendi kabisa,,,, so let her live her life.
ReplyDeleteMambo Dina, naomba uweke picha za Kitchen Party Gala...
DeleteDina Kitchen party Gala inakufundisha nn ww?
ReplyDeleteWote mnaolumbana hapo juu kuhusu kutaja au kutotaja majina ya mabwana zenu - Nawashauri mtafute kazi ya maana itakayojenga maisha yenu badala ya kupoteza muda wenu kwa mambo ya watu wengine!!!!!!!Poleni sana wabongo!!!
ReplyDeleteinahuuuu!!!@betty na we pia katafute kazi ya maana ufanye ujenge maisha yako kwani umeitwa hapa au umelazimishwa utujibu mijitu mingine ovyoo stress zakusumbua tu. loh huruma!!
Deletesome time wazee wasiku hizi sio kama wa zamani wa ss wanaboa mapenzi yao ya kizamani lkn kijana kama huyo kama hakuzingui ujue utaenjoy ile mbaya, lets her enjoy her life.
ReplyDeleteJamani mnapomuambia mtu amtaje mpenzi wake akikataa msimponde maana unaweza kukuta huyo mpenzi wake ni mumeo ama baba yako na ni kigogo asiyependa kujulikana.All in all mpenzi wake atakuwa ni mume wa mtu na wanacheat hivyo hawezi kuweka hadharani jamani.
ReplyDeleteKitchen party Gala inakufundisha nini?
ReplyDeleteOk Dinah tumemwona JLO na wake ampendaye,kama ni dancer au musician it doesn't matter muhimu wanapendana,eeh na wewe wako yupo wap, au hajazaliwa. Maana last birthady yako ulitwambia tukuulize mswali yeyote utatujibu, sijui iliishia wapi!
ReplyDeleteTupe hizo picha za Kitchen party Galla basi
ivi unafikiri m2 km mie nikimtaja bwanangu kuna m2 anataka kujua ni nani???? AN NOT DINA MARIOS. naitwa Shamsa Mwaikambo bwanangu Cliff Diodone Koneya kitaa Msewe watu wote wanalijua hilo. na siku tukibwagana basi kila m2 anaugulia kivyake zen life goes on ila kwa sasa kwakweli we enjoy the moment. WASOJIAMINI WOOOOOOOOOOOOOTE HAWAWEZI KUSEMA WANATOKA NA NANI NA KM VIPI BWANA UNA MADEMU 2 AU MABWANA 2. SI KM UNAFANYA MAPENZI HAZARANI UKIMTAJA HAPANA,C KM UNABEHAVE KM WEMA HAPANA
ReplyDeleteMhhhhhhhhhh!!!!!!!!!! Makubwa mimi napita tu
ReplyDeleteYaani Sitaki kuamini kama na huko majuu wanaume wanajali uvaaji wa wanawake. Kwani naona wanavaa tu mini skirt mfano hata kwenye mkutano na ni mtu mzima na ni mkubwa fulani. Mfano mama Obama mbona anavaa tu hata kaptula fupi. Yaani mimi najua kujiheshimu ni wewe mwenyewe hata kama umevaa nguo fupi au aina yeyote ile. Hata hapa kwetu unaweza kukuta mama kaolewa na anachaguliwa nguo za kuvaa na mumewe. Lakini mambo yake anayoyafanya huko mitaani utachoka. Kwa kweli hata sielewi kwa nini wanaume wanakuwa hiyo.
ReplyDeleteDina ni public figure,anajulikana kwa nafasi yake sometime unapoingia katika kujulikana inakuwa maisha yako si yako tu ni ya fans wako pia hilo mara nyingi si la kulikimbia,ila wabongo wengi upande wa mapenzi bado hawajiamini kabisa unajua siku hizi mapenzi hakuna haswa kwa hawa dada zetu wanaojulikana wengi wanatazama maslahi watakuwa na uhusiano na fulani ili tu mjini apate kuishi maisha flani,wengi wanatengeneza majina na si kipato,so kutaka kuishi maisha ya juu kama hadhi ya majina yao hapo ndo shughuli kipato chake unakuta ni cha kumi wakati yeye anataka kuishi kwa mia so inabidi atafute baba wa kumlea na kumpa hizo luxury zakuishi kulingana na jina lake hapo ndo inapokuja kazi mwisho wa siku km mdau alivyosema hapo juu kapata bwana mwenye pesa lakin tayari ni mume wa mtu ama ni kigogo flani inakuwa kazi kumtaja...ila lingine ushauri tu kwa Dina JARIBU KUHESHIMU FANS WAKO, nasema hivi kwasababu alisema tumuulize maswali yeye atayajibu matokeo yake katufanya kama sisi mazuzu ama matahira ambao tulichukua muda wetu kumtumia yeye maswali halafu hakujibu ama kama alijibu mi sikuona coz kuna muda nilikuw busy sikuwa msomaji wa blogs kabisa...so mama JIHESHIMU USIFANYE WATU KAMA WATOTO HUMU KUNA WANAOPITA HUMU WANA FAMILIA ZAO AMA WANA UMRI KUKUSHINDA WEWE.JIHESHIMU.
ReplyDeleteDunia ina mambo kweli!bila Mungu ndani yetu ni sawa na debe tupu ambalo kila upepo uvumapo ni lazima litikiswe
ReplyDeleteHeeeeeeeeeee! Dina wa watu katulia zake, nyie mnagombana.
ReplyDeleteDina usiwe na haraka ya kunitaja mpenzi wako. vipanga tu hao washa tamani,