BLOG HII INADHAMINIWA NA VODACOM.......KAZI NI KWAKO!!!

BLOG HII INADHAMINIWA NA VODACOM.......KAZI NI KWAKO

Wednesday, January 11, 2012

PATAMU HAPO!!!

12 comments:

  1. Is this your work? If YES basi weee mkariii! Nakumbuka pia kuwa kuna wakati fulani uliwahi kusema kuwa during your school days was an artist kama tu kumbukumbu zangu zitakuwa sahihi!

    ReplyDelete
  2. Duuuu, the news is that!!!

    ReplyDelete
  3. Dah wadada tunakazi? Mungu aendelee kutupa nguvu!

    ReplyDelete
  4. Replies
    1. dina vp hampatikani online plz watahalifu wahusika c uku nje clouds ndo mambo yote

      Delete
  5. Very interesting!

    ReplyDelete
  6. ni hatari kwa kweli hayo ndio maisha ya mwanamke katika jamii zetu. hongera kwa kufikiri wewe artist wa ukweli

    ReplyDelete
  7. hii leo umenifurahisha sana dina kwi kwi kwi kwi kwi maana huo ndo ukweli wenyewe.

    ReplyDelete
  8. sasa huyo mwanamke alishindwa kukimbia mpaka akampata?na hapohapo mimba ikashika

    ReplyDelete
  9. Jamani!he he eeee!

    ReplyDelete
  10. dah! kuna watu wabunifu hadi basi! asante. ukweli ndo huo tukubali tusikubali! thx Dina

    ReplyDelete
  11. mhhhh! itafika sehemu haya mambo yatafanya watu wapelekane pabaya zaidi unavyofikiria maana ina uma haswa anae achiwa huo mzigo. mama's knows.

    ReplyDelete