Hii ni kutoka Nigeria kabila la Yoruba.....
hufanyika siku ya harusi kabla bwana harusi hajamshika mkono bibi harusi lazima aje kutoa heshima kwa wazazi wa bibi harusi.
Analala chini kama hivi na kuomba ruhusa ya kumchukua bibi harusi
Wanaigeria huwa wana harusi mbili kuna ile ya kitamaduni na ile ya kiimani labda kikiristu/kiislam.Utaratibu huu hufanyika katika harusi ya kitamaduni.Katika shughuli kama hizi za harusi kabila lako lina nini ambacho lazima kifanyike ili kuuenzi utamaduni wenu?

Asante Dina kwa kutuonyesha tamaduni za wenzutu ili nasi tuelewe kinachoendelea katika dunia hii.
ReplyDelete