Monday, January 23, 2012

TICKET ZA WOMEN IN BALANCE KITCHEN PARTY GALA ZIMEANZA KUPATIKANA

JUMAMOSI YA TAREHE 28 JANUARY INAKARIBIA KWA ILE KITCHEN PARTY GALA.WADADA NA WANAWAKE KUANZIA MIAKA 18 NA KUENDELEA TUNAKUTANA NA KUJADILI CHANGAMOTO MBALIMBALI ZINAZOTUKABILI KATIKA MAISHA/ MAHUSIANO/NDOA.KUNA MENGI YA KUJIFUNZA NA KUKUMBUSHANA.
KIINGILIO NI TSH 30,000 KWA MTU MMOJA NA KAMA UNAHITAJI MEZA WEWE NA WATU WAKO WA KARIBU NI TSH 300,000(meza ya watu 10)
MUDA KUANZIA SAA 8 MCHANA MPAKA SAA 2 USIKU.


TICKET ZIMEANZA KUPATIKANA MAENEO YAFUATAYO

Shea Illusion mliman city

8020 fashions sinza

maduka yote ya cassandra

born to shine mwenge

na pia unaweza kupiga namba 0787 583132 na 0657442255
SHUKRANI KWA KINYWAJI CHA BAILEYS

MG en INRUARANCE
NA COCACOLA

5 comments:

  1. Alipendeza sana bibie. Mpe hongera zake. Pia namatakia kila la kheri. Amtanguliza Mungu katika kila jambo. Karibu Kilabuni.

    ReplyDelete
  2. dada yangu dinna just say 10% ya mchango wenu wasaidieni dada zetu twiga jamani wanatutoa kimasomaso lakini wehu tff wanashindwa kuwasaidia pamoja na mahela kibao wanayopata mpaka tuanze kuchangishana mbona wanaume hawalii njaa hiyo wachangiwe? inasikitisha wanakosa hela japo wanapata misaada kibao hasa fifa kuendeleza soka la wanawake... ni hayo tu dada yangu

    ReplyDelete
  3. Mambo Dina,
    natumai umzima,nimeipenda hiyo kitchen party gala lakini mie sipo Dar mutatusaidia vipi sie watu wa mikoani kuipata hiyo semina?maana kila kila mwisho wa mwezi kuja Dar inatukosti wengine hata ndugu Dar hatuna.kutakua na gharama za usafiri,sehemu ya kulala bado kiingilio hujalipa.
    UTATUSAIDIA VIPI SISI WANAWAKE WENZIO WA NJE YA DAR ES SALAAM?
    Chau ,Zanzibar.

    ReplyDelete
  4. Badilisha hapo kwa wadhamini. Sio MGen Inruarance ni MGen Tanzania Insurance

    ReplyDelete
  5. Mdau si umeelewa lakini hakumaanisha INRUARANCE
    ila alimaanisha Insurance. Sio ishu imeeleweka sote tunakosea.hasa typing error ndio kabisaaa so Mdau relax!

    ReplyDelete