Jana hapa jirani yetu na ofisini aliunguliwa na nyumba
Moto huo ulisababishwa na jiko la gesi
wakati moto unatokea dada wa kazi alikuwa nyumbani lakini hakudhurika wala hakuna aliyedhurika
Nyumbani hapo anaishi dada wa kizungu anaitwa Michelle hakukuokolewa kitu hata kimoja zaidi ya gari lake basi.Watu walikuwa wakijaribu kutaka kujitosa kuokoa akawakataza wasije umia bure ikawa taabu.





Dina, mwambie aje MGen Tanzania akate insurance itamsaidia sana. sio peke yake na wengine wote wajifunze umuhimu wa bima
ReplyDeleteHuyo Michelle nimempenda, kajali utu kuliko kitu maana mwingine angetangaza dau ili watu wajitose wakaokoe vitu vyake
ReplyDelete