Kikosi cha timu ya taifa ya wanawake Twiga Stars ambacho ndio timu ya nane kwa ubora Afrika kwa wanawake kama ulikuwa haujui.Timu yetu ilishacheza na timu ya Namibia nakuwafunga huko nchini kwao mechi ya jumapili hii ni ya marudiano kuwania kufuzu Fainali za Afrika kwa wanawake(AWC).Viingilio kwa siku hiyo ni 2000 kwa jukwaa la blue,3000,jukwaa la orange,5000 kwa VIP C na B,10000 kwa VIP A.
Kwa wale mtakaoguswa kuiwezesha timu hii wasiliana na TFF.Twendeni jumapili hii tukaishangilie Twiga stars.
Good job waheshimiwa!
ReplyDeleteNawapongeza sana Twiga Stars! Nawaombea kwa Mwenyezi Mungu waweze kushinda mechi hiyo.
ReplyDeletendo maana wanasiasa wa kibongo wananikera,walikua wapi cku zote mpaka wameona mafanikio ndio wanakuja kudandia treni kwa mbele ili kesho wapate mtaji wa kura,fuck u politicians
ReplyDeleteMBONA JIMBO LA KAWAIDA KABISA.
DeleteIngekuwa amri yangu ningeivunja TFF,ivi kile kitengo cha masoko chini ya Jimy Kabwe kinafanya kazi gani?simba na yanga zinaingiza mamia ya mamilioni,makato yenu ni makubwa,mnazifanyia nini mpaka leo hii wabunge waje kuhamasisha?
ReplyDeleteKuna mgomo wa wadaktari na wauguzi nchi nzima,ebu tujaribu kutumia MUDA kwa mambo ya msingi na yenye kuleta tija kwenye jamii,kila mmoja wetu awajibike pale alipokuwa assigned.
kabisaa wamekosa kazi ya kufanya wazungu wanasema kushoo off
DeleteIngekuwa amri yangu ningeivunja TFF,ivi kile kitengo cha masoko chini ya Jimy Kabwe kinafanya kazi gani?simba na yanga zinaingiza mamia ya mamilioni,makato yenu ni makubwa,mnazifanyia nini mpaka leo hii wabunge waje kuhamasisha?
ReplyDeleteKuna mgomo wa wadaktari na wauguzi nchi nzima,ebu tujaribu kutumia MUDA kwa mambo ya msingi na yenye kuleta tija kwenye jamii,kila mmoja wetu awajibike pale alipokuwa assigned.
Heko Twiga Watanzania tuko pamoja nanyi na mungu atatenda mema tu.
ReplyDeleteuse less
ReplyDelete