Tuesday, January 31, 2012

WOMEN IN BALANCE KITCHEN PARTY GALA...........SEHEMU YA PILI




Baada ya shughuli za kupamba na kupanga vitu kumalizika na watu kuingia
Mc wa shunguli nikalianzisha,women ina balance kitchen party gala sehemu ya pili ikaanza rasmi.

Wazungumzaji wa siku hiyo,Bi Chau na Mama Victor


Bi Hindu


Mburudishaji wa siku hiyo Nyotaa


Watu waliguswa na kitchen party gala











Msemaji kutoka MGen Insuarence wadhamini wa siku hiyo









Bi chau alikuwa msemaji wa kwanza kwa siku hiyo.Hakuweza kukaa kwa muda mrefu alikuwa akisumbuliwa na malaria.
















Bi Hindu alikuwa msemaji wa pili














Bi Hindu
















Dj akaturusha..........hapo ni dushelele dushelelele arakatatattatatatta


zomboooooooooooooooooooooo


dont take ma namba kusoshalanga kufacebook........hahahahahaha


Baada ya watu kuchangamka na kujiachia,nikatoa nafasi ya wageni kusimama na kusalimiana,kufahamina.Na pia kumsabahi yule unaemjua na amehudhuria lakini amekaa mbali.





'shost na wewe kumbe upo hapa,nimekuona kwa mbali'








Aunty sadaka akaingia mzigoni



















Aunty Sadaka msemaji wa tatu akitoa somo lake













Mama Victor msemaji wa nne













Mama Victor akifunguka


Hapa naona blue imewakilishwa





Baada ya kupata masomo sasa ni wakati wa kucheza na Nyota......warumba henyaaaaaaaaaaaaaaaa




Nyota mzigoni


Akawaita wanaojiamini wanapendwa waende mbele....ndio hao wakajitokeza.


Mapenzi ni kuvumiliana nami mpenzi nimekuvumilia,mapenzi ni kuaminiana nami mpenzi nimekuaminiiiiiiiiiiiiiiiiiii(wadada wakicheza tupendane)


Gere mamaaaaaaaaa hapo akaanzisha kitu gere





sheba sha sheba sheba







Duara haliendi kuna watu wanatoa show kali hapo kati


Shamim wa 8020 blog alipata nafasi ya kuelezea kuhusu shughuli yake ya siku ya wanawake duniani.Itafanyika serena hotel tarehe 3 march vazi rasmi kanga.


Msosi time














Baada ya chakula tukaingia muda wa maswali na majibu,Mama victor pichani akijibu swali


Bi chau akijibu swali


Aunty Sadaka akijibu swali


Vida Mndolwa


Vida Mndolwa na mimi ndio waandaaji na wamiliki wa project hii ambayo ni pana huu mi mwanzo tu.Changamoto bado ni nyingi,mapendekezo,maoni na mitazamo tofauti kutoka kwa watu mbalimbali.




Tunakushukuru kwa kuhudhuria siku ile ya tarehe 28 january,tunajua pengine hatukukuridhisha moja kwa moja ila tunafanyia kazi mapungufu yoyote kama yalijitokeza ili next time mambo yawe mazuri zaidi.Kama una maoni, mitazamo,ushauri nitafurahi ukiniandikia kupitia dina_marios@yahoo.com au namba yangu 0787583132

Kaa tayari kwa women in balance kitchen party gala sehemu ya tatu,Asante.


Mniwie radhi kuchelewa kupost picha maana ni nyingi nilikuwa na kazi ya kuzichambua zilizotoka vizuri.Sipendi kuchukua picha ya mtu katoka vibaya halafu niiweke hapa,ili iweje?

53 comments:

  1. nice picture, it was a good event yani tunasubiri tu hiyo ya 3, keep it up you guys.

    ReplyDelete
  2. Dina umepungua vizuri,sasa ivi unakilo ngapi?

    ReplyDelete
  3. Hongera Dina! event inaonekana ilikuwa bomba sana. Picha nzuri, wamama wamependeza sana! Big up mumy!!

    ReplyDelete
  4. hongereni inaelekea shuhuri ilifana,wa mikoani tunakula kwa macho tu,picha zako huwa ni nzuri zipo clear inaelekea una camea nzuri dada!

    ReplyDelete
  5. Hongera sana dada Dinah kwa ubunifu huo inaelekea ilifana sana,I wish ningemleta mke wangu aje a enjoy na wanawake wenzie zaid nadhan ange pata chochote kitakacho msaidia ktk maisha.
    All the best Mumy

    ReplyDelete
  6. Duuuuuuuuuuuuuuuuuuh ilipendeza sana, hasa pale kwenye kwaito! Nakupenda sana Dinah hasa kwakuwa hupaki mkologo!
    I hope hujatusahau," Men in Balance bag party Gala inakuja!"

    ReplyDelete
    Replies
    1. Dina umapungua vizuri sana hatamie natamani kupungua kama wewe niambie dadangu umefanya diet gani na mimi nipunguze hizi kilo nlizozibeba

      Delete
  7. Masaalwah .Dina ulipendeza dear , na wanawake wote walipendezaa kwani sijaona mamekapu mengi mikorogo hakuna . Nimependa sana ningekua bongo nahakika ningejumuika nanyi . Wanawake tuwe juu juu zaidi . kikubwa masomo wawe wanakumbuka kufundsha wanawake wakae na siri zao rohoni sio kujitangaza magazetin kutafuta umaaarufu na kudharaulika wanawake wote -Mungu bariki afrika,esp Tanzania na wamnawake wote . Frm Sweden

    ReplyDelete
  8. Ok, dada Dinah thanks for the nice photos,wewe ni public figure sasa,unakubalika na ndio maana hata event zako zimekubalika sana, mabinti wengi wangependa uwe kama role model wao,ila bado kuna kitu kimoja ambacho hujatuweka wazi ma fans wako, maisha yako ya kimapenzi yapoje! It's not a persnal issue when it comes to a public figure like you,watu wengi wanajitetea hivyo,lakini watu wanapokosa jibu kwa maswali mengi ndipo wanaanza kufikiri vinginevyo mara msa....au anatembea na mume wa....
    Ok ni ushauri tu kama vipi tupa kule!
    Piga The strength of the woman ya Shaggy, maalumu kwa Dinah Marios
    Keep it up mumy!

    ReplyDelete
    Replies
    1. nawapenda wazee wangu, jirani zangu, wafanyakazi wenzangu,na ntampenda atakaetoa offer ya kunipenda

      Delete
  9. daah kweli was so much good yaani i do mic this jamani Hongereni sana Dina mambo yanazidi kuwa mazuri sana Mungu awatangulie

    ReplyDelete
  10. nina imani uko poa kabsaaaaaaaaa!! hongera kwa kazi nzuri nina imani waliohudhuria walipata kitu ambacho bila shaka kitawasaidia ktk general life na hasa ukizingatia kuwa maisha yamejaa changamoto mbalimbali.
    nina kitu ambacho nadhani kitasaidia kuiinua leo tena na labda vipindi vingine kiujumla. naomba tafadhali tuwasiliane Dina.
    mimi ni Charles wa siku zooote bila shaka namba yangu unayo.
    tafahali tuwasiliane tupange na labda unisikilize nilichonacho, huenda kikawa na faida kwa tasnia yako ya habari!!!

    ReplyDelete
  11. Video Clips pse. Kwa wa mama tuliombali. Hongera sana Dina picha tu zinajieleza. Uendelee kubarikiwa tunawahitaji wamama kama nyinyi. Video Clips pleaseeeeee. Asante

    ReplyDelete
  12. Nakuaminia ndugu yangu kazi nzuri,

    ReplyDelete
  13. Dina & vida Hongereni sana,shughuli ilikua nzuri sana, chakula kilikua bomba mno nashukuru kwa idea yenu angalau tulijifunza mengi sana naamini ya 3 Mwenyenzi Mungu atanipe uzima. Nawatakia kila la kheri.

    ReplyDelete
    Replies
    1. YAAAAAAAAAAANI KTK SHUGHULI YOTE KITU KIZURI WEWE ULIONA CHAKULA DUUUUUUUUUUUUUUUH!

      Delete
  14. dada Dina fanya mambo basi mumuanze kuja kufanyia na huku mikoani tunahitaji pia

    ReplyDelete
  15. hongera sana dina nimesikitika sana kutokuhururia hiyo event,inaonekana ilikuwa bomba ile mbaya,ila mbona hujatupa mada zilizokuwa zinaongelewa?naomba utuwekee kwani nasi tunaweza kujifunza kitu kupitia humu katika blog,nitashukuru kama utalifanyia kazi ombi langu.

    ReplyDelete
  16. Hongera sana Dina mpenzi pamoja na Vida. Mmebuni kitu kizuri sana, Mungu awabariki. Hayo yanayofundishwa huko wamama wenzetu mlioishafikiwa myafanyie kazi. Sie tuko mikoani ila najua with time mtatufikia tu.
    Wamama woteee mlipendeza saaaana. Big up!!!!!!!

    ReplyDelete
  17. Dina u are so lovely ma dear i see alot of positive things about you even during your leo tena show honestly its like you are a role model ila mh mcharuko sometyms but in a good way i love it sanaaaaa kip it up

    ReplyDelete
  18. Hongereni sana DINA & VIDA. wamama wengi siku hizi hawana siri, na hawaheshimu waumezao HASA WAKIZIPATA ndo maana ndoa zimekua mbaya.

    pleese dada dina lifanyie kazi maana umefanikiwa kuwaweka pamoja.

    ReplyDelete
  19. Dina weka wazi maisha yako ya kimapenzi pleese!

    ReplyDelete
  20. CD zinatoka lini, tusiofika nasi tupate elimu, nazisubiri kwa hamu sana, usizicheleweshe dina!

    ReplyDelete
  21. Hiv kwan mtu akishaweka waz maisha yake ya kimapenz wew yatakusaidia nini?!???? kama hajickii je? inahusu???? babu wee dina hata ucmtaje mwaya mfiche hivo hivo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe unamficha wakwako kwakuwa ni mume wa mtu, mwache Dinah wetu atuambie yakwake!

      Delete
  22. NAFIKIRI ILIKUWA NZURI ILA UMEKOSEA BLOG YOTE UMEWEKA PICHA ZA TUKIO MOJA KAMA VILE HMNA MATUKIO MENGINE!!TAFUTA WATAALAM WAKUSAIDIE.TUNAHITAJI KUPATA TAARIFA NYINGINE ZAIDI.TANZANIA NI ZAIDI YA WOMEN GALA!!KUNA MGOMO WA MADAKTARI (AT LEAST NI CURRENT ISSUE)NA MENGINE MENGI.ANYWAY UNFANYA VIZURI!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. sawa nakuchaguwa wewe uwe mmoja wa hao wataalam ili uweze kunisaidia kupata hizo taarifa

      Delete
  23. Point. . Uweke picha ya mtu katoka vibaya ili iweje? Haya! Cjui ndo menejeri wako kule kaweka picha umepauka! Cjui imepauka! Si angekuja kuchukua huku kama hana na wewe ulikuwa muhusika mkubwa! Sipendi vijitu vyenye innocent face huku mambo yao yamejaa mishangao! Watu hawajui anawapiga picha na kutolea comment za ajabu! Du ubinadamu kazi!

    ReplyDelete
  24. dina kuwa mstaarabu sio unaona raha tuu kuachia comment watu wamekusifu sana kuwa wazo zuri wakati unajua fika kuwa wazo si lako ni la mtu mwingine alifanya tu kuja kwako kukuomba mawazo na kwa sababu kuwa una connection, jaribu kuwa mstaarabu wacha kutaka sifa za kijinga,bania na hii of coz ni kwa ajili yako haswa japokuwa hata wasomaji wanatakiwa kujua hili,sawa ulishasema possible kuna watu hawakuona so ulitakiwa tu kiustaarabu useme wakati watu wanakumwagia sifa kwa wazo la mtu mwingine ila sishangaiii huo ndo ugonjwa wenu wafanyakazi wote wa clouds na uongozi wenu kuiba ideas za watu na kutaka sifa ni jadi yenu.....limekufikia hilo

    ReplyDelete
    Replies
    1. utajibeba utakatika koromelo bure kwa mahasira mwenye hiyo idea mbona hakulalamika wewe ndo msemaji wake?????? tulia bibi hasira hasara.

      Delete
    2. Kama una idea halafu umeikalia nani atajua na zaid inatusaidia nini!
      Aliyeshikwa na ngozi ndio mwizi wa ng'ombe bibi, Dinah idea niyakwako,komaa nao dada, watu kama hawa hawakosekani wanapoona mafanikio ya mtu!

      Big up mumy & keep it up!

      Delete
  25. you did a great job Dina alongside the team, hopefully next time ntahudhuria, insha-allah

    ReplyDelete
  26. Jamani..mwivu haufai..dina nae kashiriki vilivyo hata kama idea haikuanzia kwake..amefanya kazi kubwa sana na nadhani hiyo women in balance bado inamhitaji sana..

    ReplyDelete
  27. So great,umeniiprec kuhudhuria mpenz..big up na ninakupenda sana,ITS CANDY

    ReplyDelete
  28. ur a star co wale wanaijidai kutwaa na kujiita majina ya mastar wa nje kumbe hovyooo nakupenda dina

    ReplyDelete
  29. mwambieni bi chau na bi hindu waache kujipaka mkorogo sura zimewashuka

    ReplyDelete
  30. hata migomo huwa ni idea ya watu wengi ila tatizo huwa ni nani aanze,no matter who"s idea was but What dinna amefanya anastahili pongezi keep it up Dinna na Mungu atakupigania kwa hili jema unalolifanya mpenzi,tafuta nawe wazo lako fanya nawe upongezwe

    ReplyDelete
  31. mbona alishasema kuwa idea alikuja nayo DIDA sasa mnataka aseme vipi au asiweke picha za matukio hayo, unachukizwa na nini kama wewe hukushirikishwa? hebu kuweni na constructive idea kwa watu wenye mambo mazuri sio kila siku kuwavunja moyo ili wote tuwe tuna mawazo potofu ya kutaka kuwavunja moyo wengine, wewe huwezi acha wenye uwezio wafanye bwana. MUNGU huwa hampi mtu vyote tunagawana na ndio keshamgawia huyo unayesema anapenda sifa. UNACHUKI MUULIZE MUNGU KWA NINI ALIMPA DINA NA SI WEWE???

    ReplyDelete
  32. dina uar gre8t.the party its so mwaaaaaaaaaaaaah.and yu luk gud kip it up.

    ReplyDelete
  33. picha tumezichoka bana tafuta vitu vingine au blog inakushinda kama mtu fulani?

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe kafiri kuna vitu vingi vya kufanya, siyo lazima uingie kwenye blog hii, ongeza picha dada dinah wanaotaka habari wanaweza fungua www.bbc.news

      Delete
  34. Dina mlipendeza sana hongera kwa kazi yako nzuri mamii,watu wasikukatishe tamaa endelea kusonga mbele kuteletea mambo mazuri zaidi, mimi binafsi nakukubali sana kipaji unacho big up.

    ReplyDelete
  35. halloo dina, Event ilipendeza sana, ila tunaomba basi ubadilishe hizo picha zimekaa mno. we know your busy but at least u should update three time per week.

    ReplyDelete
  36. its a gr8 idea dina. sioni km kuna tatizo kwa hilo remember yy km yy ana mchango mkubwa sn km asinge put effort uitikio usingekuwa hivi uonavyo. wengi wameturn up simply bcoz they know her capability. chema chajiuza kibaya chajitangaza. go girl go extra milez!!!!

    ReplyDelete
  37. huyo alieibiwa idea akome kwan alishindwa kufanya mwenyew mpaka akaombe ushaur???? kawaida ya wabongo kitu kikipendeza lazma watokee wengine wajifanye ndo waliotoa wazo inahu???? c tunajua dinna ndo kaanda huyo mwingine atajiju

    ReplyDelete
  38. Heeeee eti kajaza picha za tukio moja pote! Dina ongeza page nyingine full kitchen party gala.... ni raha ilioje nimeona mashost ambao sijawaona miaka nimefurahi kuwaona and they are looking gooooood.... nimemiss but frm pics its like I was there hebu tuwekeee nyingine huyo anaetaka kitu kingine asije huku! Ebo si afungue blog yake (ni free tu kama hajui) nayeye aweke anachotaka analeta conditions ktk blog ya wenyewe heheheheeh! makubwa. Keep it up Dina.

    ReplyDelete
  39. Mungu akubariki kwa hilo la mwanamke kujielewa ktk ndoa.

    ReplyDelete
  40. hongerea dina.....was gud,sikipenda kitu kimoja tu tuliandika maswali kwenye vikaratasi mda wa kujibu yale maswali bi chau na mama victor walikuwa wanajibu tofauti na swali lilivyo ulizwa,aliyekuwa anajibu vizuri na ki professional ni aunt sataka tu......so next time jitaidi kubadilisha watu usicrame

    ReplyDelete
  41. Big Up my Sister! Haya ndio matokeo ya Fikra Huru zisizo jua jinsia wala vikwazo zinazo leta maendeleo! Keep it Up Dina!

    ReplyDelete
  42. Big Up Dina! Haya ndio matokeo ya mwanzo tu ya fikra huru zisizo jua jinsia wala vikwazo! Keep it Up My Sister!

    ReplyDelete