Baada ya shughuli za kupamba na kupanga vitu kumalizika na watu kuingia
Mc wa shunguli nikalianzisha,women ina balance kitchen party gala sehemu ya pili ikaanza rasmi.
Wazungumzaji wa siku hiyo,Bi Chau na Mama Victor
Bi Hindu
Mburudishaji wa siku hiyo Nyotaa
Watu waliguswa na kitchen party gala

Msemaji kutoka MGen Insuarence wadhamini wa siku hiyo
Bi chau alikuwa msemaji wa kwanza kwa siku hiyo.Hakuweza kukaa kwa muda mrefu alikuwa akisumbuliwa na malaria.
Bi Hindu alikuwa msemaji wa pili
Bi Hindu
Dj akaturusha..........hapo ni dushelele dushelelele arakatatattatatatta
zomboooooooooooooooooooooo
dont take ma namba kusoshalanga kufacebook........hahahahahaha
Baada ya watu kuchangamka na kujiachia,nikatoa nafasi ya wageni kusimama na kusalimiana,kufahamina.Na pia kumsabahi yule unaemjua na amehudhuria lakini amekaa mbali.
'shost na wewe kumbe upo hapa,nimekuona kwa mbali'
Aunty sadaka akaingia mzigoni
Aunty Sadaka msemaji wa tatu akitoa somo lake
Mama Victor msemaji wa nne
Mama Victor akifunguka
Hapa naona blue imewakilishwa

Baada ya kupata masomo sasa ni wakati wa kucheza na Nyota......warumba henyaaaaaaaaaaaaaaaa
Nyota mzigoni
Akawaita wanaojiamini wanapendwa waende mbele....ndio hao wakajitokeza.
Mapenzi ni kuvumiliana nami mpenzi nimekuvumilia,mapenzi ni kuaminiana nami mpenzi nimekuaminiiiiiiiiiiiiiiiiiii(wadada wakicheza tupendane)
Gere mamaaaaaaaaa hapo akaanzisha kitu gere

sheba sha sheba sheba
Duara haliendi kuna watu wanatoa show kali hapo kati
Kaa tayari kwa women in balance kitchen party gala sehemu ya tatu,Asante.
Mniwie radhi kuchelewa kupost picha maana ni nyingi nilikuwa na kazi ya kuzichambua zilizotoka vizuri.Sipendi kuchukua picha ya mtu katoka vibaya halafu niiweke hapa,ili iweje?











nice picture, it was a good event yani tunasubiri tu hiyo ya 3, keep it up you guys.
ReplyDeleteDina umepungua vizuri,sasa ivi unakilo ngapi?
ReplyDeleteHongera Dina! event inaonekana ilikuwa bomba sana. Picha nzuri, wamama wamependeza sana! Big up mumy!!
ReplyDeletehongereni inaelekea shuhuri ilifana,wa mikoani tunakula kwa macho tu,picha zako huwa ni nzuri zipo clear inaelekea una camea nzuri dada!
ReplyDeleteHongera sana dada Dinah kwa ubunifu huo inaelekea ilifana sana,I wish ningemleta mke wangu aje a enjoy na wanawake wenzie zaid nadhan ange pata chochote kitakacho msaidia ktk maisha.
ReplyDeleteAll the best Mumy
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuh ilipendeza sana, hasa pale kwenye kwaito! Nakupenda sana Dinah hasa kwakuwa hupaki mkologo!
ReplyDeleteI hope hujatusahau," Men in Balance bag party Gala inakuja!"
Dina umapungua vizuri sana hatamie natamani kupungua kama wewe niambie dadangu umefanya diet gani na mimi nipunguze hizi kilo nlizozibeba
DeleteMasaalwah .Dina ulipendeza dear , na wanawake wote walipendezaa kwani sijaona mamekapu mengi mikorogo hakuna . Nimependa sana ningekua bongo nahakika ningejumuika nanyi . Wanawake tuwe juu juu zaidi . kikubwa masomo wawe wanakumbuka kufundsha wanawake wakae na siri zao rohoni sio kujitangaza magazetin kutafuta umaaarufu na kudharaulika wanawake wote -Mungu bariki afrika,esp Tanzania na wamnawake wote . Frm Sweden
ReplyDeleteOk, dada Dinah thanks for the nice photos,wewe ni public figure sasa,unakubalika na ndio maana hata event zako zimekubalika sana, mabinti wengi wangependa uwe kama role model wao,ila bado kuna kitu kimoja ambacho hujatuweka wazi ma fans wako, maisha yako ya kimapenzi yapoje! It's not a persnal issue when it comes to a public figure like you,watu wengi wanajitetea hivyo,lakini watu wanapokosa jibu kwa maswali mengi ndipo wanaanza kufikiri vinginevyo mara msa....au anatembea na mume wa....
ReplyDeleteOk ni ushauri tu kama vipi tupa kule!
Piga The strength of the woman ya Shaggy, maalumu kwa Dinah Marios
Keep it up mumy!
nawapenda wazee wangu, jirani zangu, wafanyakazi wenzangu,na ntampenda atakaetoa offer ya kunipenda
Deletedaah kweli was so much good yaani i do mic this jamani Hongereni sana Dina mambo yanazidi kuwa mazuri sana Mungu awatangulie
ReplyDeletenina imani uko poa kabsaaaaaaaaa!! hongera kwa kazi nzuri nina imani waliohudhuria walipata kitu ambacho bila shaka kitawasaidia ktk general life na hasa ukizingatia kuwa maisha yamejaa changamoto mbalimbali.
ReplyDeletenina kitu ambacho nadhani kitasaidia kuiinua leo tena na labda vipindi vingine kiujumla. naomba tafadhali tuwasiliane Dina.
mimi ni Charles wa siku zooote bila shaka namba yangu unayo.
tafahali tuwasiliane tupange na labda unisikilize nilichonacho, huenda kikawa na faida kwa tasnia yako ya habari!!!
Video Clips pse. Kwa wa mama tuliombali. Hongera sana Dina picha tu zinajieleza. Uendelee kubarikiwa tunawahitaji wamama kama nyinyi. Video Clips pleaseeeeee. Asante
ReplyDeleteNakuaminia ndugu yangu kazi nzuri,
ReplyDeleteDina & vida Hongereni sana,shughuli ilikua nzuri sana, chakula kilikua bomba mno nashukuru kwa idea yenu angalau tulijifunza mengi sana naamini ya 3 Mwenyenzi Mungu atanipe uzima. Nawatakia kila la kheri.
ReplyDeleteYAAAAAAAAAAANI KTK SHUGHULI YOTE KITU KIZURI WEWE ULIONA CHAKULA DUUUUUUUUUUUUUUUH!
Deletedada Dina fanya mambo basi mumuanze kuja kufanyia na huku mikoani tunahitaji pia
ReplyDeletehongera sana dina nimesikitika sana kutokuhururia hiyo event,inaonekana ilikuwa bomba ile mbaya,ila mbona hujatupa mada zilizokuwa zinaongelewa?naomba utuwekee kwani nasi tunaweza kujifunza kitu kupitia humu katika blog,nitashukuru kama utalifanyia kazi ombi langu.
ReplyDeleteHongera sana Dina mpenzi pamoja na Vida. Mmebuni kitu kizuri sana, Mungu awabariki. Hayo yanayofundishwa huko wamama wenzetu mlioishafikiwa myafanyie kazi. Sie tuko mikoani ila najua with time mtatufikia tu.
ReplyDeleteWamama woteee mlipendeza saaaana. Big up!!!!!!!
Dina u are so lovely ma dear i see alot of positive things about you even during your leo tena show honestly its like you are a role model ila mh mcharuko sometyms but in a good way i love it sanaaaaa kip it up
ReplyDeleteHongereni sana DINA & VIDA. wamama wengi siku hizi hawana siri, na hawaheshimu waumezao HASA WAKIZIPATA ndo maana ndoa zimekua mbaya.
ReplyDeletepleese dada dina lifanyie kazi maana umefanikiwa kuwaweka pamoja.
yes she did a good job
DeleteDina weka wazi maisha yako ya kimapenzi pleese!
ReplyDeletedude !!! get a life
DeleteCD zinatoka lini, tusiofika nasi tupate elimu, nazisubiri kwa hamu sana, usizicheleweshe dina!
ReplyDeleteHiv kwan mtu akishaweka waz maisha yake ya kimapenz wew yatakusaidia nini?!???? kama hajickii je? inahusu???? babu wee dina hata ucmtaje mwaya mfiche hivo hivo
ReplyDeleteword
DeleteWewe unamficha wakwako kwakuwa ni mume wa mtu, mwache Dinah wetu atuambie yakwake!
DeleteNAFIKIRI ILIKUWA NZURI ILA UMEKOSEA BLOG YOTE UMEWEKA PICHA ZA TUKIO MOJA KAMA VILE HMNA MATUKIO MENGINE!!TAFUTA WATAALAM WAKUSAIDIE.TUNAHITAJI KUPATA TAARIFA NYINGINE ZAIDI.TANZANIA NI ZAIDI YA WOMEN GALA!!KUNA MGOMO WA MADAKTARI (AT LEAST NI CURRENT ISSUE)NA MENGINE MENGI.ANYWAY UNFANYA VIZURI!!
ReplyDeletesawa nakuchaguwa wewe uwe mmoja wa hao wataalam ili uweze kunisaidia kupata hizo taarifa
DeletePoint. . Uweke picha ya mtu katoka vibaya ili iweje? Haya! Cjui ndo menejeri wako kule kaweka picha umepauka! Cjui imepauka! Si angekuja kuchukua huku kama hana na wewe ulikuwa muhusika mkubwa! Sipendi vijitu vyenye innocent face huku mambo yao yamejaa mishangao! Watu hawajui anawapiga picha na kutolea comment za ajabu! Du ubinadamu kazi!
ReplyDeletedina kuwa mstaarabu sio unaona raha tuu kuachia comment watu wamekusifu sana kuwa wazo zuri wakati unajua fika kuwa wazo si lako ni la mtu mwingine alifanya tu kuja kwako kukuomba mawazo na kwa sababu kuwa una connection, jaribu kuwa mstaarabu wacha kutaka sifa za kijinga,bania na hii of coz ni kwa ajili yako haswa japokuwa hata wasomaji wanatakiwa kujua hili,sawa ulishasema possible kuna watu hawakuona so ulitakiwa tu kiustaarabu useme wakati watu wanakumwagia sifa kwa wazo la mtu mwingine ila sishangaiii huo ndo ugonjwa wenu wafanyakazi wote wa clouds na uongozi wenu kuiba ideas za watu na kutaka sifa ni jadi yenu.....limekufikia hilo
ReplyDeleteutajibeba utakatika koromelo bure kwa mahasira mwenye hiyo idea mbona hakulalamika wewe ndo msemaji wake?????? tulia bibi hasira hasara.
DeleteKama una idea halafu umeikalia nani atajua na zaid inatusaidia nini!
DeleteAliyeshikwa na ngozi ndio mwizi wa ng'ombe bibi, Dinah idea niyakwako,komaa nao dada, watu kama hawa hawakosekani wanapoona mafanikio ya mtu!
Big up mumy & keep it up!
you did a great job Dina alongside the team, hopefully next time ntahudhuria, insha-allah
ReplyDeleteJamani..mwivu haufai..dina nae kashiriki vilivyo hata kama idea haikuanzia kwake..amefanya kazi kubwa sana na nadhani hiyo women in balance bado inamhitaji sana..
ReplyDeleteSo great,umeniiprec kuhudhuria mpenz..big up na ninakupenda sana,ITS CANDY
ReplyDeleteur a star co wale wanaijidai kutwaa na kujiita majina ya mastar wa nje kumbe hovyooo nakupenda dina
ReplyDeletemwambieni bi chau na bi hindu waache kujipaka mkorogo sura zimewashuka
ReplyDeletehata migomo huwa ni idea ya watu wengi ila tatizo huwa ni nani aanze,no matter who"s idea was but What dinna amefanya anastahili pongezi keep it up Dinna na Mungu atakupigania kwa hili jema unalolifanya mpenzi,tafuta nawe wazo lako fanya nawe upongezwe
ReplyDeletembona alishasema kuwa idea alikuja nayo DIDA sasa mnataka aseme vipi au asiweke picha za matukio hayo, unachukizwa na nini kama wewe hukushirikishwa? hebu kuweni na constructive idea kwa watu wenye mambo mazuri sio kila siku kuwavunja moyo ili wote tuwe tuna mawazo potofu ya kutaka kuwavunja moyo wengine, wewe huwezi acha wenye uwezio wafanye bwana. MUNGU huwa hampi mtu vyote tunagawana na ndio keshamgawia huyo unayesema anapenda sifa. UNACHUKI MUULIZE MUNGU KWA NINI ALIMPA DINA NA SI WEWE???
ReplyDeletedina uar gre8t.the party its so mwaaaaaaaaaaaaah.and yu luk gud kip it up.
ReplyDeletepicha tumezichoka bana tafuta vitu vingine au blog inakushinda kama mtu fulani?
ReplyDeletewewe kafiri kuna vitu vingi vya kufanya, siyo lazima uingie kwenye blog hii, ongeza picha dada dinah wanaotaka habari wanaweza fungua www.bbc.news
DeleteDina mlipendeza sana hongera kwa kazi yako nzuri mamii,watu wasikukatishe tamaa endelea kusonga mbele kuteletea mambo mazuri zaidi, mimi binafsi nakukubali sana kipaji unacho big up.
ReplyDeletehalloo dina, Event ilipendeza sana, ila tunaomba basi ubadilishe hizo picha zimekaa mno. we know your busy but at least u should update three time per week.
ReplyDeleteits a gr8 idea dina. sioni km kuna tatizo kwa hilo remember yy km yy ana mchango mkubwa sn km asinge put effort uitikio usingekuwa hivi uonavyo. wengi wameturn up simply bcoz they know her capability. chema chajiuza kibaya chajitangaza. go girl go extra milez!!!!
ReplyDeletehuyo alieibiwa idea akome kwan alishindwa kufanya mwenyew mpaka akaombe ushaur???? kawaida ya wabongo kitu kikipendeza lazma watokee wengine wajifanye ndo waliotoa wazo inahu???? c tunajua dinna ndo kaanda huyo mwingine atajiju
ReplyDeleteHeeeee eti kajaza picha za tukio moja pote! Dina ongeza page nyingine full kitchen party gala.... ni raha ilioje nimeona mashost ambao sijawaona miaka nimefurahi kuwaona and they are looking gooooood.... nimemiss but frm pics its like I was there hebu tuwekeee nyingine huyo anaetaka kitu kingine asije huku! Ebo si afungue blog yake (ni free tu kama hajui) nayeye aweke anachotaka analeta conditions ktk blog ya wenyewe heheheheeh! makubwa. Keep it up Dina.
ReplyDeleteMungu akubariki kwa hilo la mwanamke kujielewa ktk ndoa.
ReplyDeletehongerea dina.....was gud,sikipenda kitu kimoja tu tuliandika maswali kwenye vikaratasi mda wa kujibu yale maswali bi chau na mama victor walikuwa wanajibu tofauti na swali lilivyo ulizwa,aliyekuwa anajibu vizuri na ki professional ni aunt sataka tu......so next time jitaidi kubadilisha watu usicrame
ReplyDeleteBig Up my Sister! Haya ndio matokeo ya Fikra Huru zisizo jua jinsia wala vikwazo zinazo leta maendeleo! Keep it Up Dina!
ReplyDeleteBig Up Dina! Haya ndio matokeo ya mwanzo tu ya fikra huru zisizo jua jinsia wala vikwazo! Keep it Up My Sister!
ReplyDelete