Wednesday, February 15, 2012

JANA HIYO HAPA MJENGONI

Ni picha tu basi jana hiyo jumatano hapa ofisini






Nilisema nitaanza kukimbia nimeshaanza kwa wale wadau mlionishauri.Hii ilikuwa wiki ya kwanza ambayo ilikuwa ngumu kweli kweli.Tunaanzia pale leaders mpaka coco beach mie nilikuwa nakimbia kidogo natembea kidogo.Nilipofika kwenye mchanga msimamizi wangu alinikimbiza pale kesho yake niliumwa miguu balaaa.Kwa sasa naendelea vizuri maumivu yameisha.


21 comments:

  1. Whaaoh!! Nimependa ulivyo weka colour combo....kweli unapendeza na rangi ya nguo unayo..yan umetoka stunning stunning...
    (Ur my fashionista) plz uwe unatuwekea more pic of urz huwa na enjoy sana...Fashion is my drug!!!

    ReplyDelete
  2. Umependeza my dear na B2A na jinsi ulivyomechisha,mazoezi mema.

    Halima

    ReplyDelete
  3. B2A na color combo.... Wapo Shamim!

    ReplyDelete
  4. Hongera Dina mpenzi, naona umedhamiria. Na kweli umepungua sana. Hongera na all the best.
    Kuhusu hekaheka ya leo. Mimi na shauri mumsaidie huyo mama, kama alivyoomba mumuunganishe na Mama Analelya Nkya ili apate haki yake. Mimi na hisi hayo majibu ya DNA yamechakachuliwa hasa ukizingatia huyo Mke mwenza ndiye aliyeshikia bango, inaelekea aliisha suka mpango mzima na huyo mwanaume akapelekwa kama zoba tu. Mama mtu alitakiwa pia ashirikishwe. Roho imeniuma sana. Huyu dada mwenye mtoto ni mwenye busara sana, maana wala hataki kuingilia maisha ya ndoa ya huyo kaka, yeye kikubwa ni elimu ya mwanae, safi sana, nimempenda. Naomba mimi kama mdau asaidiwe.
    Ni hayo tu, tuko pamoja.

    ReplyDelete
  5. Hongera dear! mambo si mabaya!!! Naona umepungua pungua. Kaza buti na mazoezi, mazoezi hayataki uvivu.

    ReplyDelete
  6. hongeraaa, na mie nimejiunga gym kwakwelii, mwaka huu lazima nipungue

    ReplyDelete
  7. Dina .. Taratibu na mazoezi angalia usije ukatuna mishipa ukaharibu soft body yako ya kike.

    ReplyDelete
  8. mie mpk leo kukimbia nimeshindwa nafanya POWER WALK imenisaidia sn kupinguza PAJA na TUMBO. nAfanya diet ila sio ile yakujiua hapana ya kawaida bora mlo usiwe wa protin na fat nyingi siendi gym ni POWER WALK TU KWA MDA WA LISAA LIMOJA NA NUSU KWA SIKU YANI HAPO NI KUTOKA HM MPK SEHEMU FLANI NA KURUDI PAJA NA TUMBO VIMEPUNGUA SN TU

    ReplyDelete
  9. mmmh! Kweli tunatofautiana sana lol...

    ReplyDelete
  10. Hongera dear,jitahidi ucwe mvivu mamiii.

    ReplyDelete
  11. Keep it up mama......juhudi yako inalipa cos you look amazing

    ReplyDelete
  12. HEKA HEKA 16/02/2012
    Haya mambo jamani ni magumu kidogo, Anayejua baba wa mtoto ni huyo MAMA sisi wengine wapita njia........
    Mama mtoto anaonekana kuwa na busara sana ila ukisikiliza vizuri mazungumzo yake yana ka utata kidogo hasa pale alipoulizwa uhakika wa nani amempa mimba....Jibu lake...Mwanaume mkubwa wa kuweza kunipa mimba alikuwa mmoja tu huyo Baba mtoto....ina maanisha alikuwa na wanaume wengi tu ambao yeye aliwaona ni wadogo wasioweza kumpa mimba????....Ushauri; warudi tena kupima hiyo DNA chini ya mashahidi kutoka pande zote mbili.

    ReplyDelete
  13. nataka nijiunge na wewe inawezekana??
    mimi nakaa sinza!

    ReplyDelete
  14. Mamito
    hayo ni mazoezi mazuri sana! big up sana!!

    endelea hivyo2

    ReplyDelete
  15. watanzania bwana hawaeleweki ukipungua sana utasikia vipi mbona umeisha ghafla,kulikoni wanakuwekea viuluzo ,,,isijekuwa umeumia .ukinenepa kosa je lipi jema? uko poa dada wala usijikondeshe sana kuwafurahisha hawana jema hao,pia huwezi kuwafurahisha wote.sura yako nzuri,mpole,mshauri mwema huna sifa ya kubadili wanaume MUNGU atakupa mume bora mnaendana nae,i pray 4 that.

    ReplyDelete
  16. Nakupenda Dinah your very Natural,na hicho kimino unanimaliza kabisa!

    ReplyDelete
  17. mmh sioni hata kama unapungua

    ReplyDelete
  18. Congrats da dina, ur my secret admire..in one word 'rolemodel' kip the swaga up!

    ReplyDelete
  19. Dina mimi nakupenda sana ila sipendi unavyovaa. you are star but you dont look like star.hizo colours sio za kuvaa ofisini hiyo combination ya green na orange aipo wanaokusifia wanakudanganya to be honest, tafuta mtu akushauri kuhusu mavazi najua hera unayo tafuta mavazi yanayoendana na status yako kwenye jamii achana na mitumba ya kuunga unga wewe sasa hivi jina kubwa na watu wanakukubali sasa ukiwawekea picha kama hizi unawa put off.otherwise i love you so much.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe nae, hamridhiki kila siku kimkosoa dada Dina, kwani kuvaa mitumba ya kuunga unga, wewe unaevaa disners totulee picha yako tuone mfano, kama si mitumba usingefikia hapo ulipo wewe. Halafu haziitwi hera ni hela/pesa. unajiona mjuajiii!! Mfyuuu. Dina my dera umepandeza sana tu, ishi utakavyo na si jinsi mtu atakavyo. I love you much dada.

      Delete
  20. Sijatembelea blog yako siku nyingi sana,da dada umependeza sana kumbe kila kitu juhudi,endelea na mazoezi utafanikiwa lengo lako.

    ReplyDelete