1.Product mbalimbali za watoto kama vile pampers,wiper,maziwa,sabuni,mafuta n.k
2.Chakula na muda wa kunyonyesha
3.Tabia mbalimbali za watoto kama kutopenda kula,kukataa kunyonya kabla ya muda,ukorofi,ucheshi,kuto kulala,kulala n.k
4.Magonjwa yanayo wapata watoto kama vile allergy,vipele vya joto,homa,UTI,malaria..n.k
5.Urembo wa watoto kusuka,kutoboa masikio na tohara ya watoto wa kiume.
5.Urembo wa watoto kusuka,kutoboa masikio na tohara ya watoto wa kiume.
6.Nguo na mahali wanaponunua nguo na viatu vya watoto wao
7.Idadi ya watoto wanaotaka kupata na muda wa kupata wanaojipa.
8.Msaada wanaoupata au kutoupata kutoka kwa waume zao katika malezi.
9.Hawaachi kuwamwagia watoto wao sifa kedekede na maneno wanayotamka.
Ni mengi haya ni kwa ufupi tu.
Ni mengi haya ni kwa ufupi tu.
Shosti mwenye nyeupe:shoga mama yako wewe amekubali kukusuka?
shosti mwenye pink:ndio mama angu utamuweza basi ananifanyaga mie kama mdoli wake.
shost mwenye nyeupe:Mie baba kamkataza mama asinisuke
shost mwenye pink:kwa nini?
shost mwenye pink:kwa nini?
shost mwenye nyeupe:kasema mpaka nikianza darasa la kwanza.
shost mwenye pink:sasa wewe unasemaje kuhusu hilo?
shost mwenye pink:sasa wewe unasemaje kuhusu hilo?
shost mwenye nyeupe:ntasubiri mwaya ndio kwanza nina mwaka na miezi kadhaa kazi ipo.
shosti mwenye pink:vumilia tu mwaya mie mwenyewe nakoma usinione hivi.Siku nyingine sijisikii nachoka lakini wapi nasukwa hata usingizini dada.
shosti mwenye nyeupe:Haya twende shosti kabla hawajaanza kututafuta.
RAHA SANA KUCHEZA NA WATOTO MI NAPENDA SANA, HONGERENI WATOTO WALI-ENJOY SANA MPAKA WAMECHOKA.
ReplyDeleteNOTE:
DINA NAOMBA UNITANGAZIE BLOG YANGU HAINA MUDA MREFU INAHUSU MAMBO YA KIJAMII KATIKA FAMILIA HASA MASWALA YA NDOA NA CHANGAMOTO ZAKE NA JINSI YA KUKABILIANA NAZO NA PIA HABARI ZA BURUDANI NA MATUKIO YA HAPA NA PALE.INAITWA MAJOY BLOG.http://majoyy.blogspot.com
Da Dina umependeza hapo chini picha ya mwisho na huyo mtoto, I like kids.
ReplyDeleteDina , may the loving God bless you. Nakufuatilia saana uyafanyayo na naomba nikiri, uko tofauti kwa kiasi kikubwa na niyaonayo mengine katika nyanja-nyenza kama hizi.
ReplyDeleteMie pia nina binti mduuchu basi nimehisi kama alikuwapo hapo.
Mungu awabariki maana hayo mnayoyafanya, hayafutiki kirahisi fikrani mwa hawa binadamu wadogo.
Mungu awabarikini!
KIPAPLI
ila hapo kumsuka mtoto mdogo ni kumnyima raha inatakiwa vitu vingine mtoto ajiamulie mwenyewe,hata hii kumtahiri mtoto akiwa mdogo nayo ni kumtesa
ReplyDeletePICHA YA MWISHO IMETULIA SN
ReplyDeleteDina,ujue mtu mwenye akili timamu akifuatilia mambo yako anagundua kua u mis somthing in ua life now and that should be ua mission to accomplish u know what is that?Mtoto,ebu ongea na shemeji yetu atupie vitu upate wakwako otherwise utakua mtu wa kuzungumzia watoto kila siku
ReplyDeleteYaani nimekufa mbavu kwa hayo maongezi ya mashostito hao wenye nyeupe na pink
ReplyDeleteYou look nice with kids. You should pray for one of your own. Nakuombea upate wa kwako fasta. Remain blessed.
ReplyDeletedinnah hayo maongezi ya hao watoto mie hoi
ReplyDeleteimetulia
fetty...
picha ya mwisho hayo macho mhhhh umekula kungu nini?
ReplyDeleteHahahahaha thanks Dina, it was nice meeting uuuu...nimewamiss salamz kwa mama D!!!
ReplyDeleteLol nimechekaa apo kwa Michelle na Louise duh
cheers,
mama Louixxx
Dina hii ilifanyika wapi na lini? mbona hamtangazi mnatuonyesha picha tu jamani? na mimi natamani kweli niwepo kwenye jambo unaloli host wewe i real admire you.
ReplyDeleteDina lini ww mungu atakujalia nawe kupata mtoto wako?
ReplyDeletehuyo ni YVONE mbona amechoka jamani au ndo kulea, nimekumiss toka enzi zetu za Cabrige
ReplyDeleteDina huwa nakukubali sana, Hope one day i will broke my silence and face u! its me Hans from brewery company.
ReplyDeleteThats why i love this blog, i cant go a day without havng my eyes on it. keep it up ur almost there
ReplyDeleteHans ongea tu Kiswahili kitupu utapendeza achana na mambo ya...I will broke my silence...yaani hicho si kiingereza I think it's a language close to english bro.
ReplyDeleteMlavumbi Orijino
jamani mbona hukuiweka wazi ili nasisi tuhuzurie inapendeza sana kucheza na watoto.ikiwepo tena naomba utufahamishe.
ReplyDeletehahaha, Dina conversation hiyo mie sina mbavu! u really have made my day......
ReplyDeletejaman i love kids na hao mashostito wawili hapo mbavu sina yani ukiwaskiliza unaeza ujikute unacheka tuu en u forget ol ur worries...nice pics
ReplyDelete