Friday, February 3, 2012

SHUKRANI SANA KWA MAKINI STUDIOS

Walikuwa sponsor wetu wa Video and Photography coverage. Picha zote mlizoziona ni kazi yao.

Products and Service zao

Coverage of Live events on Video and Photos
- Weddings and wedding related events (sendoff parties, kitchen parties...)
- Corporate Events (Workshops, Year End...)
- Baptism, Communion and Confirmation
- Birthday Parties
- Graduations

Photo Sessions
- Pregnancy
- Baby and Child
- Family
- Anniversaries
- Portraits in General

Others
- Photo books
- Albums
- Frames
- Photo IDs
- Calendar, mugs and similar items

Our Address:
1st Floor Danken House,
Plot 1 Old Bagamoyo Road,
P.O. Box: 105828
MIKOCHENI B, DAR ES SALAAM
Telephones:
+255 752 888 580 / +255 754 210 175 / +255 713 771 753
Email:
makinistudios@gmail.com

6 comments:

  1. Habari Dina, pole na kazi.
    Mie zangu ni shukrani za dhati kwa kutufanya tupate habari nzuri za Unt Sadaka. Kwa kweli kwaupande wangu nimefaidika sana hasa kwa upande wa malezi ya watoto kwani first born wangu ndo anamiaka 11 hivyo nimejifunza mengi sana.
    Mungu akubariki uendelee kutuletea mambo mazuri zaidi na zaidi.

    Mama Nuru (Tausi Kingi)

    ReplyDelete
  2. We nawe blog imeshakushinda

    ReplyDelete
  3. Dada Dina jmn mbona siku hizi hauko active km zamani...nafikiri kuna mambo mengi sana ya kutujuza yanayotokea kwenye jamii yetu...Ambao hatuwezi kusikiliza HEKEHEKA tumegee kidogo huku kwenye BLOG yako ili tusome na kutoa comments zetu...Samahani sana km nitakuwa nimeingilia kazi yako ila naamini unaweza. Asante

    ReplyDelete
  4. Dina naona umeungana na madaktari kugoma.
    Na hata Madaktari wamesha rudi kazini Ni wiki sasa walaaa huna presha haya bwana nilikua napita tuuuu naenda mtaa wapili.

    ReplyDelete
  5. wewe mbwa DINA mbona kimya kimezidi vp ? kulikoni ? pambafuu yako

    ReplyDelete
  6. Ubinadamu kazi ww anon hapo juu kuwa mstaarabu ucwe kama hujazaliwa na mwanamke unaanzaje kumwita binadamu mwenzio mbwa? lol very sad kwa kwel ama kwel kuna wa2 na via2 ww anon ni kia2 tn ndala ya chooni ndo maana huna ustaarabu hata kidogo kama unamwona dina ha update hama 2 blog yke bt co kum2c mtoto wa mwenzio na kumwita mbwa shame on you idiot.

    ReplyDelete