Sunday, March 11, 2012

ANAEFATA NYAYO ZA MWANAMAKUKA ALIPOPEWA TUZO YAKE

Ilifanyika alhamisi siku ya wanawake duniani pale serena hotelMC wa shughuli Babra HassanKwenye zulia jekundu na member wa UWFMimiShamim na mimiMeneja mradi wa UWF bi Mariam Shamo akizungumzaVyeti vya heshima kwa waliofanikisha zoezi zima la MWANAMAKUKA.Bi Juainna Kusaga alipewa cheti na heshima ya mwanamakuka katika chama hicho cha UWF.Mimi pia na leo tena kwa ujumla .Mkurugenzi wa clouds meadia bwana Joseph Kusaga alipewa cheti kwa mchango wa radio ya watu na wafanyakazi wake.Maamaa Salma mtambo alikuwepowageni mbalimbaliGalina na Juainna KusagaMama Zakia Meghji na wageni wengine wakijipakulia chakulaMshindi wa kwanza Bi Tatu Mwenda Ngao alipewa cheki yake kutoka NBC ya ml 6,000,000Mshindi wa pili Mwanne Msekalile alijiondokea na ml 2,500,000Mshindi wa tatu ml 1,500,000Washindi wakwanza mpaka watatu katika picha ya pamoja.
Huu ni mwanzo tu mradi huu wa kuwainua wanawake wajasiriamali wadogo utaendelea tena mwakani.Asante sana Shamim Mwasha kwa picha.
Kaa tayari kwa tuzo za dada bora wa kazi 2012 mwezi ujao.

10 comments:

  1. JAMANI DINA UMEPENDEZA SANA, UMEPUNGUA VIZURI KWELI. U LOOKING VERY SMART WAWOOO.SIJAONA MARAFIKI ZAKO KINA SHADEE...USIJE UKAWA UMEWASIKILIZA WANO KUAMBIA ETI HAMUENDANI... I LIKE THE WAY UPO SIMPLE HAUNAGA MAKUU BUSARA TELE MASHAALA..HE NIMEMUONA NA MAMA WA MJINI SALMA MTAMBO OKEY ..WOTE MMEPENDEZA... NAKUTAKI KILA LA KHERI KWA KILA UNACHU WISH... LOVE U...

    ReplyDelete
  2. hongereni sana.
    dina jitahidi mazoezi ya tumbo. kitambi bado.kazana ma dia. be blessed

    ReplyDelete
  3. Dinna mi nakukubali saaaana una kipaji cha pekee, wewe ni mbunifu sana, nilipoanza kusikia kwenye leo tena unauliza swali nani anajua kuhusu mwanamakuka sikujua kama mwisho wake ndo itakuwa hivi,you are so creative. Joseph Kusaga you should feel proud of Dinna she is core contributor to your business.Give her more chances she can do wonders.God bless you all.

    ReplyDelete
  4. Naomba uniruhusu niwatakie kila la heri Dina Marios, Joseph na Juainna Kusaga kila la heri. Pia nakubaliana na anon wa pili, kazana na weight itashuka. Yes you can dear.

    ReplyDelete
  5. Dina una hips baraa! Hongera!

    ReplyDelete
  6. kupunguza tumbo si kazi rahisi dina ila mi nadhani kipindi hiki ungejaribu kuvaa nguo ambazo hazionyeshi kuligawa tumbo lako yaani zinazoachia tumboni

    ReplyDelete
  7. u look great da dina

    ReplyDelete
  8. hii blog yako inaanza kuboa! jaribu kuiupdate mara kwa mara, utapoteza wasomaji! tunakukubali sana!

    ReplyDelete