Ilifanyika alhamisi siku ya wanawake duniani pale serena hotel
MC wa shughuli Babra Hassan
Kwenye zulia jekundu na member wa UWF
Mimi
Shamim na mimi
Meneja mradi wa UWF bi Mariam Shamo akizungumza
Vyeti vya heshima kwa waliofanikisha zoezi zima la MWANAMAKUKA.Bi Juainna Kusaga alipewa cheti na heshima ya mwanamakuka katika chama hicho cha UWF.
Mimi pia na leo tena kwa ujumla .
Mkurugenzi wa clouds meadia bwana Joseph Kusaga alipewa cheti kwa mchango wa radio ya watu na wafanyakazi wake.
Maamaa Salma mtambo alikuwepo
wageni mbalimbali
Galina na Juainna Kusaga
Mama Zakia Meghji na wageni wengine wakijipakulia chakula
Mshindi wa kwanza Bi Tatu Mwenda Ngao alipewa cheki yake kutoka NBC ya ml 6,000,000
Mshindi wa pili Mwanne Msekalile alijiondokea na ml 2,500,000
Mshindi wa tatu ml 1,500,000
Washindi wakwanza mpaka watatu katika picha ya pamoja.
Huu ni mwanzo tu mradi huu wa kuwainua wanawake wajasiriamali wadogo utaendelea tena mwakani.Asante sana Shamim Mwasha kwa picha.
Kaa tayari kwa tuzo za dada bora wa kazi 2012 mwezi ujao.
JAMANI DINA UMEPENDEZA SANA, UMEPUNGUA VIZURI KWELI. U LOOKING VERY SMART WAWOOO.SIJAONA MARAFIKI ZAKO KINA SHADEE...USIJE UKAWA UMEWASIKILIZA WANO KUAMBIA ETI HAMUENDANI... I LIKE THE WAY UPO SIMPLE HAUNAGA MAKUU BUSARA TELE MASHAALA..HE NIMEMUONA NA MAMA WA MJINI SALMA MTAMBO OKEY ..WOTE MMEPENDEZA... NAKUTAKI KILA LA KHERI KWA KILA UNACHU WISH... LOVE U...
ReplyDeletehongereni sana.
ReplyDeletedina jitahidi mazoezi ya tumbo. kitambi bado.kazana ma dia. be blessed
Dinna mi nakukubali saaaana una kipaji cha pekee, wewe ni mbunifu sana, nilipoanza kusikia kwenye leo tena unauliza swali nani anajua kuhusu mwanamakuka sikujua kama mwisho wake ndo itakuwa hivi,you are so creative. Joseph Kusaga you should feel proud of Dinna she is core contributor to your business.Give her more chances she can do wonders.God bless you all.
ReplyDeleteNaomba uniruhusu niwatakie kila la heri Dina Marios, Joseph na Juainna Kusaga kila la heri. Pia nakubaliana na anon wa pili, kazana na weight itashuka. Yes you can dear.
ReplyDeleteDina una hips baraa! Hongera!
ReplyDeleteAkukubali sana dina
ReplyDeletekupunguza tumbo si kazi rahisi dina ila mi nadhani kipindi hiki ungejaribu kuvaa nguo ambazo hazionyeshi kuligawa tumbo lako yaani zinazoachia tumboni
ReplyDeletebig up dinnahhhhhhhhhh
ReplyDeleteu look great da dina
ReplyDeletehii blog yako inaanza kuboa! jaribu kuiupdate mara kwa mara, utapoteza wasomaji! tunakukubali sana!
ReplyDelete