Kusema ukweli mwaka jana Diamond alijitahidi alifanya kazi,sema ndiyo hivyo wapiga kura ndiyo waamuzi yanaweza kuwa ya mwaka jana ya Mpoki! Ila Diamond mpaka hapo ni mshindi category 7! Yani hata asipopata hizo tuzo hiyo inatosha. BIG UP PLATINUM!!!!!!!!!!!!!
mtunzi bore wa kiume ni diamond.
ReplyDeletemwimbaji bora wa kike ni Isha mashauzi
ReplyDeletewimbo bora wa mwaka ni Moyo wangu.
ReplyDeletemwimbaji bora wa kike Linah
ReplyDeletevideo bora ya muziki Moyo wangu.
ReplyDeleteMwimbaji bora. nyimbo bora, video bora ya muziki, mtunzi bora vyote ni Diamond kwa kweli anaweza haki yake apewe
ReplyDeleteKusema ukweli mwaka jana Diamond alijitahidi alifanya kazi,sema ndiyo hivyo wapiga kura ndiyo waamuzi yanaweza kuwa ya mwaka jana ya Mpoki! Ila Diamond mpaka hapo ni mshindi category 7! Yani hata asipopata hizo tuzo hiyo inatosha. BIG UP PLATINUM!!!!!!!!!!!!!
ReplyDelete