Tuesday, March 20, 2012

PIGA KURA SASA KUPENDEKEZA MSHINDI KATIKA TUZO ZA KILIMANJARO MUSIC AWARDS 2012


7 comments:

  1. mtunzi bore wa kiume ni diamond.

    ReplyDelete
  2. mwimbaji bora wa kike ni Isha mashauzi

    ReplyDelete
  3. wimbo bora wa mwaka ni Moyo wangu.

    ReplyDelete
  4. mwimbaji bora wa kike Linah

    ReplyDelete
  5. video bora ya muziki Moyo wangu.

    ReplyDelete
  6. Mwimbaji bora. nyimbo bora, video bora ya muziki, mtunzi bora vyote ni Diamond kwa kweli anaweza haki yake apewe

    ReplyDelete
  7. Kusema ukweli mwaka jana Diamond alijitahidi alifanya kazi,sema ndiyo hivyo wapiga kura ndiyo waamuzi yanaweza kuwa ya mwaka jana ya Mpoki! Ila Diamond mpaka hapo ni mshindi category 7! Yani hata asipopata hizo tuzo hiyo inatosha. BIG UP PLATINUM!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete