wadau mpo sawa kbs kapungua and i hope diet unaendelea nayo pamoja na gym coz tumbo mama bado naona hapo chini yatumbo sisi wazazi tuita kitumbo ubwete kinanikera hichooooooo hata kioo nilikuwa sikitaki ila ukikomaa kinaisha
Nathani sasas utaanza kukubaliana na mimi kwamba umeanza kupata mwonekano wako uleeeeee wa miaka 18-22 Endelea na mazoezi na uwaonyeshe wengine kwamba inawezekana kuipata shape yako ya zamani uliyoipoteza kwa muda mrefu. hongera
Umepunguwa vizuri Dinna, tuandikie nini ulifanya mpaka ukapunguwa hivyo. Lakini uko kimya sana kwenye blog yako mbona stori haziwi nyingi kwa vile kipenzi? Siku njema kwako
Dina I am in love with that dress - tangu nimekujua kwa kweli sijawahi kukuona umependeza ka leo - umependeza mno - the match was stunning - Keep it up dadaa
so cute baby,nakupenda sana we dada,so down to earth and humble,so blessed any yet you not prouding yaself and that is why you keep being blessed,Mungu akufanyie wepesi in everything,we love you Dina don't change to Dinah plzzzzzzzz
umepungua vizuri mamito, hongera sana kwa juhudi zako zimezaa matunda
ReplyDeleteDina huwa nakupenda sana! Hans DSM
ReplyDeletehi Dina
ReplyDeleteumepungua kwa kweli,nisaidie na mimi mwenzio nipungue jamani.
mdau
i think red, black and white are ur favorate colour....looks good on u anyway! lovely
ReplyDeleteuunajua kupangilia mavazi..hongera
ReplyDeleteUMETISHA ILE MBAYA SISTER
ReplyDeleteD, umepungua kwa raha zako.
ReplyDeleteNisaidie nami nipunguze tumbo na minyama uzembe
ILA CHIPS KUNKUUUUUUUUU SASA
Dina umependeza sana ila naomba ubadilishe camera kwani picha zako hazionekani vizuri kuna ukungu, ni hayo tu.
ReplyDeleteYaani nakupenda sana ww binti, unajua kwa nn?sina la kusema, Mungu akuzidishie heri na baraka pia
ReplyDeletelooking good Dina....na rangi yako nzuri kweli
ReplyDeleteNyc picture my dia sis Dina...
ReplyDeletewadau mpo sawa kbs kapungua and i hope diet unaendelea nayo pamoja na gym coz tumbo mama bado naona hapo chini yatumbo sisi wazazi tuita kitumbo ubwete kinanikera hichooooooo hata kioo nilikuwa sikitaki ila ukikomaa kinaisha
ReplyDeletenini maana ya kuvaa cheni mguu wa kushoto?
ReplyDeletehi Dina,
ReplyDeleteNathani sasas utaanza kukubaliana na mimi kwamba umeanza kupata mwonekano wako uleeeeee wa miaka 18-22
Endelea na mazoezi na uwaonyeshe wengine kwamba inawezekana kuipata shape yako ya zamani uliyoipoteza kwa muda mrefu.
hongera
regards,
Godfriendjr_super face
Umepunguwa vizuri Dinna, tuandikie nini ulifanya mpaka ukapunguwa hivyo. Lakini uko kimya sana kwenye blog yako mbona stori haziwi nyingi kwa vile kipenzi?
ReplyDeleteSiku njema kwako
Dina nakupenda sana na pia umependeza my dear.mdau kutoka Arusha.
ReplyDeleteU looks good Dina as usual....love you
ReplyDeleteDina I am in love with that dress - tangu nimekujua kwa kweli sijawahi kukuona umependeza ka leo - umependeza mno - the match was stunning - Keep it up dadaa
ReplyDeleteNYC pic n poz.
ReplyDeleteumependzajeeeee?
umependeza sana ila kwanini ukisimama huachi kupishanisha miguu nimeona kwenye picha zako nyingi pozi hilo unalipenda kweli
ReplyDeletemimi nataka upake lip stick unapendeza zaidi ,kwanini hutaki kupaka hiyo bibie
ReplyDeletenakuona unapendeza ukipaka rangi ya mdomo,paka bibie upendeze
ReplyDeleteumependeza sana dinna...me luv u much
ReplyDeleteso cute baby,nakupenda sana we dada,so down to earth and humble,so blessed any yet you not prouding yaself and that is why you keep being blessed,Mungu akufanyie wepesi in everything,we love you Dina don't change to Dinah plzzzzzzzz
ReplyDeleteila mimi hicho kidani cha mguuni tena wakushoto ndio kimenivutia
ReplyDeleteD NAOMBA NIULIZIE NIFANYE MAZOEZI GANI ILI NIPUNGUZE TUMBO?
ReplyDeletebibie na ilo pozi la kupishanisha ngoko zako,yani hapo kuonyesha dole tu ili utukumbushie za enzi zileeeee
ReplyDeleteDina uko natural mpaka raha,univutia sana.uko juu mdada alaf tambua kuwa mie nakukubali sana.
ReplyDeletejack wa arusha
Dina umependeza kwenye ukweli lazima tuseme.
ReplyDeleteDina umetoka bomba.hiyo ndio nguo yako ya sikukuu?
ReplyDeleteumepungua vizuri, hongera.
ReplyDeleteJamani dada Dina nilikuomba unielekeze namna gani umefanya mpaka ukapungua? Email yangu ni happiness2000hezron@yahoo.com.
ReplyDelete