Thursday, March 22, 2012

HALI YA HEWA LEO INARUHUSU KUPIGA PICHA.

32 comments:

  1. umepungua vizuri mamito, hongera sana kwa juhudi zako zimezaa matunda

    ReplyDelete
  2. Dina huwa nakupenda sana! Hans DSM

    ReplyDelete
  3. hi Dina
    umepungua kwa kweli,nisaidie na mimi mwenzio nipungue jamani.
    mdau

    ReplyDelete
  4. i think red, black and white are ur favorate colour....looks good on u anyway! lovely

    ReplyDelete
  5. uunajua kupangilia mavazi..hongera

    ReplyDelete
  6. UMETISHA ILE MBAYA SISTER

    ReplyDelete
  7. D, umepungua kwa raha zako.
    Nisaidie nami nipunguze tumbo na minyama uzembe
    ILA CHIPS KUNKUUUUUUUUU SASA

    ReplyDelete
  8. Dina umependeza sana ila naomba ubadilishe camera kwani picha zako hazionekani vizuri kuna ukungu, ni hayo tu.

    ReplyDelete
  9. Yaani nakupenda sana ww binti, unajua kwa nn?sina la kusema, Mungu akuzidishie heri na baraka pia

    ReplyDelete
  10. looking good Dina....na rangi yako nzuri kweli

    ReplyDelete
  11. Nyc picture my dia sis Dina...

    ReplyDelete
  12. wadau mpo sawa kbs kapungua and i hope diet unaendelea nayo pamoja na gym coz tumbo mama bado naona hapo chini yatumbo sisi wazazi tuita kitumbo ubwete kinanikera hichooooooo hata kioo nilikuwa sikitaki ila ukikomaa kinaisha

    ReplyDelete
  13. nini maana ya kuvaa cheni mguu wa kushoto?

    ReplyDelete
  14. hi Dina,

    Nathani sasas utaanza kukubaliana na mimi kwamba umeanza kupata mwonekano wako uleeeeee wa miaka 18-22
    Endelea na mazoezi na uwaonyeshe wengine kwamba inawezekana kuipata shape yako ya zamani uliyoipoteza kwa muda mrefu.
    hongera

    regards,

    Godfriendjr_super face

    ReplyDelete
  15. Umepunguwa vizuri Dinna, tuandikie nini ulifanya mpaka ukapunguwa hivyo. Lakini uko kimya sana kwenye blog yako mbona stori haziwi nyingi kwa vile kipenzi?
    Siku njema kwako

    ReplyDelete
  16. Dina nakupenda sana na pia umependeza my dear.mdau kutoka Arusha.

    ReplyDelete
  17. U looks good Dina as usual....love you

    ReplyDelete
  18. Dina I am in love with that dress - tangu nimekujua kwa kweli sijawahi kukuona umependeza ka leo - umependeza mno - the match was stunning - Keep it up dadaa

    ReplyDelete
  19. NYC pic n poz.
    umependzajeeeee?

    ReplyDelete
  20. umependeza sana ila kwanini ukisimama huachi kupishanisha miguu nimeona kwenye picha zako nyingi pozi hilo unalipenda kweli

    ReplyDelete
  21. mimi nataka upake lip stick unapendeza zaidi ,kwanini hutaki kupaka hiyo bibie

    ReplyDelete
  22. nakuona unapendeza ukipaka rangi ya mdomo,paka bibie upendeze

    ReplyDelete
  23. umependeza sana dinna...me luv u much

    ReplyDelete
  24. so cute baby,nakupenda sana we dada,so down to earth and humble,so blessed any yet you not prouding yaself and that is why you keep being blessed,Mungu akufanyie wepesi in everything,we love you Dina don't change to Dinah plzzzzzzzz

    ReplyDelete
  25. ila mimi hicho kidani cha mguuni tena wakushoto ndio kimenivutia

    ReplyDelete
  26. D NAOMBA NIULIZIE NIFANYE MAZOEZI GANI ILI NIPUNGUZE TUMBO?

    ReplyDelete
  27. bibie na ilo pozi la kupishanisha ngoko zako,yani hapo kuonyesha dole tu ili utukumbushie za enzi zileeeee

    ReplyDelete
  28. Dina uko natural mpaka raha,univutia sana.uko juu mdada alaf tambua kuwa mie nakukubali sana.
    jack wa arusha

    ReplyDelete
  29. Dina umependeza kwenye ukweli lazima tuseme.

    ReplyDelete
  30. Dina umetoka bomba.hiyo ndio nguo yako ya sikukuu?

    ReplyDelete
  31. umepungua vizuri, hongera.

    ReplyDelete
  32. Jamani dada Dina nilikuomba unielekeze namna gani umefanya mpaka ukapungua? Email yangu ni happiness2000hezron@yahoo.com.

    ReplyDelete