Huyu dada alikuja mpaka kwangu tukaonana na kuongea sana.Akaniambia mapito aliyopitia katika maisha yake ya mahusiano aliyodumu miaka 9.Alipokuja kutambulishwa hiki kitabu kila kitu kikabadilika katika maisha ya yake.Sasa amezaliwa mpya akaniazima nikisome na pia nione ni jinsi gani naweza kutumia topics za humo katika leo tena ili kuwasaidia wengine.
Hizi ni baadhi ya kurasa za ndani ya kitabu hicho chenye kurasa 257.Kama msomaji wa vitabu kitafute ujisomee na ufanyie kazi yaliyomo ndani.Wote wanawake kwa wanaume mie sijakimaliza na mwenyewe anakichukua ila najitahidi nikitafute.
Inaelekea ni kitabu kizuri sana Dina! basi nitajitahidi nami kukitafuta, ila nawe ukikipata usisite kutujuza mahali ulipokipata.
ReplyDeleteIt is a nice book,mm nimekosoma na nimejifunza mambo mengi yahusuyo family,relationships n friendship as well!mi niliuziwa 53 sijui nilibabimizwa???bt ol in ol,,,tafuta ukisome
ReplyDeleteKWELI DINA KITABU NI KIZURI SANA NIMEKISOMA NASHAURI WATU WASOME
ReplyDeletemi pia nimekisoma da dina na pengine n dada hyohyo alie niuzia kwa kwel ni kizur sana na kinamjenga mwanamke ktk mahusiano bora
ReplyDeleteAnaekiitaji ampigie huyu mzee ndo aliniuzia mimi na wenzangu wengine hapa ofisini. 0754988821 au 0716481769.
ReplyDeletena pia tuzingatie pia mahusiano hayana fomula tuache ya flow bila kuiga mifumo ya watu wengine. tu si rely kwenye vitambu ambavyo mara nyingi mifumo na mifano inayotumika humo ni yakimagharibi. kuna tofauti kati ya mahusiano yetu na yale ya kimagaharibi na pia hawa waume zetu wa sasa hawapendi mitazamo yetu kuhusu mapenzi kwani wanasema tunaongozwa na mitandao yaani blogs na internet. tuaiga umagharibi wakati sisi tuna mial zetu.
ReplyDeleteDada misingi ya mapenzi ni ileile duniani kote kitu kinachotofautisha umagharibi na uafrika ni mifumo ya jamii yetu ambayo kihaki inamkandamiza sana mwanamke na vilevile kwenye mapenzi lazima yawe pande mbili, mila zinabadilika kutokana na mapokeo tofauti yanayoendana na wakati tuliopo, usikatae mabadiliko pokea au kataa unayoona yanakufaa wewe na kubaki hapo hapo hupigi hatua
DeleteNguzo za mapenzi na mihemko ni ileile uwe magharibi mashariki au kusini..uwe mchina au mhazadzabe...mahitaji ya mapenzi ni yale yale..mwanamke gani asiependa kupewa attention na mumewe..vitabu vinakufundisha jinsi ya kuboresha mahusiano..kujua mahitaji yako..kukuza uwelewa wako kujua tofauti zako..kujua ufanye nini wakati gani!Hii ni research iliofanyika kwa races tofauti na watu tofauti..usiwe mvivu kusoma constructive things kuhisi unaiga magharibi!
DeleteDina u r very right, hiki kitabu ni super sana, binafsi ninacho na alipita dada akikiuza jana ofisini nikamshauri rafiki yangu nae apate copy yake. Nilichokiona kama ni mtu uko kwenye mahusiano tayari itakuwa vizuri sana ukisoma pamoja na spouse wako coz wakati fulani kutekeleza/kufanyia kazi yale ambayo utayasoma humo inakuwa ngumu kama mwenzio haelewi chochote, however remember this "A wise man is the one who can live in peace with things he/she can not change
ReplyDeletendo nimekipata nakisoma now nimekinunua 53,000 kwa elisha namba 0713914863.
ReplyDeletesidhan kama hapo ni ishu ya magharib au mashariki katika mapenzi yote kuna vitu ni very basic sasa hata kama hivyo hatuvijui sasa shughuli au hata kama hivyo ni vya magharib itakuwa shughuli...kumbuka katika mapenzi kila siku u need to be new and no body is perfect we learn through reading and kuona mabaya yaache mazuri yachukue.i believe we r all adults.
ReplyDeleteDina nakupongeza nimekipata ni kitabu kizuri sana na kina mambo ya kipekee.
ReplyDeleteni kitabu kizuri ninacho japo cko kwenye ndoa
ReplyDelete