Wednesday, March 14, 2012

KUNA WATU WANAPENDA KUNUSA HARUFU ZA AJABU NA ZINAWAFURAHISHA

Wakati unaweza kufurahia harufu nzuri ya maua,chakula,manukato pia wakati huo huo unaweza kufurahia harufu mbaya.Jana kwenye kipindi nilianzisha huo mjadala majibu niliyoyapata yakaniacha hoi.Hizi ni baadhi ya meseji nilizozipata.
1.Mm jamani napenda harufu ya shombo ya nyama ya mbuzi yaan naweza nikikata nyama nisinawe mikono ili nisikie sikie harufu yake!Vicky wa Njiro Arusha
2.yaani umenigusa sana. Mi napenda ya udongo haswa mvua inapoanza kunyesha.. Nyingine ya petrol natamani nikae tu hapo kituo cha mafuta.
3.NAPENDA HARUFU YA MENO NICHOKONOA MENO LAZIMA NINUSE VIJITI VYA MENO.SOORI MOROGORO.
4.napenda harufu ya kikwapa.MAMA VANESA MBATA MBEYA.
5.napenda harufu ya viatu vyenye ng'onda naweza kulumagia na ugali usio na mboga HAFIDHI SURE mwanza
6.NAPENDA ALUFU YA JIKO LA MCHINA LINAPOZIMWA ULE MOSHI KWANGU BURUDAN.MAMA CHANJA WA KAGONGWA KAHAMA

Yaani zilikuja meseji nyingi hatari,wewe mdau vipi?

31 comments:

  1. mi napenda sana harufu ya petrol pia harufu ya vitabu vilivyokaa siku nyingii sasa ukivifungua ile harufu inayotoka mule. Bi Nargis wa Tabata

    ReplyDelete
  2. Niliendaga sshule huko nchi za watu, nilichokimisi zaidi nyumbani ni harufu ya udongo, nilivyorudi niliutifuajee mpaka nikapata mafua... ila si kwamba napenda harufu ya udongo ila niliimisi

    ReplyDelete
  3. Dina me mwaka 2000 nilikuwa napenda sana mafuta ya taa, tambi za jiko la mchina na njiti zilizotumika. Basi nilikuwa nachanganya tambi za jiko, njiti na nachota mafuta ya taa kidogo kwenye kidogo na mchele basi hapo raha yake we acha tu hadi mkaa nilikuwa nakula.Ila nilipata kifua hicho cha kukohoa hatari.

    Lakini sasa hivi napenda tu harufu ya mafuta ya taa na petrol tu kunusa.
    Out of topic: Nimekasirika kutuma meseji katika leo tena kwa sababu hata siku moja huthubutu kusoma. Janeth wa Morogoro

    ReplyDelete
  4. ni kweli yawezekana mie napenda harufu ya mafuta ya taa sana, na kwapa langu tu lakini si la mwingine.

    ReplyDelete
  5. MMM DINA UMENICHEKESHA KWELI NA HII MADA HARUFU YA PETROL NAIPENDA.. LAKINI HUWEZI AMINI SIWEZI LALA BILA KUNUSA NGUO YANGU KWENYE KOLA TENA IWE YA KOTONI ZAMANI NILIKUWA NAFANY MPAKA MCHANA MBELE ZA WATU SIKUHI NIMEKUWA HUWA NAFANYA HINYO KWA KUJIFICHA SANA C RAHISI MTU KUNIGUNDUA LAKINI KWETU WOOTE WANAJU HUWA NAFANYA NN. NA IKITOKEA SIJAVAA NGUO YA KOTONI BASI NTATOA SHUKA NIFUNIKE ILI NIWEZE KUNUSA NIPATE USINGIZI..

    ReplyDelete
  6. ni napenda sana harufu ya udongo,pia napenda kunusa chupi.mama sasha mtarajiwa

    ReplyDelete
  7. me amaur massoud wa dar es salaam- napenda harufu ya hla mpya znaztka bank

    ReplyDelete
  8. da dina me nina mdogo wangu mpaka ananishangaza anapenda harufu ya samaki wabichi, si unajua ukitaka kukaanga samaki unachanganya ndimu, pilipili,chumvi na wengine huweka tangawizi na si unachanganya na samaki kabla hujakaanga haki ya mungu ukishatoa wale samaki yale maji maji yake anayanywa me mpaka namkatazaga lkn hasikii wala haelewi

    ReplyDelete
  9. mi napenda harufu ya udongo na napenda sana kula mchele mbichi nikiweka mdomoni hata nisipoutafuna niumung'unye tu nipate lile vumbi lake mi roho yangu kwatuuuu
    ila mchele umenifanya ninakuwa na upungufu wa damu mara kwa mara na kupata minyoo
    rucy

    ReplyDelete
  10. dina hii mada imenigusa sana nilihisi mie mgonjwa ila nilivyosikia kwenye radio nikaona kumbe tupo wengi mimi napenda sana harufu ile yapale salender bridge yaani nikipita pale moyo wangu burudani sehemu ingine ni feri harufu ya pale jamani yaani naona raha sana pia kunakipindi mwenge kulikuwa namtaro watu walikuwa wanapita wanaziba pua mie aka tena natembea taratibu nipate haarufu vizuri mh acha bwana pia nikiwa chooni we nikijisaidia ile harufu mie kwatu.

    ReplyDelete
  11. Si utani, binafsi napenda kunusa chupi ya mwanamke kabla ya faragha. Na wakati mwingine huwa naivaa kichwani nikiwa kazini faragha. Najuwa wengi wenu mtaona mi ni chizi lakini hicho ndicho kinifurahichasho.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hapana wewe c chizi,kuna wakati nilisoma monthly magazine fulani nikiwa ughaibuni,basi kulikuwa na hbr toka japan,kuwa wanaume wa huko walikuwa wakinunua chupi za wadada chafu,kwani ile harufu ndio huwafanya hao wanaume wakapata msisimko wa ngono.kwa hiyo wadada walikuwa wanakaa na chupi wiki,wapate bei nzuri. kwa hiyo baba u r normal.

      Delete
    2. nikwel hyo mi pia napenda harufu ya kyup cha dem naempenda

      Delete
  12. mi napenda harufu ya kwapa

    ReplyDelete
  13. mimi napenda sana kujinusa ikulu tena kunusa na chupi yangu napata burudani tosha na pia napenda harufu ya matofali yaliyomwagiwa maji

    ReplyDelete
  14. mi napenda harufu ya pale kiwanda cha sigara nikipita kama ndiyo sijui zinapikwa zinatoa harufu mpaka barabarani huwa natamani gari lisimame niendelee kunusa tu. pia napenda harufu ya petrol na kule feri. huwa nasikia raha ilioje.

    ReplyDelete
  15. Mi napenda sana harufu ya nyama mbichi ya mbuzi na samaki wabichi-(fresh lakini si waliochina).

    ReplyDelete
  16. hahahahahahahahaha Jamani mmeniacha hoi hahahaha we wa Salender duh hahaha na Mitaro ya mwenge..mie napenda harufu ya nyama ya Mbuzi hasa Utumbo wake naula hata mbichi naweka chumvi.

    ReplyDelete
  17. mi napenda harufu ya maharage nikiwa nachambua lile vumbivumbi lake bac kunakuwaga kama na vijiwe hivi nikivila vile roho yangu kwatu....LOVE U DINA

    ReplyDelete
  18. mi napenda harufu ya maniii yaani roho kwatu

    ReplyDelete
  19. KUPENDA HARUFU ZA AJABU SI KITU CHA KAWAIDA, KIKO ASSOCIATED NA SPRITUAL WORLD - MAPEPO. ANGALIA EMMANUEL TV UTAONA MAAJABU MENGI AKIWEPO KIJANA AMBAYE ALIKUWA ANAPENDA HARUFU YA KICHESI CHAKE MPAKA ANATEMEA NACHO MFUKONI.

    ReplyDelete
  20. Mi napenda harufu ya chupi yangu....nnapoivua kabla sijaifua nainusa kwanza kama dk tano hivi! naona raha sanaaaa!

    ReplyDelete
  21. mm napenda harufu ya udongo kama mvua ikianza kunyesha vile,pia napendaga kunusa pedi yangu nikishavua naiangalia kuona vilivyotoka kama nitanotice chaajabu then nitainusa na kuihifadhi kwa ajili ya kutupa....kweli watu wana siri zao mweee

    ReplyDelete
  22. Wa2 mnaendekeza MAPEPO YA HARUFU2 HAPA DINA LETE TOPIC YA KUWAOMBEA HAWA WA2 BE4 ITS TOO LATE BADO KUAMBIWA HARUFU YA MAVI KHA!!!MUNGU TUNUSURU

    ReplyDelete