Monday, March 19, 2012

MABONDIA WETU vs MABONDIA WAO

WETU
WAO
BASI SAWA.............

NOTE:Kwa jicho langu hao mapromota kuwapimisha wenzao uzito katika hali hiyo haikuwa sawa.Vyombo vya habari kibao vilikuwepo magazeti,blogs na tv.Hizo si ni boxer za ndani kabisa za kuvaa kama chupi na si boxer za wao kama mabondia wanazotakiwa kuvaa.Walishindwa kuwaambia hata wavae pensi basi za kawaida???wakati naangalia taarifa ya habari juzi katika upande wa michezo ya mchakato wa pambano hilo la ndondi au masumbwi nilichokiona sikukipenda.

29 comments:

  1. JAMANI SIPENDI MWANAUME ANAESHIKASHIKA SEHEMU ZAKE ZA SIRI HADHARANI TENA BILA MPANGILIO I MEAN LABDA ANAWASHWA HIVI AU LA KM HUYO JAMAA HAPO YANI KASHIKA TU

    ReplyDelete
    Replies
    1. na wana tabia hiyo wengi sijui wana matatizo gani, hata kama ndo kuwashwa ndo ajikune hadharani sehemu za siri, hata mi hiyo tabia siipendi

      Delete
  2. YEUWIIIIIIII JAMANI NDO NINI HIVI YANI HAWAKUJUA KM WATAPIMWA UZITO HATA WAKAVAA BOXA NZURI ???? JAMANI UYO MMOJA KABOX KAMEFUBAAAAA KAMECHOKAAAAA. NEXT TYM DINA USIWEKE KBS HAYA MAMBO DUH

    ReplyDelete
  3. mabvu zangu mie lol

    ReplyDelete
  4. he kwa kweli ni aibu sana!

    ReplyDelete
  5. lol jaman ni aibu, pia dina ongelea kupitia leo tena what a shame! ni nguo za ndan kabisa

    ReplyDelete
  6. shame shame jamn ni nguo za ndan kabisa lol!

    ReplyDelete
  7. DINA mwambie Gea amwambie huyo baba wa DNA, afanye apime na huyo mtoto aliezaa na mkewe kama ni wake. Ina onyesha kuna siri nyuma ya pazia, kwanini huyo mama aamue tu kulazimisha mtoto wa mwenzie apime. Inaelekea huyo mkewe ndio ana tatizo

    ReplyDelete
  8. kwi kwi kwi yaaani mii nilivoziona tu nkaishia kucheka Dina una vituko!!

    ReplyDelete
  9. tobaaaa tena boxer ya sh 500 waende hata harume wakatafute pens nzuri sana kwa buku 2 tu jmn aibuuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha uongo wewe wapi utapata boxer kwa 500 dharau hizo

      Delete
  10. MAMBO YA BONGO HAYOOOOOOOOOOOOOOOO, NDIO DUNIA YETU CHAGUO LETU CHAGUA KUVAA BOXER MBOVU MBOVUUUU

    ReplyDelete
  11. Dina me mwenyewe nimeona hadi aibu kuangali cos bora ht zingekuwa ni boxer hizo ni chupi kabisa ni vile hao ni wanaume na wanaume wenzao wamefumbia macho ingekuwa ni cc wanawake wewe ungesikia hiyo complain
    AIBU KWA TAIFA LETU TANZANIA

    ReplyDelete
  12. nimecheka bila kutarajia nikiachana na boxer zao muonekano tu hawalingan utafikir wanaish Sudan!!!!!

    ReplyDelete
  13. heheh mie hoi kwa kicheko jamani hatari kwanza boxer sijui chupi hiyo imechakaa,isitoshe sijui haitoshelezi kwani kaka shurti kushikilia kwanza mzigo mwe kwa kweli waliwachoka mabondia wetu.next time wajirekebishe hahaha Nimecheka sana

    ReplyDelete
  14. hajashika tu bali hali tete mzigo mzito kuhimili kivazi hicho hahahhahha

    ReplyDelete
  15. jaman km ndo kuaibishana haya mana yaonekana vijana hawakuandaliwa kama watafanyiwa vipimo,ila si sawa kuwadhalilisha wanamichezo wetu ivo jamani

    ReplyDelete
  16. jamani ni aibu,na huyo jamaa sio kwamba anawashwa hapo, la hasha ni ameshikilia nyeti zake kama kuficha vile lakini ilimlazimu kujiachia ili anyanyue mikono juu..wajifunze basi jamani hii ni aibu

    ReplyDelete
  17. SIPENDI HATA KUWA CHEKA JAMANI NI MAISHA NA MAZINGIRA NDIYO MAANA WANAVAA HIVYO HAMUONI HATA AFYA ZAO C NZURI NA HUU MCHEZO BILA KUPATA MLO KAMILI NI KUUMBUKA MASKINI....

    ReplyDelete
  18. SIPENDI HATA KUWA CHEKA JAMANI NI MAISHA NA MAZINGIRA NDIYO MAANA WANAVAA HIVYO HAMUONI HATA AFYA ZAO C NZURI NA HUU MCHEZO BILA KUPATA MLO KAMILI NI KUUMBUKA MASKINI....

    ReplyDelete
  19. maskini yaani nimesikitika sana baada ya kuona hizi picha, nadhani hawajui kuwa boxer ni kama chupi tu

    ReplyDelete
  20. JAMANI BORA HUYO KASHIKA TU KUNA WANAJIKUNA SHUTI KWA KUTANUA TANUA MIGUU HUKU ANATEMBEA JAMANI NAKEREKA MIE.........KWANI SI WANAWAKE HATUWASHWI???? MBN TUNAJIKUNA KWA STAHA?????? KM UPO HIVO BADILIKA

    ReplyDelete
  21. hahahahahahhhahahahhaha jamani alieandika '' kaka shurti kushikilia kwanza mzigo mwe '' sina mbavuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. uwiii mie kanifanya nionekane mwehu kucheka kweli mzigo mzito hahahaha asingeshika ingeshuka chini na utamu wa watu uonekane

      Delete
  22. Halafu mbona mabondia wenyewe wanatia huruma kabla hata hawajapigana mwe..

    ReplyDelete
  23. Jamani mimi nilivyoiona hiyo picha ya kwanza nikadhani ni Musa wa uswazi, nikasema ndio kile kipindi chake kipya nini.. Maana plus hizo nywele lol!!

    ReplyDelete
  24. tazama tpfauti kati ya picha ya kwanza na yapili!!!! mzigo mzito halafu ndo umebaki next to outside aka uchiii... unategemea nini jamaa lazima akamate asije akapungua uzito akakosa ndindo.... NOMAAAAAAAAAAAAAAAAAA

    ReplyDelete
  25. Nimesikitika kwamba watanzania wengi hatufuatilii mambo na hasa michezo. kwanza, ni kweli kwamba nguo zao za ndani siyo nzuri na hii ni kutokana na hali ya kipato, lakini ukweli ni kwamba hivyo ndivyo wanavyotakiwa kuwa wakati wa kupima uzito. usishangae WAO, wamevaa vizuri kwa sababu ama walikuwa tayari wamepima ama bado hawajaanza kupima ndiyo maana huoni mzani pale. lakini kama wangekuwa wanapima na wao hizo kaptula sijui pensi wangezivua na kubaki na nguo ya ndani yaani boxer au chupi kabisa. ni hayo tu mdau wa michezo.

    ReplyDelete