Yeeeeeeee umependeza sana dina umepungua vizuri na umejitahidi sana jamani kujipunguza ni ngumu kikimbia imenishinad nimeamua nifanye mazowezi ya kutembe kwa haraka sana kwa muda wa masaa mawili japo kwa shida lakin napungua na kuacha sukari..love u dina ..dina nisaidie antawezaje kusikiliza kipindi chako muda wangu kwa siku hiyo hiyo..sababumuda wa kipindi chako ndiyo naingia kulala huwa nafanya kazi usiku na muda huwa tunatofautiana..

umependeza kwel tumbo limeanza kuisha good,hata mi nlikua kibonge bt mazoez yakukimbia ndio yamenifanya saivi nimekua modo.yani from 76 kg to 65.keep it up
Dina umependeza sana my dia na always unakuwa nadhifu. wish uniruhusu niwe japo rafiki yako then ntakuja hapo ofisin kwenu tuonane coz office zetu zipo jirani.
Dinna umepungua sana hongera...jamani mimi nilifuata Diet ya lady jaydee aliyoitoa kwenye blog yake mwaka jana,nikapungua from 80kg to 67 kg...sasa niko vizuri tuu.
Hongera kwa kuwa mfano wa mwanamke jasiri, Dina wewe ni wa pekee nakuombea kwa Mungu akupe maisha marefu uendelee kusaidia watanzania wanaopata tabu katika dunia hii. Asante mama tuwakilishe Rehema-Mbeya
we anon 15,03;05 mar misukule nimeishaiona sana kwahiyo kama wewe unaweka hiyo minywele mfu ndio mfano wa msukule wenyewe misukule iko hivyo huona hapo mdada alivyotulia safi sana asilia ni asilia bwana asikudanganye mtu
Whaoo!!!! Umependeza mwenyewe na colour combo yako mmmh nimependa aisee!!! Unajua kujipangilia nakupendea hapo fashionista wangu....
ReplyDeleteumejipendezea mwenyewe Mdada Unakilo ngapi sasa hivi...mimi bwana nimeshindwa kuacha chipsi mishikaki na pilipili nina 85kg ..yaani mate yananitoka nisipokula sijui nifanyeje nataka walau nifike 75 jamani lol
ReplyDeleteYeeeeeeee umependeza sana dina umepungua vizuri na umejitahidi sana jamani kujipunguza ni ngumu kikimbia imenishinad nimeamua nifanye mazowezi ya kutembe kwa haraka sana kwa muda wa masaa mawili japo kwa shida lakin napungua na kuacha sukari..love u dina ..dina nisaidie antawezaje kusikiliza kipindi chako muda wangu kwa siku hiyo hiyo..sababumuda wa kipindi chako ndiyo naingia kulala huwa nafanya kazi usiku na muda huwa tunatofautiana..

ReplyDeleteumependeza kwel tumbo limeanza kuisha good,hata mi nlikua kibonge bt mazoez yakukimbia ndio yamenifanya saivi nimekua modo.yani from 76 kg to 65.keep it up
ReplyDeletejmn umepungua vzr dada mpka raha,mie nashindwa ach kula kuku uwiiii iyo sekta imeniteka akili jmn.
ReplyDeleteDinna pole na kazi unaonekana unachoka sana,mie nakupenda sana ila jitahidi ku- improve pamba kidogo.
ReplyDeletevitamu mdomoni, angalia vitakumaliza, kuna kisukari, bp....
ReplyDeleteDina umependeza sana my dia na always unakuwa nadhifu. wish uniruhusu niwe japo rafiki yako then ntakuja hapo ofisin kwenu tuonane coz office zetu zipo jirani.
ReplyDeleteBen
Dinna umepungua sana hongera...jamani mimi nilifuata Diet ya lady jaydee aliyoitoa kwenye blog yake mwaka jana,nikapungua from 80kg to 67 kg...sasa niko vizuri tuu.
ReplyDeleteSister yaani umependeza umekuwa kama mtoto wa miaka 18 hadi 20 jamani nimekupenda bure. Big up Dinna
ReplyDeletemimi napenda ukiwa na nywele fupi ndio unapendeza zaidi ma dear dina na nakupenda tu sijui kwa nini
ReplyDeletehizo ndio nywele sio mnaweka minywele kama misukule safi umependeza sana
ReplyDeleteYeah, style ya nywele fupi natural au wigs au short styled weaves huwa zinapendeza zaidi kwa umbile la sura yako. Yaani achana nayo ma weave marefu.
ReplyDeletewe anon wa Mar 15, 2012 03:05 AM, ulimuona wapi msukule ukajua nywele zake ziko kama tunazoweka???? hovyo!
ReplyDeleteHongera kwa kuwa mfano wa mwanamke jasiri, Dina wewe ni wa pekee nakuombea kwa Mungu akupe maisha marefu uendelee kusaidia watanzania wanaopata tabu katika dunia hii. Asante mama tuwakilishe
ReplyDeleteRehema-Mbeya
we anon 15,03;05 mar misukule nimeishaiona sana kwahiyo kama wewe unaweka hiyo minywele mfu ndio mfano wa msukule wenyewe misukule iko hivyo huona hapo mdada alivyotulia safi sana asilia ni asilia bwana asikudanganye mtu
ReplyDeleteUpo juu Hawa
ReplyDeletewako James
hongera my dear umepungua sana na umependeza mnooo,umenipa moyo nami niendelee kupungua,nakupenda sana
ReplyDeletenic pic..........
ReplyDeleteGood looking Dina!!! Keep it up
ReplyDeletejaman dada dina ur ma role model,,i love u so much yan kwa kila k2 unachofanya you real impress me,,ITS DEMENTRIA from moshi
ReplyDeleteUmependeza na umejitahidi kupungua, lakini ni kukimbia tu au ni pamoja na kahawa ya Gadner na Jd?
ReplyDelete