Wednesday, March 14, 2012

NI LEO TU NA PICHA ZA JUANI

Huwa nikimaliza kipindi ninakaa juu balcony kuota jua kwanza kwa dk 20 hivi.Studio masaa manne na AC natoka humo mwili una kibaridi.
Nimerudi kwenye nywele zangu fupi kama kawa.

23 comments:

  1. Whaoo!!!! Umependeza mwenyewe na colour combo yako mmmh nimependa aisee!!! Unajua kujipangilia nakupendea hapo fashionista wangu....

    ReplyDelete
  2. umejipendezea mwenyewe Mdada Unakilo ngapi sasa hivi...mimi bwana nimeshindwa kuacha chipsi mishikaki na pilipili nina 85kg ..yaani mate yananitoka nisipokula sijui nifanyeje nataka walau nifike 75 jamani lol

    ReplyDelete
  3. Yeeeeeeee umependeza sana dina umepungua vizuri na umejitahidi sana jamani kujipunguza ni ngumu kikimbia imenishinad nimeamua nifanye mazowezi ya kutembe kwa haraka sana kwa muda wa masaa mawili japo kwa shida lakin napungua na kuacha sukari..love u dina ..dina nisaidie antawezaje kusikiliza kipindi chako muda wangu kwa siku hiyo hiyo..sababumuda wa kipindi chako ndiyo naingia kulala huwa nafanya kazi usiku na muda huwa tunatofautiana..

    ReplyDelete
  4. Yeeeeeeee umependeza sana dina umepungua vizuri na umejitahidi sana jamani kujipunguza ni ngumu kikimbia imenishinad nimeamua nifanye mazowezi ya kutembe kwa haraka sana kwa muda wa masaa mawili japo kwa shida lakin napungua na kuacha sukari..love u dina ..dina nisaidie antawezaje kusikiliza kipindi chako muda wangu kwa siku hiyo hiyo..sababumuda wa kipindi chako ndiyo naingia kulala huwa nafanya kazi usiku na muda huwa tunatofautiana..

    ReplyDelete
  5. umependeza kwel tumbo limeanza kuisha good,hata mi nlikua kibonge bt mazoez yakukimbia ndio yamenifanya saivi nimekua modo.yani from 76 kg to 65.keep it up

    ReplyDelete
  6. jmn umepungua vzr dada mpka raha,mie nashindwa ach kula kuku uwiiii iyo sekta imeniteka akili jmn.

    ReplyDelete
  7. Dinna pole na kazi unaonekana unachoka sana,mie nakupenda sana ila jitahidi ku- improve pamba kidogo.

    ReplyDelete
  8. vitamu mdomoni, angalia vitakumaliza, kuna kisukari, bp....

    ReplyDelete
  9. Dina umependeza sana my dia na always unakuwa nadhifu. wish uniruhusu niwe japo rafiki yako then ntakuja hapo ofisin kwenu tuonane coz office zetu zipo jirani.

    Ben

    ReplyDelete
  10. Dinna umepungua sana hongera...jamani mimi nilifuata Diet ya lady jaydee aliyoitoa kwenye blog yake mwaka jana,nikapungua from 80kg to 67 kg...sasa niko vizuri tuu.

    ReplyDelete
  11. Sister yaani umependeza umekuwa kama mtoto wa miaka 18 hadi 20 jamani nimekupenda bure. Big up Dinna

    ReplyDelete
  12. mimi napenda ukiwa na nywele fupi ndio unapendeza zaidi ma dear dina na nakupenda tu sijui kwa nini

    ReplyDelete
  13. hizo ndio nywele sio mnaweka minywele kama misukule safi umependeza sana

    ReplyDelete
  14. Yeah, style ya nywele fupi natural au wigs au short styled weaves huwa zinapendeza zaidi kwa umbile la sura yako. Yaani achana nayo ma weave marefu.

    ReplyDelete
  15. we anon wa Mar 15, 2012 03:05 AM, ulimuona wapi msukule ukajua nywele zake ziko kama tunazoweka???? hovyo!

    ReplyDelete
  16. Hongera kwa kuwa mfano wa mwanamke jasiri, Dina wewe ni wa pekee nakuombea kwa Mungu akupe maisha marefu uendelee kusaidia watanzania wanaopata tabu katika dunia hii. Asante mama tuwakilishe
    Rehema-Mbeya

    ReplyDelete
  17. we anon 15,03;05 mar misukule nimeishaiona sana kwahiyo kama wewe unaweka hiyo minywele mfu ndio mfano wa msukule wenyewe misukule iko hivyo huona hapo mdada alivyotulia safi sana asilia ni asilia bwana asikudanganye mtu

    ReplyDelete
  18. Upo juu Hawa
    wako James

    ReplyDelete
  19. hongera my dear umepungua sana na umependeza mnooo,umenipa moyo nami niendelee kupungua,nakupenda sana

    ReplyDelete
  20. nic pic..........

    ReplyDelete
  21. Good looking Dina!!! Keep it up

    ReplyDelete
  22. jaman dada dina ur ma role model,,i love u so much yan kwa kila k2 unachofanya you real impress me,,ITS DEMENTRIA from moshi

    ReplyDelete
  23. Umependeza na umejitahidi kupungua, lakini ni kukimbia tu au ni pamoja na kahawa ya Gadner na Jd?

    ReplyDelete