PICHA ZINGINE HAAHAHAH
Nilivyoona picha hii nilijiuliza hawa watoto walikuwa wanacheza mchezo gani ndio mpiga picha akawapiga hii picha?aliewapiga picha aliwatengeneza ili apate hii picha au?mmh hata sijui maana watoto nao hasa siku hizi wanampenda Ben 10 ndio balaa unawakuta wanacheza mmoja atajifanya Ben 10, spider man au mwanamieleka John Cena hapo atawapiga wenzie yeye ndio mbabe wao.Hawa katika mazingira yao naona hakuna cha Ben 10 wala nini,lazima ubabe wa aina hii walishauona mahali.
Watoto wana mambo kweli kweli.
ReplyDeleteHAO NI WANAFUNZI WAPO KWENYE ADHABU YA KUTOFANYA HOMEWORK, NA TEACHER KASHIKA FIMBO KWA MSISITIZO.
Kisensi
dina mi nadhani walikuwa wanacheza mchezo wakishule shule na huyo aliye simama ameact kama ni mwalimu ambaye anawapa wanafunzi adhabu.
ReplyDeleteMimi nahisi ni watoto wa familia za askari! huwa wanaona wakifanya mazoezi.
ReplyDeletesamahani da dina nje ya mada.kwa sisi tulio nje ya nchi tunaweza kutuma msg kwa no.gani?maana nimemsikia huyo mwana saikolojia,kuhusu ile issue ya yule mama,aliemuharibu mtoto wake.wakati wa hicho kipindi kilivyokuwa hewani,napenda kujua nitume msg kwa no.gani.kwa kweli maelezo ya huyo mwana saikolojia,ni ukweli mtupu.kwa upande wangu,nili repiwa nikiwa nina miaka 6,story ni ndefu ila nilikaza moyo kumwamia mama,matokeo yake nikapigwa na kuambiwa nisiseme kwa mtu yoyote.ki ukweli sikusema,maybe kwake ni kama aibu.ila imeniathiri mno,maana nina maumivu ya ndani kwa ndani,na si dumu kwenye mahusiano,hiyo sex ndio si enjoy kabisa.wanaume wote nawaona wabaya tu.huwa namuomba mungu tu,nisifikie kuchukua maamuzi ambayo hayatofaa.simlaumu mama yangu ila sijui nimlaumu nani
ReplyDeletePOLE SANA MPENDWA KWA YALIYOKUKUTA. NAKUOMBEA MUNGU AONDOE HILO JERAHA NDANI YAKO. WASILIANA NA WACHUNGAJI AU WATU WA DINI WAKUOMBEE.
Deletemmm nahisi hilo panga sio lenyewe, vinginevyo hiyo picha inaogopesha. Itakua wanaona kwenye sinema au mazingira wanayoishi (ukatili unaofanywa majumbani)
ReplyDeletehawa watakuwa wameangalia hotel rwanda au sometimes in april au shooting dogs zile za mauaji ya halaiki ya rwanda manake hilo panga mmh
ReplyDeletehii inaweza kuwa kweli nakumbuka tulikuwa tunacheza sana mbezi home daaa.
ReplyDeleteKUNA MOJA TULIANGALIA PICHA YA CHEK NORIS.MWENZETU ALICHUKUA PANGA KWELI AKAMKATA MWENZIE NAKUBALIIII
haya mambo wakati mwingine watoto wasiangalie mimi sikumoja nilitaka kutafuna wembe baada ya kuona mazingaombwe profesa akila vipande vya wembe anatoa wembe kamili mama ndiye aliniokoa na kwakunichapa vibao nini mshukuru sana basi mimi watoto wangu nikuangalia picha za wanyamatu au katuni
ReplyDeletemmmmh balaaa mama
ReplyDelete