Thursday, March 22, 2012

TULIWAHI KUJADILI HII,NI ILE YA KUKUSANYA KITU FLANI KILA UNAPOKWENDA

Kuna siku nilikupa story ya dada mmoja anaependa kukusanya chupa za vinywaji mbalimbali hasa wine,whisky,brand n.k
Na wewe mdau ukachangia kwa kuniambia vitu unavyopenda kukusanya.Kuna uliesema coins,simbi za baharini,magazeti ya zamani,vibanio vya nywele n.k
Huyu yeye anakusanya midoli ya farasi. 
Alianza kuwapenda toka akiwa mdogo.Anaitwa Sarah Butler raia wa Uingereza
Hiki ni chumba maalum anachowahifadhi na kuwapanga kwa namna ya kupendeza.

5 comments:

  1. Amewapanga vizuri, kwa kweli wanavutia sana!

    ReplyDelete
  2. Inavutia alivyowapamba. Chumba kiko very neat. Unaweza kuwa mkusanyaji lakini ikaonekana kama uchafu kutokana na namna unavyohifadhi.

    ReplyDelete
  3. Mungu nasaidie yasinikute haya yakukusanya vitu kisa vitapendeza au vinapendeza .kupenda ni wazimu

    ReplyDelete
  4. dina kuna kipindi huku canada kina onyeshwa kwenye TLC kinaitwa MY STRANGE ADDICTION tunaona wanaokusanya kusanya, wanaokula vitu vya ajabu ajabu ambavyo hutegemei,watu wazima wanaoishi kama toddlers kwa kuvaa diepars kula chakula cha watoto kuna wanaokula powder yaaani we acha tu

    ReplyDelete