Kuna siku nilikupa story ya dada mmoja anaependa kukusanya chupa za vinywaji mbalimbali hasa wine,whisky,brand n.k
Na wewe mdau ukachangia kwa kuniambia vitu unavyopenda kukusanya.Kuna uliesema coins,simbi za baharini,magazeti ya zamani,vibanio vya nywele n.k





so nice kwakweli
ReplyDeleteAmewapanga vizuri, kwa kweli wanavutia sana!
ReplyDeleteInavutia alivyowapamba. Chumba kiko very neat. Unaweza kuwa mkusanyaji lakini ikaonekana kama uchafu kutokana na namna unavyohifadhi.
ReplyDeleteMungu nasaidie yasinikute haya yakukusanya vitu kisa vitapendeza au vinapendeza .kupenda ni wazimu
ReplyDeletedina kuna kipindi huku canada kina onyeshwa kwenye TLC kinaitwa MY STRANGE ADDICTION tunaona wanaokusanya kusanya, wanaokula vitu vya ajabu ajabu ambavyo hutegemei,watu wazima wanaoishi kama toddlers kwa kuvaa diepars kula chakula cha watoto kuna wanaokula powder yaaani we acha tu
ReplyDelete