Monday, March 12, 2012

UROJO.............

Humo kuna mayai ya kuchemsha,kababu,kachori,mishikaki,kachumbari,pilipili,viazi.....mmmh

13 comments:

  1. mix
    mungu wangu dinnah wapi hiyo yaani me hapa mate yananidondoka jamani napenda mix vibaya mmnooooo

    ReplyDelete
  2. Aisee nauzimikia urojo we acha tu! Ila huu mkali ni wapi haya mambo mazuri yanapatikana?

    ReplyDelete
  3. Jamani,usiniumize mie wa ughaibuni...

    ReplyDelete
  4. mmh Dina umenikumbusha zamani..kariakoo kila siku saa moja na nusu na mdate wanga aa pitia urojo na juice wacha tu mammy.

    ReplyDelete
  5. Makumbusho sehemu gani jamani Dina mana naupendaga sna umenikumbusha Zenji wee acha tu

    ReplyDelete
  6. KWA MDEBWEDO HAPO

    ReplyDelete
  7. kariakoo karibu na msikiti wa idrisa

    ReplyDelete
  8. Jamami watu wanapenda harufu za ajabu, rafiki yangu mmja alinisimulia, kwamba kuna jamaa mmja yeye anapenda harufu ya uchafu wa hukko chini kwa mkewe, kwa hiyo atamuomba mkewe huwo uchafu kabla ajajiswafi na kupaka nyuma ya sikio, kabla ajaenda kwenye shughuli zake, kwa hiyo atakua nayo hiyo harufu angalau kwa muda kwa kuisikilizia pale nyuma ya sikio

    ReplyDelete
  9. you have made my day Dina, yaani me ni mzanzibar but born here dar na hivyo vitu kila siku natumaga watu waniletee kutoka zenji, nahisi mate kudondoka, thanks anyway!

    ReplyDelete
  10. hapo kwa juice ya miwa dina

    ReplyDelete