Friday, March 16, 2012

WADAU WA MOVIE HII HAPA KAMA BADO HUJAZIONA.UTANIPA MAJIBU UKISHAZIONA

6 comments:

  1. LOVE WEDDING MARRIAGE-Ukisikia mshika mawil moja umponyoka ndo nilichokiona ndani ya movie hii n alwayz mganga hajigangi,pili sio lazima muwe na matatizo wanandoa km wanandoa ndani ndo muachane hata issue za watu wenu wa karibu zinaweza zikaaribu shughuli(ndoa yenu)km mtaruhusu myumbishwe na kwa wenzetu naona kuficha siri ni jambo linaloumiza sana linaweza vunja ndoa mmoja akija kugunduwa ila kwetu bongo mmh!!!all in all nimecheka sana as usual comedy movie is ma thing.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Pilly ni kweli yote uliyosema hii hasa la mganga hajigangi dada wa watu mpaka huruma.

      Delete
    2. ahaahaa ila alijitaid hadi akapata alichokitaka lakin kitumbua chake al-manusulla kiingie mchanga.

      Delete
  2. Mi nimejaribu kutafuta dada dinakwenye duka amablo nanunuga si zakuchakachua hk mjin lkn hana kabisa nimesikitika sana nimept hy la larry crown tu plz nielekz wapi tena nitapt muvi hzo zilizobk maana mm nahsi nina ugonjwa na hz muvi ninazo nyingi lkn kila utoapo hapa nakuta sijaona moja au mbili

    ReplyDelete
  3. Dina mpenzi hongera sana kwa kazi nzuri unayoifanya ya kutupa burudani hasa unapotuwekea list of movies ambazo huwa ni bomba kuliko, ila mpenzi wangu nashauri ungekuwa unatuwekea na zinakopatikana maana tunapata shida kweli.

    Flora.

    ReplyDelete
  4. Tafuta move inaitwa the torist; ni bomba

    ReplyDelete