Friday, March 16, 2012

WOMEN IN BALANCE KITCHEN PARTY GALA....SEASON 3

WASEMAJI WANAWAKE vs WASEMAJI WANAUME
HADHIRA NI ILEILE WANAWAKE.

LINI?WAPI?
NA UKWELI NI KWAMBA, KAMA ULIPITWA NA ZOTE HII USIKUBALI IKUPITE.UNAJUA KUTAKUWA NA YAPI MAZURI?
ENDELEA KUTEMBELEA HAPA.

6 comments:

  1. hello Dinna mambo hii natumani tutakuja na waume zetu jamani nitafurahije??????????

    ReplyDelete
  2. mnakula tu hela za watu na mada uchwara!! nimeshampiga marufuku wife hamtamuona tena kwenye ujinga ujinga wenu.

    ReplyDelete
  3. yani cant wait for another kitchen party gala yani unajuwa inasaidia sana haswa kwenye hizi ndoa za siku hizi.

    ReplyDelete
  4. itakua lini? nahitaji kuwepo, na itafanyika wapi? yani nina hamu nayo kweli

    ReplyDelete
  5. jaman this time ifanyikie city centre ili, naitamanije?

    ReplyDelete
  6. hamna chochote zaidi ya ushankupe tu,mnaoendesha kipindi wenyewe manungayembe,mnatumia experience za uhawara kuendesha kipindi,topic za kimalaya na mnachokifanya ni ushakunaku tu,we dina huna ndoa wala huijui na sijui kama utaipata,mnatafuta pa kulia hela tu,ngeda nyie

    ReplyDelete