1.Kuanzia sasa leo tena itaanza saa nne mpaka saa saba mchana.
2.Dula kibajaji atatoka ameshapiga story sana na kutakuwa na MCHINA
2.Nyumbani kwetu leo kina mama/dada kutoka manyumbani mtakuwa mkitupa maujanja ya huko nyumbani.
3.Kila ijumaa kutakuwa na KAPU LA MAMA lina nini?sikiliza leo tena.
4.Kila wiki kutakuwa a BESENI,lina nini sikiliza leo tena.
5.Kwa muda mrefu umesikiliza hekaheka unajua nini kinaendelea katika maisha ya wale uliowasikia kwa miaka mitatu,miwili iliyopita?inakuja BAADA YA HEKAHEKA.
6.Safari ya leo tena kwena MOROGORO,DODOMA NA SINGIDA.
7.Tuzo za dada bora wa kazi za nyumbani.
Kwa mengi zaidi sikiliza leo tena ya clouds fm kwa maoni tuandikie email leotena@cloudsfm.co


Kama kawaida yenu,so creative, mko juu!
ReplyDeleteBig up sana!
Dina hiyo jump suit wala hata sikusomi yaani husomeki kabisaa. tisheti na jeans ungependeza zaidi.
ReplyDeleteUnemwambia Dina Kuwa T shirt na jeans angependeza so asibadilishe? Yaani avae t shirt na jeans siku zote ? Wee unauako bwana kasomeka sana kwanza hakuja kuonyesha mavazi alikua kazini Asa wee uliyoyaona hayo yako, na mtu huwezi pendeza sk zote,,, Aii,,
Deletedada dina nakupenda sana.
ReplyDeleteKwa kweli mmefanya mabadiliko makubwa! Hingereni kwa kutusidishia burudani! Kwa mtazamo wangu mabadiliko mliofanya katika kipindi cha leo tena binafsi sijaridhika nayo, kusema ukweli siipendi tena kama zamani, hamna kinachonivuta kusikiliza sana sana ni matangazo kwa wingiiii! Jaribuni kuangalia ni vitu gani vilikua vinawavutia wasikilizaji mviboreshe na sio kuvitoa hewani mfano heka heka nadhani mmesema inakuja kivingine au muda ndio mmebadilisha? Pia mngembadilisha Aunt Sadaka mkakaribisha wataalamu wengine wenye uelewa katika fani hiyo najua inaweza kuwa challenge but work on that kumsikiliza mtu mmoja kila siku you don't gain much and I am sure she is not an expert kwa kila topic mnayochagua kuiongelea, jaribuni kutafuta wataalamu wengine.
ReplyDeleteKeep the good work!
Shauna
Shauna nimekupata...mbona hekaheka zipo?ila tumebadili muda tu.Pia sadaka tupo nae kwa sababu mlengwa wetu zaidi ni mwananchi wa kawaida ambae anahitaji sana elimu hiyo.Pengine wewe huitaji kwa sababu upo na exposure ya kutosha labda unajua hayo mambo tofauti na yule mama au dada wa vingunguti huko au yombohuo ni mfano.Ila tuna vitu vingine ambavyo tunaviintroduce taratibu tayari tuna daktari wa wanawake na wataalamu wengine watakuwa introduced baadae.
DeleteAhsante Dina kwa kutumia muda wako kunielewesha. Nafurahi sana kuona kwamba unajali maoni ya wadau na unayafanyia kazi, Nimefurahi sana. Big up! Keep on shining, sky is the limit!
DeleteBest,
Shauna
kweli ukisikiliza kila mtu utachanganyikiwa mi eti nimeipenda hiyo jumpsuit kiukweli sikutanii na naona umependeza
ReplyDeleteBig up sana whole team.
ReplyDeleteHi Dinna, sasa mbona mnapunguza muda wa kipindi cha LEO TENA.
ReplyDeleteWakati mnaanza saa tatu muda ulikuwa hautoshi sasa mnaanza saa nne mbona kuna vitu tutakuwa tunakosa. Kama msikilizaji mzuri wa kipindi chako sijafurahi hata kdg.
luv u.dinaaaaa ur just a hero. much love from sweden
ReplyDelete