Thursday, April 12, 2012

KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2012

Kilimanjaro premium lager wanakuletea
Kilimanjaro Tanzania music awards 2012, ni jumamosi hii ya tarehe 14/04/2012 tunzo mbalimbali kutolewa kwa wasanii mbalimbali pata kujionea live Yule msanii  uliyompigia kura kupanda kwa stage nakuchukua award,huku shangwe za kutosha, good music plus performs nzito kwa wasanii nguli.
Ni mlimani city hall ndio mahala pa tukio,sh 75000/= tu kwaVIP huku ukipata buffet dinner plus drinks bureee na Tsh 20000/= kwa viti vya kawaida na BIA moja ya bure.Sasa hivi tickets zinapatikana



1. UkumbiwaMlimani city kuanzia jumatatu,



2. Posta - Baraka Garden mtaa wa Azikiwe nyuma ya CRDB Bank.



3. Zizzou Fashion ya Victoria, Sinza naTegeta.



4. Born to Shine Mwenge



5. Robbie One Fashion – Kinondoni



6. Engine Petrol Station – Mbezi.



Kilimanjaro Premium Larger, bonge la kiburudisho!

7 comments:

  1. KIINGILIO TSH 75000 KWA VIP NA 20000 KWA WALALA HOI .. HAPO TUNGOJE MOJA AU ZAIDI KATI YA HAYA:-
    1-UGOMVI NA WAKE ZETU.
    2-KUTOROKWA NA WAKE ZETU.
    3-KUTOROSHWA WAKE ZETU.
    4-KUTOKULA SIKU HIYO KWANI PESA YA CHAKULA KUFICHWA ILI IWE KIINGILIO.
    5-HATA TALAKA ZITAOKA.

    MIE MWANANCHI WA KAWAIDA NINAYEKULA KWA KIBARUA CHA KILA SIKU NITAPATA WAPI HICHO KIINGILIO.

    DINA TUWAKILISHE .. UTUWEKEE PICHA HAPA TULE HATA KWA KUANGALIA TU.

    ReplyDelete
  2. Habari Dina na wanajamii, naomba mnisaidie, kulikuwa na sababu yoyote ya Baba Lulu kuongea na waandishi wa habari kuhusiana na issue ya Lulu "Elizabeth Michael"? alikuwa wapi siku zote za malezi ya Lulu? Alimlea Lulu katika maadili mema na kumtimizia mahitaji yake kama baba? Alimpa msingi wa maisha yake? Amenibore!

    ReplyDelete
  3. kwa wa mikoani kuna TV za hapa nyumbani zitaonyesha?

    ReplyDelete
  4. WE MAMA ULIPENDEZA SANA UNAJUA??...DAH KUANZIA MAKE UP MPAKA NGUO ...WALLAH SINA CHAKUONGEA ..HONGERA MAMA TUNASUBIRI PICHA

    ReplyDelete
  5. hello Dina..i have never seen you look so beautiful kama kwny kili awards juzi

    ReplyDelete
  6. Hii Dina,

    I admire you, mimi binafsi pamoja nakuwa nakufurahia redioni na blogini nakushauri uachane na makitu ya blog, its seems ur too busy to maintain the blog, kubali dadangu you can not be everywhere some areas will suffer and this blog suffers, kimsingi tunaboeka u hardly post things ninakasirikaga na kutamana kuachana na kutembelea blog yako naamini nitamudu soon maana huimprove pamoja na kulalamikiwa sijafanikiwa kuipotezea mazima bali soon tutakuhama shosti,

    pliz take this positively eee mama

    Ur unnonymous fan

    ReplyDelete
  7. Hi Dinna,,
    Unajua ktk kila mtu anachokifanya kuna watakao penda na watakaochukia,, kuhusu blog ya Dinna kuna wanaoipenda jinsi ilivo na wanaoichukia na kuna wakatisha tamaa pia, ss Dinna akiacha mambo ya blog sababu ya haters wachache je wapenzi wablog tuliowengi itakuaje?
    Dinna songa mbele ushauri mungine tupilia mbali,,, big up,, keep it up!

    ReplyDelete