Muda mwingi huwa tunapenda kuwauliza watu wengine maswali.Lakini mimi nitakuwa nakuletea maswali matano yakujiuliza wewe mwenyewe binafsi.
1.Wewe ni nani?
2.Unajipenda?kama ndio kwa nini kama sio kwa nini?
3.Ni vitu gani muhimu katika maisha yako?
4.Ni mafanikio gani unayojivunia katika maisha yako kwa sasa?
5.Nini lengo lako duniani?kwa nini upo duniani?
Kwa leo maswali matano ni hayo na nitakuwa nakuwekea mara kwa mara.Sio lazima unijibu mimi,jijibu wewe mwenyewe ila unaweza kushare nami kunifahamisha kama umeguswa.
NOTE:Kama ni mtu wa kuchukua mambo kirahisi bila kufikiri kwa kina unaweza kuhisi ni maswali yasiyo na maana.Ila ni maswali makubwa sana unayotakiwa kujiuliza.
yES!!
ReplyDeleteMaswali mazuri n wala hayahitaji pupa katika kujibu,nimeyapenda kiukweli cz yanaonyesha jinsi gani mtu UNAJITAMBUA na jinsi ya KUJIPANGA!!
maswali mazuri sana haya na ukiweza kuyajibu basi maisha kwa ujumla hayatakusumbua asante dina ubarikiwe sana
ReplyDeleteYes my babe, nakupenda sana ww dada, huwa siachi kupita kwa blog yako, leo umenigusa hadi nimeamua kutoa comment, ni maswali mazuru sana kimsingi yanajennga, ubarikiwe sana ndogo wangu
ReplyDeleteBravo!!!!!!!!! Dina, upeo wako unatizama mbali sana!!!!!!! Maswali mazuri, yameniamsha usingizini.
ReplyDeleteWATU WENGINE UNAKUTA TUNAFELI KTK MITIHANI KAMA HII, KWANI HATA SIKU MOJA SIJAJIULIZA MIE NI NANI KWANI NAJUA NAITWA MOJAONE NAJIPENDA SANA LKN SIRINGI AU KURINGIA WENGINE NI MTU SIMPO SIMPO TU.
ReplyDeleteMASWALI MENGINE NI MAGUMU KUYAJIBU KWANI NI ACMENT TOSHA INAHITAJI MUDA MREFU KUPEKUA BONGO ILI UANDIKA.
Mh napenda sana unavyoshare na jamii mambo mazuri kama haya ya ufahamu unaguswa na mambo unayosikia na kuona kutokana na kazi yako na mbele ya safari utakuwa kiongozi mzuri sana keep it!
ReplyDelete