Saturday, April 7, 2012

MPAKA SASA WATANZANIA HAWAAMINI KWAMBA KWELI HATUNAE TENA

Ninavyoandika hapa nimetoka kusoma msg inasema ''mpaka sasa sitaki kuamini kama the great amefariki.Hebu nihakikishie mimi ni mdau wako wa leo tena''

Kila ninaeongea nae anakataa na kujiuliza kwa nini?mbona mapema sana?Mungu pekee ndio anajua kwani hakuna anaejua siku wala saa.Poleni ndugu,jamaa,marafiki,mashabiki wa filamu,wasanii na watanzania wote kwa msiba huu mkubwa.
Upumzike kwa amani STEVEN KANUMBA.

10 comments:

  1. WASIO AMIN WANA IMANI PUNGUFU.

    ReplyDelete
  2. MTIRIRIKO WA KUFARIKI WASANII BADO UNAENDELE TOKA 2011, POLENI.

    ReplyDelete
  3. Ni kweli inasikitisha dahh...... Lkn mauti hayachagui wadhifa Mungu pekee ndio mwenye kujua

    ReplyDelete
  4. "ni kwanini bwana unaruhusu tusononeshwe kiasi hiki,ona haya machozi,tazama tunavyolia,twajiuliza sana nikwanini umeyaruhusu" Dina haya ni baadhi ya maneno ktk wimbo wa ambassadors of christ, Dina Mungu alimruhusu Kanumba kuyatenda mazuri mengi katika siku chache za maisha yake,ni Mungu amepanga na hakuna wakumpinga,tumshukuru kwa yote

    ReplyDelete
  5. Ni safari ya wote lakini mazingira ya kifo ndio huleta hali ya kutoamini haraka Dina, kifo chake kinanipa maswali kuwa alijigonga ukutani na kuanguka chini na kufa, mdogo wake alipoitwa alimkuta na povu mdomoni, sasa ukijigonga kisogoni unatoa povu? Haya tuone huo uchunguzi

    ReplyDelete
  6. Ni safari ya wote lakini mazingira ya kifo ndio huleta hali ya kutoamini haraka Dina, kifo chake kinanipa maswali kuwa alijigonga ukutani na kuanguka chini na kufa, mdogo wake alipoitwa alimkuta na povu mdomoni, sasa ukijigonga kisogoni unatoa povu? Haya tuone huo uchunguzi

    ReplyDelete
  7. yeah it hurt but no way out, no one can trust this but its true, we love him so much but our God loves him more than. 4 sure no one can replace him. Kanumba The Great we will always love u and miss u alot
    Rest in Peace Kanumba!

    ReplyDelete
  8. Mungu Ana sababu na kila analolifanya juu ya watu wake, basi tunakumbushwa kujiweka tayari maana hatujui saa wala siku, R.I.P Kanumba,,

    ReplyDelete
  9. tulikupenda kanumba japo mengi yatasemwa kapumzike kwa aman ,amen

    ReplyDelete