Monday, April 16, 2012

MSIMU MPYA WA VIPINDI CLOUDS FM UMEANZA RASMI LEO...UNAITWA AA

AA.... ni Azimio la April ambalo limeanza leo likiwa na malengo kibao ya kukuridhisha wewe msikilizaji na mwanafamilia wa clouds fm.
Team PB ndio walianza kuanzia saa kumi na mbili alfajiri.Gerald Hando,Pj,Babra na Bonge.
Bonge leo alikuwa akireport habari za barabarani akiwa kwenye helcopter sambamba na kibonde.
Pj aliperuzi na kudadisi kama kawa..
Tukio hili linafanyika leo latika viwanja vya mnazi mmoja.

30 comments:

 1. mpo juu sana! kweli clouds fm radio ya watu!

  ReplyDelete
 2. clouds fm mko juu asee kip it up

  ReplyDelete
 3. CLOUDS MKO JUU HAKUNA ANAEWAFIKIA HATA KIDOGO,MNA UBUNIFU MZURI.

  ReplyDelete
 4. Huo ni ubunifu wa hali ya juu! Good job!

  ReplyDelete
 5. mwenzangu sikuwa kuhisi kama ipo siku kutatokea kitu kama hicho, huyo mbunifu wenu mumtunze kama mboni ya jicho. bora mnabadilika badilika tumechoka na aina moja ya utangazaji maana vipindi vyote vya redio hapa kwetu vinafananafanana ni vizuri hata kama vitaendana basi vije kitofauti kama mnavyofanya nyie, yaani hata mkisema mpo juu inaeleweka maana mmetumia helkopta sio kusema upo juu wakati tunaonana hapahapa chini jamani, mmeonaaaa? haya wale waigaji mnakaribishwa eehe! ngoja nijaribu kubuni kitu kwaajili hata ya familia yangu jamani haaa na mie ni make history

  DA J

  ReplyDelete
 6. KWELI WAFU MMEISHIWA.....MAMBO YA MSIMU NI KUWAIGA WENZENU WALIOANZA KITAMBO NA MSIMU TENA NI MZURI WA KIAFRICA NA SIO NYIE ETI AZIMIO LA APRIL.........MNAJISUMBUA,UKIFA NI NGUMU KUFUFUKA.........AIIIIIIIIBUUUUUUUU!!!!!!!

  ReplyDelete
  Replies
  1. MBONA KAMA UMEPANIC HIVI....KAMA TUMEKUFA UMEJUAJE KAMA KUNA AZIMIO LA APRIL???ACHA KUJICHANGANYA.

   Delete
 7. haoooooooooooooo mnaigaaaaaa!!!

  ReplyDelete
 8. Napenda sana kazi zenu na kila hatua mnayopanda kazeni buti

  ReplyDelete
 9. mpo juu kama chademaaaaaaaaaaaaaaaa.kip on moving nawakubali sana hasa leo tena.

  ReplyDelete
 10. hongereni sana, ninapenda kipindi kipindi cha power breakfast, safi sanaa muendelee hivyo

  ReplyDelete
 11. HUWEZI KULIZIBA JUA KWA UNGO,
  HUWEZI KULIZIBA JUA,
  HUWEZI KULIZIBA KWA UNGO,
  HUWEZI KULIZIBA JUA,
  HUWEZI KULIZIBA.

  Kama maneno ni sumu Clouds ingeshakufa mapema toka ilipoanza jamani nyieeee..

  ReplyDelete
 12. huyo anaejidai ooooh clouds wamekufa asitutie kinyaa saa izi..hana lolote na bado mwaka huu kama april hii unapanik ivo ikifika decemba si utakua ushajisuicide..clouds radio ya watu banaaa,alaaaa!!

  ReplyDelete
 13. Mhh,, wafu watawaona wafu wenzao,,,, usiwakatishe clouds tamaa jmni!!
  Imewagusaa Azimio la April! Big up!

  ReplyDelete
 14. Haters ni lazma wawepo nyie songa mbele,, clouds mnatisha kwa mambo yaukwee! Teeena @ Geah!

  ReplyDelete
 15. sivutiwi na Babra Hassan kwenye PB hamna mpya yeye ni kukemea tu wenzie, kama inspector bwanaa

  ReplyDelete
 16. Hakyanani.....AA.....ANGUKO LA APRIL.......teh teh teh.....!!!!!!!!!!!! wafu fm,mmeshavuna msiba wa Kanumba na Kill Muzik award sasa ndio mnataka kujikosha kwa watu...HATUWATAKI TUACHENI NA MITAA YETU!

  ReplyDelete
  Replies
  1. kwani lazima kushiriki wakija kitaa kama uwa pendi unaweza kuendelea na business zako clouds fm redio ya watu karibun kitaa tunasubiri kwa hamu.

   Delete
 17. NAJUA DINA UTAIBANIA HII COMMENT YANGU,NYIE NI WAFU MITAA IMESHAWAKATAAA MNALAZIMISHA NINI??! MNAJICHORESHA SANA MBELE YA JAMII,MSIRIDHIKE NA COMMENTS ZA WATU KWENYE HII MITANDAO YA KIJAMII.........ACHENI USHAMBA!!!!

  ReplyDelete
  Replies
  1. mh kwel mufa maji haisha kutapatapa nani kasema clous hawakubaliki kitaa ngoja nikutel no research no right to speak fanya hivyo kwanza and leave dina alone she is sooooooooooo... creative bana.

   Delete
 18. jamani,Clouds mko juu sana,ila stori ya Wastara imeniuma sana

  ReplyDelete
 19. Kweli mko juu sana tena sana,ubunifu wenu sio wa kiwango cha kawaida

  ReplyDelete
 20. Dah!
  Wastara ananiuma sana,
  NAITWA HIDAYA MGONJA.....kila nikiangalia move yake lazima nilie hadi nyumbani kwangu nikinunua move ambayo wastara yupo wanaificha kabla sijaiona,kinachouma sana si kwa wastara kukosa mguu wake mmoja kwani kuna watu wamepoteza miguu miwili na wako na furaha , bali ni maisha yake ya huzuni ambayo yanaendelea kila kukicha,she is so young and such and enocent woman why this has to happen to her?it hurts when bad things happent to good peope,Wastara ni mpole mno....
  Nakumbuka 2009 wakati nimelazwa amana nilimuona wastara hospital akiwa anatembelea gongo akiwa ameshikiliwa na sajuki na kijana mwengine,alikuwa analia sana hali iliyosababisha sajuki naye kulia ingawa alikwa akijikaza,maneno aliyokuwa akiongea wastara yalimuumiza kila mtu aliyekuwa maeneo yale,kumbe alikwa amefiwa na mama yake mdogo ambaye alikuwa ndiye mzazi pekee aliyebakia,.So nikimwangalia wastara naona kama Sajuki kwake sio mume tu bali ni baba,mama,rafiki na familia yake,Watanzania ni watu wema sana naamini tumeguswa kila mmoja kwa namna yake,wasanii,viongozi,wakina mama,wakina baba na wengineo,binafsi sina cha zaidi bt najua kutoa si utajiri..natumaini unatupatia mawasiliano jinsi gani tutatuma vidogo vyetu tulivyonavyo......Hongera dina wewe ni mwanamke wa kipekee,hongera kwa leo tena kwa ujumla

  ReplyDelete
 21. clouds keep it up ur so good people carry on ur mission alright tchao

  ReplyDelete
 22. nashauri kipindi kwaraha zetu kisichanganye na nyimbo nje ya taarab kitapoteza mvuto kiliokuwa nao kwa sisi wadau wa nyimbo hizi zenye asili ya pwani

  ReplyDelete
 23. Natamani nikuone wewe unae type hapo unaita mwenzako wafu......Mbona mavipindi yenu yote mmegeza clouds fm tumenyamaza? Hamko wabunifu mwasubiri wenzenu wabuni mnyakue mbadilishe jina tu. Haya na nyie vipindi vyenu tuwaone mwapita na ungo juu. Unaekataa hii redio wewe mzee fata redio zilipendwa zenu. Jamii ipi hasa unaizungumzia mana kila nipitapo nakutana na walimwengu wanasikiliza clouds hadi online. TuSichoshane

  ReplyDelete
 24. nimegundua kuwa hakuna tena kipindi kwa raha zetu bali kuna bonanza. Kwa kufanya hivyo wapenzi wa KZ tumeonewa sana sijui agenda hasa ni kutunyima raha sisi tuliokuwa tumeshikwa na raha za kwa raha zetu? tunaomba kipindi kile kirudishwe kama kilivyokuwa hata kama sio jumapili.Msitubague jamani!

  ReplyDelete
 25. Gea Habib hongera sana yani unaninikunaje? jana nimekusikia tena kwenye kwaraha zetu nashkuru Clouds munajali maoni ya waskilizaji mpo juuu ndimi mskilizaji wa 104.4

  ReplyDelete
 26. NDUGU KATIKA UPENDO WA MUNGU,TUNA ALIKWA MARA NYINGI SANA NA MUNGU KUTUBU DHAMBI ZETU NA KUISHI MAISHA YA TOBA NA KUMGEUKIA MUNGU KATIKA KUYADHAMINI MAMBO YA MUNGU YA ROHONI KUYAPA ASILIMIA KUBWA ZAIDI KATIKA MAISHA YETU TUNAYO ISHI.
  Mambo ambayo shetani anatukuzwa kwa njimbo za kidunia zilizojana anasa na maovu bila ya kujua vijana wengi wanadanganyika na mambo ya shetani kwa kukosa maarifa ya Neno la Mungu.
  Kwa mfano FIESTA,MACASINO, CLUB ZA USIKU MABAR YENYE KUONYESHA SHOW ZA AIBU,BLOGSPOTS ZENYE MAPICHA NA MAMBO YA AIBU NA UOVU NA MASHETANI NA MAMBO MENGINE YANAYOFANANA NA HAYO NI PROGRAM ZA SHETANI KUWAPATA VIJANA ILI WA MTUMIKIE KATIKA KUMKUFURU MUNGU,

  MFANO WA WASANII WENGI VIJANA WAKIKE NA WAKIUME WAMEKUWA MA AGENTS WA SHETANI KUPITIA MIZIKI YA KIDUNIA,KIJANA MTANZANIA MWENZANGU TUBADILIKE TUMRUDIE MUNGU WETU ALIYETUUMBA,TUAMUE KUWA UPANDE WAKE TUTAKUWA SALAMA. SHETANI SIYO MUNGU WETU WALA HANAUWEZO WOWOTE WAKUUMBA,YEYE HUZUNGUKA KATIKA MAWAZO YETU ILI AWEKE MAMBO MABAYA NA KUJIKUTA UNAFANYA MAMBO YA SHETANI.

  TUWEKE MAWAZO YETU NENO LA MUNGU NA NYIMBO ZA KUMSIFU NA KUMWABUDU MUNGU.
  NIYAPI YAKUFANYA NAKUZIDI KUKAZANA NAYO KATIKA MAISHA YETU NI:
  1. KUTUBU NA KUMRUDIA MUNGU KWA MATENDO MEMA , KUOMBA MSAADA WA ROHO MTAKATIFU,KATIKA KUSALI,KUOMBA NA KUWA NA BIBLIA KUSOMA NENO LA MUNGU NA KUPENDA SANA KUKAA KATIKA USHIRIKA WA WAKRISTO KANISANI KUSHIRIKI SEMINA NA MIKUTANO YA NENO LA MUNGU INAYOTANGAZWA NA KANISA,NA UMWOMBE MUNGU ROHO WAKE AKUONGOZE UEPUKA NA MAKANISA YASIYO YA KWELI YENYE MANABII WA UONGO.
  2. KUWANA UPENDO WA KRISTO KWA WATU WENGINE, NAKUSAIDIA WATOTO YATIMA NA WAGONJWA WALEMAVU NK,NA KUPENDA AMANI NA WATU WOTE, NA HASA KUSAMEHEHANA NA KUSAIDIANA KATIKA SHIDA ZA MAISHA NA KIROHO PIA TUKUZIDI KUFANYA KAZI/MASOMO KWA BIDII TUKIMTANGULIZA MUNGU.
  3. KUPENDA SANA MOYONI KUMSIFU MUNGU NA KUMWABUDU NA KUSIKILIZA NYIMBO ZA SIFA NA KUMWABUDU MUNGU,NA MAHUBIRI
  4. KUZIDI NA KUCHUCHUMILIA MAISHA YA WONGOFU/WOKOVU KUWA NA TUMAINI LA UTUKUFU NA UZIMA WA MILELE NA KUPENDA KUOMBA.
  NK: USHIRIKA WA PAMOJA KATIKA KRISTO WA KUSALI/KUOMBA NA KUMSHUKURU MUNGU/KUMSIFU NA KUMWABUDU MUNGU NA NENO LA MUNGU,KUWA HAJA/KIU NA MOYO WA KUTAKA KUWONA YESU KATIKA KUMTAFUTA NIMUHIMU SANA KATIKA MAISHA YETU HAPA DUNIANI KAMA WASAFIRI KWENDA KWA BABA YETU MBINGUNI.

  UJUMBE WA MUNGU KWA WALE WATAKAO MWAMINI YESU KRISTO NA KUISHI MAISHA YA TOBA YAO NA KUAMUA KUISHI MAISHA MAPYA YA WOKOVU WATASAMEHEWA NA KUWAFANYWA WANA WA MUNGU, NA ROHO MTAKATIFU ATAWASHUHUDIA KWA UWAMINIFU WAO KWA MUNGU, ATAOKOLEWA NA KUBARIKIWA SANA/ NA WALEWASIO AMINI HUKUMU YA MUNGU NA MAUTI ITAMNGOJA
  MUNGU AKUJALIA NGUVU YA KUCHAGUA KUMWELEKEA YESU KRISTO NA KUMWACHA SHETANI NA MAMBO YAKE YA STAREHE NA KILA ANASA NA MIZIKI YA KIDUNIA YENYE UOVU WA ROHO CHAFU ZA SHETANI.

  ReplyDelete
 27. Matendo 25 -
  31 Kwa hiyo kesheni, mkikumbuka ya kwamba miaka mitatu, usiku na mchana, sikuacha kumwonya kila mtu kwa machozi.
  32 Basi, sasa nawaweka katika mikono ya Mungu, na kwa neno la neema yake, ambalo laweza kuwajenga na kuwapa urithi pamoja nao wote waliotakaswa.
  20 bali kwanza niliwahubiri wale wa Dameski na Yerusalemu, na katika nchi yote ya Uyahudi, na watu wa Mataifa, kwamba watubu na kumwelekea Mungu, wakiyatenda matendo yanayopatana na kutubu kwao.
  Warumi1:
  5 ambaye katika yeye tulipokea neema na utume ili mataifa yote wapate kujitiisha kwa imani, kwa ajili ya jina lake;
  6 ambao katika hao ninyi mmekuwa wateule wa Yesu Kristo;
  7 kwa wote walioko Rumi, wapendwao na Mungu, walioitwa kuwa watakatifu. Neema na iwe kwenu na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu, na kwa Bwana Yesu Kristo. Mwenye haki ataishi kwa imani.
  Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.
  32 ambao wakijua sana hukumu ya haki ya Mungu, ya kwamba wayatendao hayo wamestahili mauti, wanatenda hayo, wala si hivyo tu, bali wanakubaliana nao wayatendao.
  Rum2
  4 Au waudharau wingi wa wema wake na ustahimili wake na uvumilivu wake, usijue ya kuwa wema wa Mungu wakuvuta upate kutubu?
  5 Bali kwa kadiri ya ugumu wako, na kwa moyo wako usio na toba, wajiwekea akiba ya hasira kwa siku ile ya hasira na ufunuo wa hukumu ya haki ya Mungu,
  6 atakayemlipa kila mtu kwa kadiri ya matendo yake;
  7 wale ambao kwa saburi katika kutenda mema wanatafuta utukufu na heshima na kutokuharibika, watapewa uzima wa milele;8 na wale wenye fitina, wasioitii kweli, bali wakubalio dhuluma, watapata hasira na ghadhabu;9 dhiki na shida juu ya kila nafsi ya mwanadamu atendaye uovu, Myahudi kwanza na Myunani pia;10 bali utukufu na heshima na amani kwa kila mtu atendaye mema, Myahudi kwanza na Myunani pia;
  11 kwa maana hakuna upendeleo kwa Mungu.

  ReplyDelete