Tuesday, April 17, 2012

PICHA ZANGU KATIKA KILIMANJARO MUSIC AWARDS

Ilikuwa katika tuzo za muziki za kilimanjaro juzi jumamosi.Ama,Gea,Dj Fett na mimi.
Mimi na Muba wa mkasi show ya Eatv huwa wapo na Salama Jabir.Ukiniangalia utagundua make up ilizodi hapa kila nikipiga picha nikija kuiangalia naona mhhhhh balaaa.
Nikaenda zangu kuipunguza huko kunakohusika.
Hapa unaona imepungua,aliyenifanyia make up ni dada mmoja wa kiarabu anaitwa Twaiba.Twaiba classic anapamba maharusi ni hodari sana kwa watu weupe hata weusi kama mimi kama mlivyoniona.
Siku hiyo nilipangwa kukabidhi tuzo kwa wimbo bora wa zouk/rhumba nikiwa na Mzee Masako wa Itv na radio one.
Tuzo ilienda kwa Alikiba na wimbo wake wa dushelele.
Camera ya Shamim Mwasha hapa ilinimwekua.Gauni langu nililinunua duka la  XOXO namanga kwa Sarah Raqie.

44 comments:

  1. you look presentable hongera sisy Dina

    ReplyDelete
  2. kweli make up ilizidi kidogo dina,ila ulipendeza sana gauni zuri

    ReplyDelete
  3. uipendeza sana mpenzi wangu..xoxo

    ReplyDelete
  4. duh kumbe hiki k2 cha make up ulikiona?mana nilijiuliza umetokaje hukuiona km imezidi? All in all umetoka chicha ile mbaya my dear, simple but classic, mwaaah

    ReplyDelete
  5. BORA ULIVYOENDA KUPUNGUZA HIYO MAKEUP COZ KUNA BOG FULANI NIMEKUONA UMEKAA NA AMA DUUH THE MAKEUP WAS NYINGI SANA DAT HAIKUKUPENDEZA.. LKN ALL N ALL WOTE MLINGAAAAAAAA

    ReplyDelete
  6. DINA MDOGO WANGU, MBONA SIKU HIZI UMEKUWA HIVYO,ZAMANI ULIKUWA UNATULETEA VITU MBALIMBALI MPAKA TUKAWA NA HAMU YA KILA SAA KUFUNGUA BLOG YAKO, LAKINI SIKU HIZI UNAJIONGELEA MWENYEWE TUU, MAISHA YAKO, PICHA ZAKO UNAVAAJE, WATU WAMEANZA KUKUPONDA MIMI KWA SABABU NAPENDA MAENDELEO YAKO BASI NAKWAMBAI KWAMBA JITAHIDI KULETA VIONJO MBALIMBALI NA SI VYA AINA MOJA. UKIELEWA POA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. MMMH ACHA CHUKI BINASI WE MWANAMKEE!!DINA MWAYA MI NAKPENDA HIVO HIVO WITH YOU N UR LIFESTYL UPDATES MY DEAR!!USIACHE KUTUUPDATE NA MAMBO YAKO WE LIKE I THAT WAY,

      Delete
    2. Yala wee najichekea mwenyewe!!!

      Delete
  7. kweli dina unapendezaga sana tu lakini kwa hii umependeza zaidi lakini best mbana hajatuonesha kiatu kwa chat ati listi tuone tu big up ktk nguo zako zote tisa kumi ni hili gauni kweli akiyekushonea amekutendea haki kabisa umependwza sana gaudi za dizain hii ndizo zinazo kupendeza sana

    ReplyDelete
  8. Umependeza sana Dada Dina Marios, Nguo yako inarangi nzuri sana kwakweli! Mmmejitahidi sana ladies lakini DJ FETTY ameniangusha dj wangu,Ungevaa dress, achana na mambo ya majeans hayo sijui utom-boy, haipendezi mwana. we demu bwana.

    Hongereni wadada.

    Dina nakupenda sana na blog yako!

    ReplyDelete
  9. Kiukweli umependeza,

    ReplyDelete
  10. ULIPENDEZA MWAYA DINA WANGU.. JARIBU KUTAFUTA RANGI YA MAKE UP YAKO NI VERY SIMPLE NAKUWEZA KUJIPAKA MWENYE NDIYO UTAGUNDUA HARAKA KM UMEZIDISHA.

    ReplyDelete
  11. u look good mdada,kilichonikosha zaidi ni hilo gauni.
    umependeza sana lv u!

    ReplyDelete
  12. Mmmmh...my dia sis Dina u luk so nyc jamani I lyk it..

    ReplyDelete
  13. umependeza kiukweli, siku hizi naipenda hiyo unaenda na wakati

    ReplyDelete
  14. mwenzangu ulipendeza kweli. me nakupenda sana wewe uko simple sana na wala hunaga maringo au huna skendo kama watu wengi wanaojulikana inavyokuwaga. keep it up!

    ReplyDelete
  15. UMEPENDEZA SN KUMBE KAKUVISHA SARAH WA RAQUE AISEE ILA HAPO KICHWAN UNGEKUWA NA VLE VIWEAVING VYAKO UNGETOKA BOMBA MBAYA HZO NYWELE ULONAZO SS HAZIKUPENDEZI KABISAA

    Joh...

    ReplyDelete
  16. Dina you look good on that dress. ila ushauri wangu kwako next time usitafute mtu wa kukupaka make up bse you are going to be emberrased again na itakuharibia siku.please find the make ups of your choice and personality have a good number of them in your dressing table, your day's mood and attitude will determine how you want to look on that day and then you will choose whether to look on shouting or cool make ups. i know you love simple make ups we are used to see you simple thats why you quikly noticed that your personality has changed. Kosa sio kosa ila ni kurudia kosa. keep going the sky is unlimited......

    ReplyDelete
  17. Mdau hapo juu ni kweli, jifunze kupaka make-up mwenyewe. You look good tho! I also like da geyaa, yuko very simple, pia anaonekana very good house wife. Penda sana yeye

    ReplyDelete
  18. kawaida tu,but kilichonivutia umechange rangi ya nguo,maana unavyopenda manguo meusi mpaka unakera.huyo gea mmh...kama kakurupushwa

    ReplyDelete
    Replies
    1. tehhh tehhh tehhh!!MBONA GEA KAWAIDA YAKE WAKATI WOTE KAMA KAITWA KWENYE HEKA HEKA

      Delete
    2. Hahahahaahha...Sina mbavu!!! Heka heka oyyeeee!!! Teeeeena bi Gea uko mbioni masaa 24 waape habari yao!!!! hahahahaa

      Delete
  19. Dina katika siku ambazo umenikosha roho yangu ni hii. Gauni imekutoa chicha saaaana. Da Dina hizi ndio nguo za style yako sasa kulingana na umbo lako. yale mambo yetu ya kubana bana achana nayo. Yuu luk Elegant my dada. @Mina.

    ReplyDelete
  20. ulipendeza sana na ni vizuri ume notice hilo jifundishe kafanya mwenyewe kuliko mtu akufanyie halafu uwe uncomfotable. Twaiba nawajua ni wazuri lkn sana kwenye maharusi na haswa watu wenye rangi kidogo kwa watu wenye rangi kama mimi na wewe ni ngumu kidogo. Jaribu MAC No. 45 ndio ninayotumia mimi na nikikuangalia rangi zetu zinalingana na hata mimi huwa sipendi make-up. nikipaka MAC yangu na lip gloss yangu natoka bomba. hii ni two in one foundational na Powder lkn try to get original ambayo ni 80,000 nyingi zakuazia 20/30 sio original. ila the nguo yako ilikuwa on point.

    ReplyDelete
  21. leo umependeza dina,unajua ukivaa vinguo vya kukubana sana na vifupi huwa hupendezi,na hiyo miguu yako kama mikono ndio kabisa ila leo umependeza sana,gauni limekukaa,unajua watu wengi tunakuona wewe mshamba lakini hapa umelipuka

    ReplyDelete
  22. Dj fetty aliharibu kuvaa suruali bwana kwenye shuhuli za hivi zinapendeza kwa vidress! Hope utajifunza,, thanx!

    ReplyDelete
  23. umependeza sana Dina, you look stunny! Mwaaaaa!!! huwa hupendezi kuvaa vi mini bwana hapo ndio mahali pake

    ReplyDelete
  24. You look fabulous Dina! Nguo imekupendeza sana sana! Umekimbiza!


    Shauna

    ReplyDelete
  25. dina nisaidie twaiba wanapatikana wapi?

    ReplyDelete
  26. Mapoudaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  27. Mamuu Mwanza Mwanza.April 18, 2012 at 9:39 AM

    Wewe uliesema Dina ana miguu kama mikono msalie mtume wewe,tena mwombe Mungu akusamehe,hujafa hujaumbuka ndugu yangu,leo una miguu mizuri kwa kuvalia mini,kesho waweza kuwa wa kusukumwa kwenye kitoroli huna hata mguu mmoja,asie umba haumbui!!!DINA ULIPENDEZA MNO,MPAKA NIMETAKA KUKUSAHAU MIMI PENDA WEWE SANA.

    ReplyDelete
  28. pendeza weweeeeee.

    ReplyDelete
  29. Replies
    1. lkng good! Nic dress! mamie ulibandikakope?
      Vicky

      Delete
    2. nisubiri tupite wote mwaya, dina umependeza upo kama mimi kila kitu sijui huwa unaniiga swaga zangu!! yaani kuanzia rangi za nguo hadi staili ya uvaaji hahahha safi bi dada wenye maumbo kama yako tunajitahidi kuyavalisha vizuri ili tusitishe na huwa tunajipatiaga noma siku zote watu wanatusifia tu.. lakini siri ni kwamba tunajivalisha vizuri ili maumbo yetu yasitushinde kwsbb ni makubwa kiasi, haya wewe uliyekuwa unapita twende zetu basi..

      Delete
  30. Jamani dina hilo gauni limekutendea haki, umependeza sana mamy, you look cute

    ReplyDelete
  31. Dinna gauni limekupendeza sana, sasa ndio nimegundua nguo za aina gani zinakufaa, achana na vinguo vifupi vya kubana vaa nguo za dizaidi hii unapendeza zaidi

    ReplyDelete
  32. I simply love you Dina...lookin forwad to see u someday n o talk to you, umependeza mwaya.
    kay

    ReplyDelete
  33. Nyie mliosema Gea kavaa kama kakurupuka mmenoa. Huyo kajipatia mana ana umbo kubwa nguo imemkaa mnataka avae yakumbana mpate chakusema. Halafu nyie ndo wale washamba mnaovaa shifoni hadi leo. Na shumizi shifoni. Najua nyie wawili hapo juu ni wale Gea anaowakimbiza kunako gemu la utangazaji. Weka jina lako na pic yako tukuone wewe

    ReplyDelete
  34. umetokelezea mama

    ReplyDelete
  35. Dna wat i can say z that u look gud wth ur personalty ol in ol unajua nn unafanya.grls mlpendeza.mnaomwandama dj anafanya kle roho inapenda coz hawez kaa anaumiza kchwa awafurahshe nyny hata angevaa dress mcngekosa la kusema!

    ReplyDelete
  36. Kusema la ukweli Dina hilo gauni limekupendeza zaidi sio wakati mwingine unakuwa hupatii mavazi.

    ReplyDelete
  37. Dina tuambie hao twaiba classic wapatikana wapi, au itabidi wakulipe ndio utatoa location.

    ReplyDelete