yani dina mwili wote unanisisimka niuonapo umati wote huu umekuja kuhudhuria mazishi ya mpendwa wetu,yani ninatamani mungu angefanya muujiza wake amuamshe kanumba kutoka ktk usingizi alio lala aone huo umati wa wapenzi wake,hakika kupitia msiba wa kanumba nimejifunza kitu,bwana ametoa na bwana ametwaa jna lake LIHIMIDIWE.
Hakika n msiba uliowashtua na kuwagusa wengi... Mie binafsi moyo unaniuma sana kuona hatutomuona milele, ictoshe ni siku mbili kabla ya kifo chake nilitembelea Blog yake na kuona anatuandalia muvi kali itakayotoka mwezi huu!! ee Mwenyezi Mungu kampenda zaidi. Kiroho atakua nac,kimwili hayupo tena. Mungu aiweke roho ya mpendwa wetu mahala pema pepon...
dina katika maisha yangu nimejifunza vitu vingi sana, kwanza upendo kwa kila mtu, anayekukosea msamehe bure kabisa, maana haujui siku wala saa ya kuondoka, tujifunze kutenda mema wakati wowote wa maisha tunayoishi.
Inalillah Wa Ina-Illah Rajiun, tulimpenda lakini Mungu amempenda zaidi ndio maana amemuita kwenye ufalme wa milele nasi tutaendelea kumpenda japo kimwili hayupo nasi.
Kanumba anauma jamaniiiii, inauma saaana, huwezi kuuelezea msiba huu ni jinsi gani umetuuma watanzania, hasa ukiisikiliza ile nyimbo yake marehemu ambayo clouds fm wanaipiga inaitwa nitainua macho yangu, lazma udondoshe chozi, maana kama alikuwa anajitabiria kifo.Inabd tumshukuru MUNGU muweza wa yote. WE LOVED YOU BROTHER,RIP KANUMBA.
DINA .. YAANI KIFO CHA KANUMBA IMEKASORO SEREKALI KUTANGAZA KURUSHA BENDELA NUSU MLINGOTI NA SIKU 3 ZA MAOMBOLEZO HATA HIVYO TOKA TAREHE 8 HAMNA MTU ALIYEENDA OFICIN YAANI UTOMATICALY WAMECHUKUA SIKU 3 ZA MAOMBOLEZO.
Dina umetupiga changa la macho live, hiyopicha ya jeneza linaloingizwa kaburini sio ya Kanumba http://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/248476-picha-ipi-nim-kaburi-la-kanumba.html
Kanumba Kanumba. mioyo yetu imejuruhiwa mnoo kwa kukukosa kaka yetu mpendwa. Maandiko yanasema 'KUISHI NI KRISTO NA KUFA NI FAIDA' Kanumba, umevipiga vita vilivyo vzr, mwendo umeumaliza imani imekulinda. Raha ya milele akupe Ee BWANA na mwanga wa milele akuangazie, upumzike kwa amani, amina.
dina mbona katika hilo kaburi halina marumaru wakati kuna picha nyingine zinaonesha kaburi lenye marumaru na jeneza kushushwa kwa kamba za mashine maalum na sio kwa mkono kama hapo au ndio kanya boya mshkaji yupo hai ni picha tuuuuuu
nanyie macho kumchuzi mmekaa tayari kumshutumu dina, adanganye ili iweje analipwa kudangaya? hicho chekundu mnachokiona ni sehemu imeandaliwa kuweka jeneza kabla halijashushwa. Na raisi nae kaenda kusaign kifo kanyaboya? hivi bado karne hii kuna kina tomaso?
DINA ..WAKATI UNACHANGANYA MAJI YA MOTO NA BARIDI KABLA YA KUOGA UWE UNAPITISHA MKONO KUCHEKI JE YAMEFIKIA KIWANGO UNACHOTAKA CHA UMOTO .. KABLA HUJAINGIA MZIMA MZIMA UNAWEZA CHUBUKA NGOZI.
TAKE SOMETIMES KUCHEKI HABARI UNAZOPATA TOKA KWA WADAU WAKO KABLA YA KUZIWEKA LA SIVYO UTAPATA USUMBUFU USIO NA MAANA YOYOTE.
MAANA SIE WANAFIKI TUMESHATEGA MITEGO YETU KUNASA MAKOSA KAMA HAYO NA HATUJUI KUNYAMAZA.
Jamaniii bongo movies wapo wapi?kwa kupitia chama chao nadhani ingekua jambo la busara kusaidia hiii familia.mimi nadhani watuonyeshe mfano mzuri wajikusanye na kufanya fund rising.
yani dina mwili wote unanisisimka niuonapo umati wote huu umekuja kuhudhuria mazishi ya mpendwa wetu,yani ninatamani mungu angefanya muujiza wake amuamshe kanumba kutoka ktk usingizi alio lala aone huo umati wa wapenzi wake,hakika kupitia msiba wa kanumba nimejifunza kitu,bwana ametoa na bwana ametwaa jna lake LIHIMIDIWE.
ReplyDeleteHakika n msiba uliowashtua na kuwagusa wengi... Mie binafsi moyo unaniuma sana kuona hatutomuona milele, ictoshe ni siku mbili kabla ya kifo chake nilitembelea Blog yake na kuona anatuandalia muvi kali itakayotoka mwezi huu!! ee Mwenyezi Mungu kampenda zaidi. Kiroho atakua nac,kimwili hayupo tena.
ReplyDeleteMungu aiweke roho ya mpendwa wetu mahala pema pepon...
dina katika maisha yangu nimejifunza vitu vingi sana, kwanza upendo kwa kila mtu, anayekukosea msamehe bure kabisa, maana haujui siku wala saa ya kuondoka, tujifunze kutenda mema wakati wowote wa maisha tunayoishi.
ReplyDeleteInalillah Wa Ina-Illah Rajiun, tulimpenda lakini Mungu amempenda zaidi ndio maana amemuita kwenye ufalme wa milele nasi tutaendelea kumpenda japo kimwili hayupo nasi.
ReplyDeleteKanumba anauma jamaniiiii, inauma saaana, huwezi kuuelezea msiba huu ni jinsi gani umetuuma watanzania, hasa ukiisikiliza ile nyimbo yake marehemu ambayo clouds fm wanaipiga inaitwa nitainua macho yangu, lazma udondoshe chozi, maana kama alikuwa anajitabiria kifo.Inabd tumshukuru MUNGU muweza wa yote. WE LOVED YOU BROTHER,RIP KANUMBA.
ReplyDeleteDINA .. YAANI KIFO CHA KANUMBA IMEKASORO SEREKALI KUTANGAZA KURUSHA BENDELA NUSU MLINGOTI NA SIKU 3 ZA MAOMBOLEZO HATA HIVYO TOKA TAREHE 8 HAMNA MTU ALIYEENDA OFICIN YAANI UTOMATICALY WAMECHUKUA SIKU 3 ZA MAOMBOLEZO.
ReplyDeleteDina umetupiga changa la macho live, hiyopicha ya jeneza linaloingizwa kaburini sio ya Kanumba
ReplyDeletehttp://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/248476-picha-ipi-nim-kaburi-la-kanumba.html
Kanumba Kanumba. mioyo yetu imejuruhiwa mnoo kwa kukukosa kaka yetu mpendwa. Maandiko yanasema 'KUISHI NI KRISTO NA KUFA NI FAIDA' Kanumba, umevipiga vita vilivyo vzr, mwendo umeumaliza imani imekulinda. Raha ya milele akupe Ee BWANA na mwanga wa milele akuangazie, upumzike kwa amani, amina.
ReplyDeletedina mbona katika hilo kaburi halina marumaru wakati kuna picha nyingine zinaonesha kaburi lenye marumaru na jeneza kushushwa kwa kamba za mashine maalum na sio kwa mkono kama hapo au ndio kanya boya mshkaji yupo hai ni picha tuuuuuu
ReplyDeleteHiyo picha ya saba mbona tofauti na nyingine jamani au macho yangu. maana kwenye Tv niliona tiles na vitambaa vyekundu.
ReplyDeleteMmh mamdogo, hilo kaburi mbona utata? Aliyekuletea picha kakuchanganyia madesa!
ReplyDeletenanyie macho kumchuzi mmekaa tayari kumshutumu dina, adanganye ili iweje analipwa kudangaya? hicho chekundu mnachokiona ni sehemu imeandaliwa kuweka jeneza kabla halijashushwa. Na raisi nae kaenda kusaign kifo kanyaboya? hivi bado karne hii kuna kina tomaso?
ReplyDeleteJamani ndugu zangu msome maelezo kwanza kabla kukosoa.Dina amesema eneo katika makaburi ya Kinondoni.........soma tena uelewe!!!!
ReplyDeleteHiyo picha ya kaburi nimeitoa maana naona inaleta utata,mie nililetewa maybe aliyeniletea kajichanganya tu.
ReplyDeleteDINA ..WAKATI UNACHANGANYA MAJI YA MOTO NA BARIDI KABLA YA KUOGA UWE UNAPITISHA MKONO KUCHEKI JE YAMEFIKIA KIWANGO UNACHOTAKA CHA UMOTO .. KABLA HUJAINGIA MZIMA MZIMA UNAWEZA CHUBUKA NGOZI.
DeleteTAKE SOMETIMES KUCHEKI HABARI UNAZOPATA TOKA KWA WADAU WAKO KABLA YA KUZIWEKA LA SIVYO UTAPATA USUMBUFU USIO NA MAANA YOYOTE.
MAANA SIE WANAFIKI TUMESHATEGA MITEGO YETU KUNASA MAKOSA KAMA HAYO NA HATUJUI KUNYAMAZA.
HILO PIA NI SOMO LA LEO.
JAMANI .. KTK PICHA ZOTE ZA MSIBA WA KANUMBA SIJAONA HATA PICHA MOJA YA BABA YA AMBAYE WALIKUWA WANAFUMUANA KUPITIA GLOBALPUB.
ReplyDeleteJamaniii bongo movies wapo wapi?kwa kupitia chama chao nadhani ingekua jambo la busara kusaidia hiii familia.mimi nadhani watuonyeshe mfano mzuri wajikusanye na kufanya fund rising.
ReplyDelete