2.Kuheshimu wengine.
3.Kuacha uoga,wengi wetu tuna uoga wa kufanya jambo fulani.Mfano kusimama na kuongea mbele za watu na mengine.Pambana na huo uoga pengine unakunyima nafasi ya kukua katika kujiamini.
4.Kujipenda mwenyewe kwanza.
5.Kuwapenda na kuwajali wengine wote wanaokuzunguka haijalishi upungufu walionao.
6.Kuwa mpenzi mwenye kukidhi mahitaji ya mpenzi wako.Ikiwemo kuwa mwaminifu,mkweli,kujali,kumheshimu mwenzako n.k
7.Kuwa mtu mwenye kusamehe.
8.Acha kulalamika juu ya matatizo yako,yafanyie kazi.
9.Tambua thamani yako.
10.Jishauri wewe mwenyewe,wakati mwingine huwa tunaomba ushauri kwa watu wengine huku tukiwa na majibu sahihi ndani ya mioyo yetu.
Kwa leo ni haya tu japo yapo mengi.



hongera sana hata mimi nimejifunza hayo kwako. natamani kuona picha yako ukiwa na pozi tofauti yaani umecheka kidogo meno yaonekane. pozi la kufunga mdomo limekuwa common kwako. otherwise, picha nzuri sana
ReplyDeleteUnajua Dina hataki kulazimisha tabasamu la nguvu maana linaonekana kabisa kuwa limebumbwa,lkn tabasamu linalotokea moyoni huingia moyoni.
Deletekuna watu nawajua wanatabasam za asili mpaka raha kumuangalia yaani tabasamu halibanduki mdomoni.
ooh!nimependa hii Dina! Mungu akubariki uzidi kutuelimisha na kutukumbusha.
ReplyDeleteTHAX SIS UMENIFUNGUA
ReplyDeleteDina i always admire you, natamani siku moja nikuone ana kwa ana, asante kwa ujumbe mzuri. Mungu akupe maisha marefu.
ReplyDeleteKUMABE TUPO WENGI WENYE NDOTO KAMA HIZO.
Deleteasante mungu kwa kutupa dina marios,ubarikiwe sis na asante kwa kunifundisha na kunifungua
ReplyDeleteAsante Dina,
ReplyDeletenami nimejifunza kitu hapo.
Nimegundua wewe una kitu cha ziada kwenye jamii...Mungu azidi kukutumia utufungue ufahamu. Vidokezo unavyotoa ni mwongozo mzuri sana katika maisha. Ubarikiwe.
ReplyDelete...Dina,nakupendaje!!! Umetulia, una jumbe nzurinzuri za kuelimisha, huna majigambo si ya bloguni wala nje!!! Tulia hivyo hivyo mamy, prove kuwa wewe u professional...
ReplyDeleteKazi nzuri Dina!!!
HUNA MAJIGAMBO WALA MARINGO.. HAPO HATA MIE NAKUBALIANA NAWE, KUNA WENGINE JAMANI MARINGO MAJIGAMBO HATA KUONGEA NAWE HAWATAKI UTADHANI SIO WATOTO WA MIEZI 9.
Delete11-DAIMA ANGALIA WALIO DUNI YAKO ILI KUTAMBUA HOW MOLA AMEKUPENDELEA.
Delete12-ANGALIA WALIO JUU YAKO ILI UISHI KWA TAMAA YA MAENDELEO.
13-IPENDE KAZI YAKO NA IFANYE KWA UFANISI BILA KUJALI NI KAZI GANI NA MSHAHARA NI KIASI GANI.
Athsante Dina kwa kuwa umekua shule tosha kwangu asubuhi ya leo.i love u,nakuadmire pia,i always learn from u,umetulia na huna papara rafiki,wewe ni tofauti na watangazaji wengine ambao kiukweli sometimes huwa najiuliza are they journalist by profession?hmmmm am a journalist by profession pia and also you are my age mate can u imagine how lucky iam?mimi niko mbali nawe lakini najifunza sana kupitia wewe so i hope na walio karibu na wewe wanajifunza zaidi yangu...Thanx mumy,Mungu akujaalie kila kheri......love u
ReplyDeletenje ya mada kuna mtu amenisaidia ku air ma view amabayo niliona wewe ndio utakua the right person kufikisha ujumbe wangu kwani kwa mtazamo wangu nakuona ni mtu mwenye huruma na busara. kuna mtu amedhihirisha ule usemi unaosema adui ya mwanamke ni mwanamke. kweli kuna dada anaitwa Diva jinsi alivyomsema Wema kupitia kipindi chake!!!! kwlisio uungwna hata kidogo mpaka nikajiuliza je ana personal issues? mpaka na kumpigia nyimbo za mafumbo na kusema wema hawezi kupata mwanmme je yeye? yeye ni mungu. kwani alimlipa wema aende kwenye show yake mpaka amseme hivyo atafanyaje akijua labda mtoto wa watu aliumwa? sio vizuri tupendane wanawake
ReplyDeleteDina asante sana kwa namba 3. asante kwa kunitia moyo na kunipa ujasiri. nitaifanyia kazi. coz mimi ni muoga sana.
ReplyDeleteUsisahau lile la kumcha mungu , kama vile unamuona, ingawaje humuoni yeye anakuona.
ReplyDeletejaman dada dinaaaaaa pua yakoooooo...
ReplyDeleteinaniacha hoi hoi hoiii
regards,
Godfriend aka super face
ahsante kwa namba 6 Dina nimejifunza sana leo niliposoma tu ujumbe namba 6 nikazidisha kumkidhi mpenz wangu,kiukweli kwa muda mchache tu nimegundua hayo maneno nji mazuri lakini ukiyafanyia kazi ni mazuri zaidi,Nakuadmire sana kwa jinsi ulivo na kila unachofanya...umetulia mmumy,endelea hivyohivyo,Mungu akuzidishie kila lenye baraka
ReplyDeleteLovely
ReplyDeleteLovely
ReplyDeleteLovely
ReplyDeleteyaani nashindwa hata kueleza kwa jinsi navyopenda kutembelea blog yako nikitoka kwenye mizunguko ya siku hata kama ni usiku sana nitafungua laptop japo kwa sekunde najua kuna kitu nitajifunza au kuna habari nitapata. pili wewe umekuwa role model wangu ni age mate wangu, mimi nimesoma uandishi japo sifanyii kazi nina fani nyingine, kuna vitu ambavyo nomevigundua kwako na mimi ninavyo. unapenda kusaidia wenzako au jamii kwa ujumla na ndo maana unatushirikisha mambo mengi.yaan unampa mtu moyo sana. hayo uliyojifunza mi kuanzia no.7 hadi 10 kwa kweli ninafanya au niseme nina hizo tabia wakati mwingine najali watu mpaka naulizwa kwanini kwa mpenzi wang ndo usiseme imebidi na ye abadilike ili tuwe sawa.
ReplyDeleteDAAA IMENIPA MOYO NA KUJIFUNZA KUISHI NA WATU...UJUMBE HUU ASOME NA NA HUYO ANAYEJIITA DIVA WA CLAUDS FM NADHANI HAKUPATA MALEZI ALIPOTOKA SASA HII KIDOGO ITAMSAIDIA KUZINDUKA...
ReplyDeleteHello Dina asante kwa hayo siyo kama mi blog mingine uswahili mwingi,umbea na majigambo hakuna hata vya kutusaidia zaidi ya kujifunza mitusi ila dina nina jambo moja mi nakuona kama mpole lakini mbona umeshindwa kujibu mail yangu?Siamini kama kweli hujaiona tangu nilipokutumia kwa gmail.
ReplyDeleteHeeeee, ina maana mpaka hiyo juzi ndio umejifunza uaminifu na hayo mengine ya na. 6!! tumshukuru Mungu kwa hilo....!
ReplyDeleteAisee thanks Dina kwani hata mimi nimepata kitu hapo.
ReplyDeleteAnony uliyemzungumzia Diva, nakubaliana nawe kabisa! Yaani nami niliudhika sana sana. Nikajiuliza alimlipa shilingi ngapi? Kina Adam, Fetty na B12 walivyomuita Wema akawa sk nice nikafurahi. Diamond ni mshamba na hana class ya Wema hata kwa dawa. Hata awe na pesa kiasi gani bado hatakuwa nayo maana class hainunuliwi. Nimeamua sitaenda kwenye show yoyote ya Diamond, sitaki apate pesa yangu.
ReplyDeleteKila iitwapo leo yatupasa kujifunza kitu kipya iwe kwa vitabu, au Biblia. nimejifunza kitu kutoka kwako Dina. Mungu akupe ufaham zaid.
ReplyDelete