Vijana hawa wanawakilisha clouds fm Singida.Wanasho love kwa namna yao.Walipata tshirts za clouds fm na pesa tsh 80,000.Walitupa zawadi ya sungura ila nikamuonea huruma sungura angekufa tu jamani.Tulizunguka mitaani na kugawa card za kujiunga na familia ya clouds fm kwa wale wasikilizaji damu damu.












hasa picha hizi husemi wakina nani dina na mnafanya nn jamani? mnakula bata tu wana claudsfm
ReplyDeletemmmh dina uwe watufikiria tulio mbali mpenzi hilo hindi lanikosesha raha ya kuingia humu maana mate yanijaa mpaka natamani kukupora,ha ha haaaa....enjoy mamy.
ReplyDeleteHivi Dinah huko Singida kuna baridi sana, mbona mmevaaa masheta?
ReplyDeleteNaona wa Tanzania wengi mnavyoulizia huo mji Singida kama vile haupo Tanzania cha kushangaza kwa nn haswa na wakati ni moja ya miji ya TZ inayojulikana vipi tena wa TZ mpo hivyo?
ReplyDelete