Wednesday, June 13, 2012

MIMI MWENYEWE KWA PICHA TOFAUTI NDANI YA KITCHEN PARTY GALA


35 comments:

 1. dina unamimba?? AU tumbo tuuuu... Lol

  ReplyDelete
 2. Dina umeanza tena kujiachia tumbo dada au una mimba?

  ReplyDelete
 3. hata mimi nilitaka kuuliza hivyo. dada dina vipi? tuanze kununua nepi au pempar.

  ReplyDelete
 4. dina umependeza sana mpenzi....u know what... U R MY ROLE MODEL...i real like u na mishe mishe yako unayofanya..yaani utafanikiwa hadi ushangae..KEEP IT ON

  ReplyDelete
 5. Mwajabu mama wa TPSC nakuona ndani ya kitchen party gala we mkali best.

  ReplyDelete
 6. umenoga sana mpenzi.... safi sana mwaaaaaaaaaaaaah

  ReplyDelete
 7. hujapendeza chochote unatuzingua tuu

  ReplyDelete
 8. Duh dina i love u sana mamie..nakuadmire ile mbaya. Hongera sana umefanikiwa kupunguza weight kwakiasi kikubwa ila sasa concentrate kwenye tumbo...punguza hilo tumbo dina linakuangusha unless tuanze kuandaa pampers. Bless u

  ReplyDelete
 9. Nyie nao wambea tu mfyuuuu sasa swali gani hilo la ana mimba?mimba ni kitu binafsi ebo!hilo tumbo la dina ni kubwa kiasi hicho cha kuuliza?umbea tu! Watanzania tujifunze kuwa na mipaka kwenye maswali yetu!By the way, Dina, You looked stunning!keep it up,kichwani saf saana!

  ReplyDelete
 10. Mi sijaona ulichopungua dina watu kwnn tunadanganyana? Kitambi chote hicho kapungua wapi jamani kuweni wakweli

  ReplyDelete
 11. umependezaa fanyia kazi tumbo tuu

  ReplyDelete
 12. wewe Anonymous,14,1,57 AM ndo mbeya mkubwa kwani kumuuliza dina kama ana mimba ni kosa? kwakua katoa picha watu wamuone na watoe comments zao, so wanauhuru wa kusema wanachotaka. tuondolee ushamba wako.

  ReplyDelete
 13. mimi nimeona kitu kingine hiyo pete mwenzetu umeolewa kimya kimya hujatuambia mbona mchoyo.

  ReplyDelete
 14. mimba haijifichi ikiwepo mtaiona yan mmeniboa kwa niaba ya dina,mdau.de

  ReplyDelete
 15. Kweli jamani tuwe na mipaka km anayo au hana inahusu nn,mijitu mimbea utaijua tu kazi kufukunyua yasiowahusu.lOoooo mmekosa haya mimacho kodoo!tumbo,tumbo tumbo.mumtue mtoto wa watu hizo nepi kavae Ww.

  ReplyDelete
 16. My dia, I was there! Kwa upande wangu nmeona umepungua,umependeza sana! Hongera dia,

  ReplyDelete
 17. hilo tumbo la kushangaa liko wapi?hivi hamjui binadam wanatofautiana maumbile?mwishowe apige picha kakaa tu ndio mnyamaze?MNATAKA AWEJE HUYO NDIO DINA MARIOS KAMA HUTAKI TAFUTA WA KWAKO,

  ReplyDelete
 18. Mamii umetokelezea balaa! yaan umenogaje shosti!

  ReplyDelete
 19. mi nimependa ulivyovaa umependeza sana

  ReplyDelete
 20. Yani wewe ni cute kupitiliza.Nimekuona ukipiga pamba zikakupendeza,ila hii umependeza mno kuanzia nywele,nguo,make-up,kiatu, you look mmmmmwaaaaaaaaaaaaa

  ReplyDelete
 21. Jamani zoezi la tumbo huwa ni gumu kidogo na huchukua muda yaani tumbo huwa linaanza kuwa kubwa taratibuu basi na kupunguza kwako huwa ni taratibuu hivyohivyo,DINA USIKATE TAMAA ZOEZI LA TUMBO NI GUMU KIDOGO HATA MI LILINISUMBUA KIDOGO LAKINI LIMEISHA

  ReplyDelete
 22. tatizo lako Dina hutaki kujitambua kuwa una miguu mibovu kupitiliza, Ushauri wangu acha kuvaa nguo zinazoonesha hiyo miguu yako.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Dont be a hater bitch!!! Kwani wote wanaovaa nguo fupi wamejaaliwa miguu? Nguo mtu unaangalia imemkaaje na sio miguu!!!..Bichwa lako!

   Delete
  2. kupungua tumbo ni kazi ila anza mazoezi kwan unaweza kupunguza kula lakini tumbo bado likawa kubwa cos lishatanuka, jitahidi mazoezi ya nguvu. Lazima utaumia mwanzoni. ushauri nenda gim za karate nakwambia wiki mbili uko poa na utaona hata ukicheka mamiihadi tumbo litauma mwanzoni. NAPENDA RANGI YAKO, WE NI MZURI

   Delete
 23. Hi,Dina,wewe ni mzuri sana,kuhusu tumbo fanyia mazoezi tu litapungua,mimi mwenyewe nilikuwa na tumbo bapa kabla sijajifungua watoto wawili,baada ya kujifungua tumbo hilo,yaani nafanya mazoezi kweli lipungue,mumewangu asije kuchepuka bure!

  ReplyDelete
 24. una rangi nzuri naomba husijichubue

  ReplyDelete
 25. dina wewe ni mzuri sana wa sura , tumbo fanyia tu mazoezi mpenzi litapungua, usije ukakosea ukajichubua pls utaharibu uzuri wako.nakupenda napenda sana kipindi chako huwa kinanifundisha na kunichekesha.miguu yako ukipenda kuionesha we onesha tuu kwani kuna wengine hawakujaliwa hata huo wa kukanyagia wanajiburuza kwa matako, so jikubali mwaya mpenzi.

  ReplyDelete
 26. Dada Dina nimesoma comment zote za hapo juu yng nimegundua kuna wenye wivu n wngn wanaokupenda ila kusema kweli ww ni mzuri tena nilikuwa cjawahi kukuona ni leo hii keep up mamie k never mind wat ppl says abt u k wish gud lyf

  ReplyDelete
 27. me naona hao wanaodis c bure wametumwa na nia yao ni kukukatisha da dina tamaa bt am sure dua la kuku huwa halimpati mwewe,stupid them

  ReplyDelete
 28. MI HUWA NAPENDA SANA HIYO NGOZI YAKO IKO NATURAL.UMEPENDEZA KAMA KAWIDA YAKO.

  ReplyDelete
 29. kuna m2 amenichekesha kweli, eti anapunguza tumbo mumewe asijekuchepuka lol! pole sana. unaacha kusema upate muonekano mzuri unausemea moyo wa mwenzio huyo mumeo hata kama ukiwa mzuri kama malaika akiamua kuchepuka atachepuka tu, omba mungu asipe mawazo ya kukusaliti. usiusemee moyo wa mwenzio!

  ReplyDelete
 30. We anony, ulosema Dina ana miguu mibovu yako ikoje? piga picha utuonyeshe. Mwanamke wa ukweli ni yule anayejiamini na kujikubali. Kila mtu kaumbwa kwa mapenzi ya Mungu na hakuna alochagua ndo akapewa. Mbona Dina mzuri tu, jamani tuacheni chuki ni sumu ktk mioyo yetu.kadri unavyochukia ndivyo kadri mwili wako unavyotengeneza sumu inayokumaliza wewe mwenyewe polepole.

  ReplyDelete