TAFUTA HAPA

Loading...

NDIYO AU HAPANA ZA LINEX NA PEN PAUL.

Jumatano nilikuwa na Linex sambamba na Ben Paul walikuwa wakitambulisha kila mmoja wimbo wake mpya.Linex aliachia MAHAKAMA YA MAPENZI na Ben Paul akaachia YATAKWISHA
Ben Paul na Linex ni wasanii ambao habari zao na story zao zimeshasikika sana katika vyombo mbali mbali vya habari.Hivyo siku hiyo tukafanya kujibu maswali kwa mtindo wa ndio au hapana..NO maelezo
SWALI.Umewahi kuiba chochote kwa ndugu jamaa au rafiki?
BenPaul:Hapana
Linex:Hapana
SWALI:Umewahi kuvuta bangi?
BenPaul:Ndiyo...ila wakati ule wa kishule shule waukujaribu kila kitu(japo niliwaambia sitaki wajieleze)
Linex:Hapana....naomba nijieleze kidogo watu wengi wamekuwa wakihisi mimi navuta bangi ukwelis ijawahi hata kidogo.
Dina:Kwa nini wanahisi unavuta bangi?
Linex:Sijui wanasema muonekano wangu na ukishakuwa na midomo myeusi ndio kabisaa unaonekana mvuta bangi ila mie sijawahi kuvuta kabisa kabisa.
SWALI:umewahi kugombania mwanamke?
Linex:ndiyo....tena nina alama kamisa mkononi maana ule mtiti wake.Nilipigwa sijawahi kupigwa vile maishani mwangu.
BenPaul:Hapana. 
SWALI;umewahi kumpenda asiyekupenda?
Benpaul:ndiyo
Linex:ndiyo
SWALI:Umewahi kuachwa?
Linex: Ndiyo
BenPaul:Ndiyo
SWALI:Umewahi kumtamani demu wa rafiki yako?
Linex;Hapana
BenPaul:ndiyo ila sio kivile 
SWALI:Umewahi kufanya masterbation?
Linex:Ndiyo nimewahi...ila naomba nifafanue maana hawachelewi kuhisi ilikuwa jana.Nimewahi ila sio hivi karibuni.

  
Maswali yalikuwa yalikuwa mengi ila haya ni kwa ufupi tu.


Nyimbo mpya ya Linex Hakuna mahakama ya mapenzi na wa BenPaul yatakwisha zipo hewani @the people station clouds fm. 

5 comments:

 1. Whether he blows the weed or not he will still remain to be my favorite! Linex xoxo!!

  ReplyDelete
 2. Yani Dina am bit disapointed. I always take u in a different level bt leo ndio nimejua IQ yako iko robo kijiko. How can u ask a person in a normal interview kua umewahi kufanya mustabation?what the significance of this question especial ktk conversation yenu?
  Skatai waweza uliza hivi ikiwa topic yako inataka labda kuelezea madhara ya masturbatn. Dina pls think before u ask.
  Unashusha p yako

  ReplyDelete
 3. hilo swali la kipuuzi fikiria kabla ujauliza,ckutegemea mpendwa

  ReplyDelete
 4. Anony hapo juu: nani alikupa kazi yaku define IQ za watu,hilo swali hukuulizwa wewe and more over,kama IQ yako iko vizuri ungemuuliza Dina kwanza kuhusu hilo swali nasio kutyp tuu hapa.

  Sasa kwasababu umeshasema IQ yake in 1/4 kg,unataka nini na wewe sio boss wake?

  Wivu.com
  Get a life!

  ReplyDelete
 5. we anonymous kweli unaonyesha akili zako jinsi zilivyo finyu! Nadhani umesahau kuwa Dina ni mwandishi wa habari! Hebu jiulize, km Michelle Obama alipokuwa kwenye kipindi cha The VIew last yr, Sherri Shephered alimuuliza swali kuwa anapokuwa na mumewe(yaani Barack Obama) chumbani huwa wanafanya nn? Michelle alisema hawezi kusema ambacho huwa wanakifanya! Kama hujui waandishi wa habari wapo kupima uwezo wa kiakili wa masuper star! kalaghabao........ so Dina alikuwa perfect! Dina mdogo wangu, ukiona mtu anajishughulisha sana na wewe kukushusha, jua kwamba upo juu yake sana! wala usihangaike naye mama! hongera kwa kazi yako nzuri

  ReplyDelete

MAISHA

MIMI NA WEWE